matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,495
- Thread starter
- #21
Quran imekata kwaya?ibada kwa dini ya kiislamu imefafanuliwa kwenye kuruani,haitoki kichwani kwa mtu
Quran imekata kwaya?ibada kwa dini ya kiislamu imefafanuliwa kwenye kuruani,haitoki kichwani kwa mtu
Kwa niniKanisani kuwa na kwaya nao ni ubatilifu
kwenye ibada hakuna ila kwenye sherehe zipo kaswida,ibada ya kiislamu imeelezwa vizuri mno hatua kwa hatua,kuanzia kuchukua udhu,sala za awali na baada ya kusali,na sala yenyewe ambayo itategemea ni sala ya alfajir,adhuhur,alaasir,magharib au ishaQuran imekata kwaya?
Una aya yoyote waisalam wakiabudu ni marufuku kuimba KWAYA au nyimbo za SIFA KWA Allahkwenye ibada hakuna ila kwenye sherehe zipo kaswida,ibada ya kiislamu imeelezwa vizuri mno hatua kwa hatua,kuanzia kuchukua udhu,sala za awali na baada ya kusali,na sala yenyewe ambayo itategemea ni sala ya alfajir,adhuhur,alaasir,magharib au isha
Kaswida si sehemu katika ibada za waislamu bali wale wajinga wasiojua dini yao, uislamu sio dini ya kucheza na kukata viuno .KWA NINI WAKRISTO HAWANA KASWIDA KANISANI?
Na waislam wameambiwa waamini Vitabu vya nwenyezi MunguMungu aliamrisha tumwimbie kwa Bidii zote:
..........
Zaburi ni Nyimbo zenye mahadhi ya Ushairi
............
Zaburi (Psa) 98:5
Mwimbieni BWANA zaburi kwa kinubi, Kwa kinubi na sauti ya zaburi.
Zaburi 98:4
Mshangilieni Bwana, nchi yote, Inueni sauti, imbeni kwa furaha, imbeni zaburi.
5 Mwimbieni Bwana zaburi kwa kinubi, Kwa kinubi na sauti ya zaburi.
6 Kwa panda na sauti ya baragumu. Shangilieni mbele za Mfalme, Bwana.
.........
Hakuna andiko kwenye Qurani linalo agiza kumwimbia Mungu Allah:
Allah hataki kusifiwa kwa Nyimbo:
Kucheza na kukata viuno ni uhuni na ujinga wa kiibada. Ila kuimba ni Ibada kamili.Kaswida si sehemu katika ibada za waislamu bali wale wajinga wasiojua dini yao, uislamu sio dini ya kucheza na kukata viuno .
Za kuambiwa changanya na zakoNa waislam wameambiwa waamini Vitabu vya nwenyezi Mungu
Taurat, Zabur, INJILI na Quran.
Mbona maneno hata hawayazingatii?
"... Ndimi bwana mungu wako......."Nimebaki zangu katoliki cc Setfree mchumba wa secretarybird
Usiwe na miungu mingine"... Ndimi bwana mungu wako......."
Kama wewe kweli ni mkatoliki malizia.
Wala hata sio utamaduni wa kiarabu, kuna watu wameingiza mambo ya kipagani na kikristo kwenye uislamu.Huo ni utamaduni wa waarabu sio sehemu ya ibaada mkuu, uislamu na uarabu ni vitu viwili tofasuti.
Nimeimisi divai na mkate yaani damu na mwili wa Jesu.Usiwe na miungu mingine
Rejea waefeso 5:19 na wakolosai 3:16, Kuna namna kanisa la Orthodox wakawa sawa.Kwa nini
Sala yangu na ipae mbele yako,Nimeimisi divai na mkate yaani damu na mwili wa Jesu.
Nilikuwa mkali wa kutikisa chetezo hadi inatoa mlio wa kukonga nyoyo za watu.
Kitu ambacho watu wengi hawapendi ni kule kupiga magoti Kila wakati.Sala yangu na ipae mbele yako,
Na ipae,
Kama Moshi wa ubaani,
Au
Sala yangu na ipae mbele yako bwana,
Kama Moshi wa ubaani, Moshi wa ubaani,
Na kuinuliwa mbele ya uso wa bwana,
Uso wako, uso wako Mtakatifu ikupendeze eeh Mungu, uuh
Ikupendeze eeh Mungu, uuh
Ikupendeze eeh Mungu, uuh
Ibada za katoliki i feel like nipo heaven zina utulivu sana 🙏
Hii ndio aya inayokataza kuimba na KWAYA mkuu"Waache wale walioifanya dini yao ni mchezo na upuuzi na ukawadanganya wao uhai wa dunia, nawe kumbusha kwa hii Qur'an isije nafsi ikaangamizwa kwa sababu ya iliyoyachuma, nayo haina mlinzi wala mwombezi isipokuwa Allah, hata kama ikitoa kila fidia basi haitokubaliwa, hao ndio wale walioangamizwa kwa sababu ya yale waliyoyachuma, watapata wao kinywaji cha maji ya moto kabisa na adhabu yenye kutia uchungu kwasababu ya kule kukufuru kwao."
Qur'an 6:70
matunduizi
Ikiwa Ibada ya jumapili magoti hupigwa wakati wa ondoleo la dhambi, ile mnatubu, ukitoka hapo ni mpaka wakati wa mageuzo ya mkate na divai, then mkijiandaa kushrk ekaristi na wakati wa kuirudsha TabernacleKitu ambacho watu wengi hawapendi ni kule kupiga magoti Kila wakati.