Umenikumbusha nilikaa siti moja na bint mmoja akaanza kusinzia mara mno wake akauweka kwenye goti, nikajua usingizi kadri safari ilivoendelea ule mkono ukazidi kusogea hakaribia na fraizi, mm pia ni lijali mara na mm mjongeo ukaanza sasa nikaona mm nazidi kuwa na hali mbaya nikajifanya kama najinyoosha akatoa akaniangalia usoni, nikajifanya nasinzia nayeye kasinzia papo hapo namkono kuuelekeza pale tena. Nilipo karibia kufika chalinze nikamwambia dada nakutakia safari njema huko dar, akanitazama usoni akaniomba namba ya sim nikampa, hadileo amekuwa ni rafiki yangu nimemtambulisha hata kwa mkewangu, hivh juzi aliongea na mkewangu kuja kutusalimia na hivi navoonge yupo. Je hawezi kuwa hatari kwa ndoa yetu maana sijui lengo lake,ila mrembo sana.ushauri