matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,462
- 23,246
MwenyeziMungu NDIYE aliyeanzisha KWAYA KWA mara ya kwanza wakati wa Mfalme na Nabii Dawood.
Mwenyezi Mungu mwenyewe anapenda sana kuimba na muimbaji...
Sefania 3:17
BWANA, Mungu wako, yuko katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia... Atakufurahia kwa kuimba.
KWa nini NDUGU zetu hawana KWAYA Misikitini?