Kwa nini wadada wanapenda sana hivi?

Kwa nini wadada wanapenda sana hivi?

Upo? Nimekumiss. Leo kwenye daladala lazma niguse mtu flies nione itakuwaje lol

Niende wapi Mshenga wangu King'asti?, JF ndo home nikiwa Jf na Preta wangu anashinda Jf mpaka anaunguza mboga, nikitaka kuwasalimia dada zangu FP , snowhite na Kipipi najua nitawakuta Jf, nikitaka kuwapa hi shemeji zangu Arushaone, Nicas Mtei, saudari, erickb 52 woote nawakuta Jf, hata wale watani wangu watu8, platozoom, BUCHANAGANDE, Mtambuzi na Bishanga wameacha kuchunga ng'ombe wanashinda Jf, kila kitu napata hapa! Ne niwuka lepi, nitama bahapa, nigendi gendiliii wee kufesibuku, sikayipee, vanabodi, vanamageuzi kwali, wyn, pa Jf ndi nihikili!
 
Kwani kipi kibaya kwenye thread hii? maana hapa ni uwanja wa mahusiano na mapenzi, ukiona uhitaji usisome nenda topic za siasa, maendeleo yanazuiwa kwa mapenzi? tuacheni sisi tulio na maendeleo tusome nyie ambao hamna maendeleo piteni tu, sisi ikifika jioni tunaenda zetu kazin kusoma hapa ni mpaka sa kumi na mbili asubuhi tena.
Umesema vyema.. Yeye kama hana maendeleo asije hapa JF aende kufanya maendeleo huko
 
hata wale watani wangu watu8, platozoom, BUCHANAGANDE, Mtambuzi na Bishanga wameacha kuchunga ng'ombe wanashinda Jf, kila kitu napata hapa!
Ne niwuka lepi, nitama bahapa, nigendi gendiliii wee kufesibuku, sikayipee, vanabodi, vanamageuzi kwali, wyn, pa Jf ndi nihikili!

Mtani hapa nishapoteza ng'ombe wawili nahangaika kuwatafuta, nilikuwa nimezama JF nikajisahau ...
Usiwuke kokote we mtani....na kweli pa JF ndi nihikili!!!
 
Mtani hapa nishapoteza ng'ombe wawili nahangaika kuwatafuta, nilikuwa nimezama JF nikajisahau ...
Usiwuke kokote we mtani....na kweli pa JF ndi nihikili!!!

Hahahahahahah! Nawapongeza dada zangu hasa kwa kutimiza kale kampango ketu ka "ngonolism" -kuifanya afrika yote ya wangoni na lugha yetu iwe ya Afrika! Najua dada amekukumezesha mistari michache ya kutokelezea japo kwa salamu na maji ya kunywa!!
 
hapo ndio ukute umevaa sarawili ya kitambaa halafu kitu yako ndio ma inch kadhaa huko mbele, sipati picha teh teh.

hapo ni mwendo wa mkono mfukoni kwa style fulan kuweka mambo sawa
 
Black Bat- kuna distance kubwa kati ya bega na zipu. Au abiria hao madada ni wafupi kiasi cha mabega kufikia zipu?
Panda daladala halafu kosaa kiti simama pembeni ya mdada tena wa heshima.... Wakati safari inaendelea mdada atajitahidi sana bega lake likuguse kwenye zip yako... Sjui wanatafuta kuguswa na nini ukisogea nyuma atajifanya Kakausha anasubiri gari iwatingishe ajisogeze tena kwako....
Mna maana gani nawauliza ?
 
hii inanitokea live,nipo ktk daladala,kuna mdada kasimama mimi nimekaa,ajabu naona yeye anajitahidi kupekecha maeneo yake ya mbele straight kwenye bega langu,na hii hali ya kamvua hapa dar naona anaongeza kasi ya kujisugua,ndio kwanza tupo mwenge mpaka tukifika kkoo sijui itakuwaje
 
Mhhh labda wewe hapo kwenye zipu pana hali fulani ya utofauti na wanaume wengine.
 
wenye mikebe mnakosa mengi maramojamoja mpande daladala muone mambo
 
mbona sijawahi kukutana na mdada akanifanyia hayo mambo?Na ham kweli nikutane wa ivo, sku iyo iyo nitakula mzigo
 
Back
Top Bottom