Kwa nini Waislam hawana KWAYA Misikitini?

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,510
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.

Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.

KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
 
Ibaada sio birudani mkuu, ni wapuuzi tu wanao fanya burudani wakiwa ibaadani.
 
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.

Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.

KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Huyo Mungu aliwafundisha ili afurahia inatakiwa uimbe kwaya au uimbaje?
Mungu kataja kuimba au kwaya?
 
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.

Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.

KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
kwanza sijapenda ulivyoandika Dawood badala ya Daudi. kwani kaswida siyo kwaya kwa waislam?
 
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.

Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.

KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Kanisani kuwa na kwaya nao ni ubatilifu
 
Maostaz siku hizi wameyageuza madrassa kuwa gesti mazee dah.. Wanakesha mle wakitoboana spikaa hataree.
 
Kwa waislamu kuna qaswida na taarabu
Katika ibaada ya waislamu hamna kaswida au taharabu, jiyahidi kua na maalifa ya dini kwanza, kwanz hata nje ya ibaada waislamu wengi wamaopinga kama haram au bidia haifai.
 
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.

Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.

KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
ibada kwa dini ya kiislamu imefafanuliwa kwenye kuruani,haitoki kichwani kwa mtu
 
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.

Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.

KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Vitabu vinatambua hicho kitu? Waislam wanafuata vitabu vyao vinasema nini.
 
Back
Top Bottom