umeonaeeeh, tukisha wageukia huko nyuma mnashinwa vumilia nakuanza chafua skirt zetu. Kuna mmoja nilimchanaga live, alianza kugusisha naniliu yake kwa makalio yangu nikamsikilizia tu ilinione anataka kufanyaje then nikaona jamaa anaanza zungusha mkono kiunoni si ndio nikahisi hapa nitabakwa hadhani bcoz jamaa akili yake ilikuwa kama imehama vile, hapo hapo nilimgeukia na kumpa za uso abiria wenzangu na wenyewe hawakumbakisha jamaa aliona aibu na kumuomba dereva ashuke coz ilikuwa ni bonge la aibu sizani kama atarudia tena
itabidi nifanye utafiti