John W. Mlacha
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 3,504
- 1,343
- Thread starter
- #101
Black Bat- kuna distance kubwa kati ya bega na zipu. Au abiria hao madada ni wafupi kiasi cha mabega kufikia zipu?
Yeye kakaa wewe umekosa siti. Simple logic
Black Bat- kuna distance kubwa kati ya bega na zipu. Au abiria hao madada ni wafupi kiasi cha mabega kufikia zipu?
Arushaone, sawa niemuacha aseme yake amalize, akishamaliza atafunikahabari yako bibie Mrembo by Nature.. Mwache atoe hisia zake, acha hasira.
Wewe unataka tuandike nini?JF Bwana, mtu akikutana na ishu yake huko mtaani haraka sana anawahi JF kuja kuposti kwa kugeneralize kwa kila mtu.......mengine myamezee tu si kila kitu cha kupostiwa hapa.