dah, umemchana hadi raha aisee
we nawe nikicheche tu utatoaje namba ya cm kwa mtu usiye mfahamu? (ungekuwa uko single ni sawa) tena unathubutu kumtambulisha kwa wife wako ili iweje au unataka wawe marafiki ili ule kiulaini? Acha uhuni wewe mueshimu mkeo!