Kwa nini Waislam hawana KWAYA Misikitini?

Kwa nini Waislam hawana KWAYA Misikitini?

Na waislam wameambiwa waamini Vitabu vya nwenyezi Mungu

Taurat, Zabur, INJILI na Quran.
Mbona maneno hata hawayazingatii?
Waulize wanabatizwa kama ilivyo amriwa katika Injiri ?
Kumwamini mtu ni kumtambua tu kuwa (alikuwepo) yupo, na sio kutii maagizo yake:

Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
...............
Take care
 
Ikiwa Ibada ya jumapili magoti hupigwa wakati wa ondoleo la dhambi, ile mnatubu, ukitoka hapo ni mpaka wakati wa mageuzo ya mkate na divai, then mkijiandaa kushrk ekaristi na wakati wa kuirudsha Tabernacle
Nimeamini wewe ni Roman wala siyo ndugu yangu katika imani.
 
Waulize wanabatizwa kama ilivyo amriwa katika Injiri ?
Kumwamini mtu ni kumtambua tu kuwa (alikuwepo) yupo, na sio kutii maagizo yake:

Mathayo 28:18
Yesu akaja kwao, akasema nao, akawaambia, Nimepewa mamlaka yote mbinguni na duniani.

19 Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwa jina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu;

20 na kuwafundisha kuyashika yote niliyowaamuru ninyi; na tazama, mimi nipo pamoja nanyi siku zote, hata ukamilifu wa dahari.
...............
Take care
Kuamini vitabu vinne basi tulitegemea tuone kuhudi kote sio kimoja tu
 
W
Kuamini vitabu vinne basi tulitegemea tuone kuhudi kote sio kimoja tu
Wameambiwa waamini Torati, Zaburi na Injiri kuwa ni vitabu vya Mwenyezi Mungu:
Ila wao wameambiwa watii maagizo ya kwenye kitabu cha Qurani tu:

Hapo huelewi nini sasa:
 
Kaswida hazihesabiwi kama sehemu ya kutumbuiza?

Hua naona kwenye maulidi na wakiwa na sherehe kuna mtu ataghani.

Kuna hadi Madrasa zimerekodi nyimbo mbalimbali
 
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.

Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.

KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Kwao muziki ni haramu ila Shetani na majini ni waislamu swafii tena wamesilimiswa na mudi boy mwenyewe ...shetani ibilisi ni mmojawapo wa maswahaba wa mtume muhammad
 
Hamna Mimi ni Frank wales Mushi, meku na Mangi mweni kishandi, honestly hata ukiuliza waliosoma lya byz wananijua ukisema Frank-

Hapana kaka, am a Catholic
Mimi nilisilimu mkuu sasa hivi ni mwendo wa kuvaa kanzu na boksa halafu juu natia baraghashia.
 
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.

Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.

KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?
Zile Qaswida ni nini? Na zile kwaya za wazee za kukoroma sijui zinaitwaje Ile Huwa ninawakuta mitaani wakiwa na maandamano ya Imani Yao wazee wanakoroma hizo zote ni kwaya wataita majina tofauti ila kitu nikile kile. Wanapokisanyika watu zaidi ya Mmoja wakaimba melody inayoeleweka na kutumia Ngoma ( wao wanaitwa dufu) hiyo ni kwaya. Wanaobisha watabisha kama wale watakaosema Wana mabenki yasiyo na riba lakini Ukikopa lazima urejeshe na ziada wao wataita jina kingine lakini lugha ya kitaalamu ni riba
 
Back
Top Bottom