LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,929
- 37,784
- Thread starter
- #201
[Wewe ni mtu radical, premitive sana, fake, commanding, demanding, rigid, oppressive, abusive na ni vigumu kuishi na mke. Hata huyo mzungu mtaachana si muda mrefu.].............Vyote hivi vya kwangu! dah we kweli Great Thinker.
[Try to be real!. Kuna wanawake wanaowazidi wanawake wa kizungu kuvaa mawigi? Naona umeo mzungu kwa macho hata hujawahi kuwa nao hata karibu.]............ Ndio wapo, huwajui kumbe? watakucheka watu!
Umekwenda kwa mzungu kwa interest zingine na si mapenzi. Kama unaweza kula, na ku cope na maisha ya mzungu kwa mzungu usiyempenda, kitu gani kinakufanya usi cope na maisha ya kizungu kwa Mwafrica unayempenda?........................ Interest zipi hizo unadhani Mr. GT? anyways hivi umeisoma hoja yangu vizuri kweli wewe? nina mashaka na hilo.
[Naona haujui hata kitu unapenda ila unatawaliwa na arrogance na self pride isiyo na msingi wowote. Nahisi wewe iko natoka musoma majita]...................Wanao toka Musoma Majita sio watu? ama mawazo yao hayaruhusiwe JF?
[What do you know about Africa women? These few creatures are gifted!. Special gifts that comes purely from heaven and in no ways can be imitated. Value ya mwanamke Mwafrica haipo katika mavazi, kutembea wala mitindo ya nywele.]...I know that, but unfortunately hao wanawake wa kiafrika kwa maana ya wanawake wa kiafrika, hawapatikani kaka, wamekuwa kama wazungu, wanajifanya wazungu, so ile mantinki ya kuwa na mwanamke wa kiafrika haipo tena, nadhani umenisoma, nimependa hoja zako unaonekana ni muelewa and u can be my good follower.
[African mamas are more than their black true colors and beautiful eyes! Umebug men! ]..Ur so right na ninakubaliana na wewe kwa asilimia mia moja but kama utakuwa umenielewa vizuri, I didnt talk about mamas, i talked about women! dont get me wrong brothers and sisters.