Kwa nini Waislam hawana KWAYA Misikitini?

Kwa nini Waislam hawana KWAYA Misikitini?

Kaswida si zipo,siku ukiwakuta wanaserebuka hata Koffi oromide cha mtoto
 
Swali lako ni lakijinga sana na limejaa utoto.

Hauna tofauti na kuuliza kwanini msikitini hamna MSALABA.
 
Uzi bila picha ni uhaini
khD1gTr.gif
 
Kaswida hazihesabiwi kama sehemu ya kutumbuiza?

Hua naona kwenye maulidi na wakiwa na sherehe kuna mtu ataghani.

Kuna hadi Madrasa zimerekodi nyimbo mbalimbali
Madrasa hata Mimi nimeshawahi kuingia tukaziimba utotoni. Sijui kama kwenye Ibada zile za swalantano kama huyo KUWA Kuna kaswida
 
Kwani kaswida ni nini? Tatizo letu kinachotuchanganya ni lugha
 
Huyu Mungu inaonekana ana mahitaji mengi kweli
 
Back
Top Bottom