Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Hivi yakhe, wewe hujui namna ya kumnukuu unayemjibu?

Hata mimi namshangaa huyu mwanazuon anatuchosa sana anavyosambaza haya majibu bora hata angefanya kifacebuk aweke @flan namashaka na sana Computre knowledge ya huyu Likud mkuu!
 
Unawezaje kuja na hoja km hii wewe mwanazuon wakat huu ambapo dunia ni km kijiji!
Wewe sio mzungu na hauujui uzungu kwa hiyo huyo mkeo huwez sema ni original au fake!
Kwa taarifa yako mzungu original haolewi na mtu mweusi same goes kwa mwafrika original,ktk list wa waafrika original haupo na wala huyo mkeo co orijinal!
Hamna mabadiliko ya kimila, desturi na utamadun yakatokea ktk jamii yakaathiri jinsia moja yakaacha nyingne kwa hiyo km hamna wanawake wakiafrika original bas ht wanaume hawapo!
Kaka usijipe moyo kuwa ulichokifanya ni sahihi wakat dhamira inakusuta mpk unajaribu kutafuta sabab kujiridhisha kuwa haujakosea(hauna uwakika kwamba u will neva regret marrying that mzungu!
Next tym jaribu kuwa specific km unalinganisha lets say wanawake wa kitanzania na wazungu(sema frm where) sababu Afrika ni kubwa na hatufanani kwa kila kitu ht kusin mwa jangwa la Sahara tu!na wazungu wapo wa kila dizain na mataifa hawafanan kias kwamba wengne hawawez kuwa na intermarry na uhakika uzungu unaoutetea hapa ni wa kwenye muvi mana ndo weng mwaujua !
Labda nikuulize kwako wewe mzungu akipata makeup its natural bt kwa mtu mweus ni kufake!?Huu utumwa wa fikra utaisha lini!?
Kwa hiyo unavomlazimisha mkeo mzungu kuish kiafrika anakua na tofaut gan na mwanamke wa kiafrika anaeish kizungu!?au kwa sabab ni mzung kuish kiafrika sio kufake! Khaaaaa!!ufinyu gan wa fikra huu!
Km mnataka uafrika urud basi tuanzie mashulen tuache kujifunza ustaarab wa kizungu we km ni msomi wa bongo yetu jua kila unachofanya ukiapply ulivosoma huo ni uzungu km kuiga ni kufak bas taif zma 2mefek frm the start!! usilete mfumo dume kuwanyoshea vidole wanawake tu!!!
Mengine wadau washakwambia, Mkataa kwao mtumwa na akikua atakua mwanga!

Kaka unaweza kuwa sahihi sana, but swali langu kwako, unakubaliana na mimi kwamba asilimia kubwa ya dada zetu wa kibongo hasa walipita pita shule kidogo wanautuukuza sana wa kizungu kiasi cha kupoteza uafrika waom jambo ambalo ni tatizo linalo hitaji kutatuliwa?
 
eti msomi wa chuo kikuu hajui hata kuquote comment za wa2 mbona unajipa kazi kutype ndugu yangu. umeanza kutumia computer{ sijui simu} lini. mimi kwa hili 2 siamini kama unahiyo elimu unayojisifia.........Honestly ur so right bado sija master namna ya ku quote hapa JF, coz ni mgeni kwenye hii social network, nina kama wiki mbili tu, ukinielekeza utakuwa umenisaidia sana, and i think msomi wa kweli ni yule anaye ukubali ukweli, siwezi ku pretend

" A crtical Thinker always change his view when faced with better argument '

wewe mi siku ya kwanza tu nlijua kuquote na ugeni wangu we kilaza na ndo maana ukaja na hoja dhaifu.
Kila kitu mpaka ufundishwe
 
ha ha mdingi wangu kaingiaje hapo???
Vipi unataka akucamerun nini???
Wewe una kikojoleo lilichosimama ila huna sifa ya kuwa mwanaume period!!!!!!!!

Hapo umemtusi baba yako sio mimi, nenda kamuombe radhi, anyways siwezi kureact kwa sababu najua katika matusi yote makubwa ambayo wanawake ( hasa wale machakaramu ) huwa wanawatukana wanaume, hilo la kukameruni ndio tusi namba moja, so siwezi kuwa offended kwa sababu umenitukana hivyo, zaidi na zaidi nachukulia hiyo kama sababu ya kuifanya hoja yangu kuwa na mashiko zaidi.
 
wewe mi siku ya kwanza tu nlijua kuquote na ugeni wangu we kilaza na ndo maana ukaja na hoja dhaifu.
Kila kitu mpaka ufundishwe
................Kweli? how did u do that? can u coach me?
 
Hoja zimekushinda , unakimbilia kutukana, anyways hayo matusi sio mageni, ni matusi ambayo wanawake wasio na maadili hutumia kuwatukana wanaume ili kuwaudhi
 
Unawezaje kuja na hoja km hii wewe mwanazuon wakat huu ambapo dunia ni km kijiji!
Wewe sio mzungu na hauujui uzungu kwa hiyo huyo mkeo huwez sema ni original au fake!
Kwa taarifa yako mzungu original haolewi na mtu mweusi same goes kwa mwafrika original,ktk list wa waafrika original haupo na wala huyo mkeo co orijinal!
Hamna mabadiliko ya kimila, desturi na utamadun yakatokea ktk jamii yakaathiri jinsia moja yakaacha nyingne kwa hiyo km hamna wanawake wakiafrika original bas ht wanaume hawapo!
Kaka usijipe moyo kuwa ulichokifanya ni sahihi wakat dhamira inakusuta mpk unajaribu kutafuta sabab kujiridhisha kuwa haujakosea(hauna uwakika kwamba u will neva regret marrying that mzungu!
Next tym jaribu kuwa specific km unalinganisha lets say wanawake wa kitanzania na wazungu(sema frm where) sababu Afrika ni kubwa na hatufanani kwa kila kitu ht kusin mwa jangwa la Sahara tu!na wazungu wapo wa kila dizain na mataifa hawafanan kias kwamba wengne hawawez kuwa na intermarry na uhakika uzungu unaoutetea hapa ni wa kwenye muvi mana ndo weng mwaujua !
Labda nikuulize kwako wewe mzungu akipata makeup its natural bt kwa mtu mweus ni kufake!?Huu utumwa wa fikra utaisha lini!?
Kwa hiyo unavomlazimisha mkeo mzungu kuish kiafrika anakua na tofaut gan na mwanamke wa kiafrika anaeish kizungu!?au kwa sabab ni mzung kuish kiafrika sio kufake! Khaaaaa!!ufinyu gan wa fikra huu!
Km mnataka uafrika urud basi tuanzie mashulen tuache kujifunza ustaarab wa kizungu we km ni msomi wa bongo yetu jua kila unachofanya ukiapply ulivosoma huo ni uzungu km kuiga ni kufak bas taif zma 2mefek frm the start!! usilete mfumo dume kuwanyoshea vidole wanawake tu!!!
Mengine wadau washakwambia, Mkataa kwao mtumwa na akikua atakua mwanga!

Kaka unaweza kuwa sahihi sana, but swali langu kwako, unakubaliana na mimi kwamba asilimia kubwa ya dada zetu wa kibongo hasa walipita pita shule kidogo wanautuukuza sana wa kizungu kiasi cha kupoteza uafrika waom jambo ambalo ni tatizo linalo hitaji kutatuliwa?

Kumbe mkeo ni mmarekani!!!! Hamna taifa lililochakachulia na kumixiwa km Marekan,hamna mzungu wala mwafrika ,muhind wala mchina orijino anayepatkana Marekan!
Kubaliana na mim kuwa mkeo sio mzungu original ndo mana umedrag kirahic kuja nae huku jambo ambolo si rahic kutokea kwa mjeruman au mdanish!
Kuhusu wadada kupoteza uafrika hata wakaka wamepoteza kwan wanaish ktk jamii tofaut c wote wapo bongo!
Ndo mana hata wewe hukuona shida kuoa huyo mmarekan kwa sabab we ni mwafrika uloupoteza uafrika!
Asilia 70 ya Tanzania ni maeneo ya vijiji ya na huko nakuhakikishia wanawake wakiafrika wamejaa kibao sema imekua kasumba kuchukua sample frm Dsm kuwakilisha Tz!
Tunasahau kuwa Dar ni km marekan hakuna mwenyewe hvo hakuna utamadun,mila wala destur na wapo ambao wanaish kimila na taratibu za kiafrika ndan ya Dar!
Km kwel umeish USA utakubaliana na mim Dar o Tz km usemavo, has fewer fake woman compared to USA!na hatujafikia huko ht 2kisema 2count m1 m1!
 
Unawezaje kuja na hoja km hii wewe mwanazuon wakat huu ambapo dunia ni km kijiji!
Wewe sio mzungu na hauujui uzungu kwa hiyo huyo mkeo huwez sema ni original au fake!
Kwa taarifa yako mzungu original haolewi na mtu mweusi same goes kwa mwafrika original,ktk list wa waafrika original haupo na wala huyo mkeo co orijinal!
Hamna mabadiliko ya kimila, desturi na utamadun yakatokea ktk jamii yakaathiri jinsia moja yakaacha nyingne kwa hiyo km hamna wanawake wakiafrika original bas ht wanaume hawapo!
Kaka usijipe moyo kuwa ulichokifanya ni sahihi wakat dhamira inakusuta mpk unajaribu kutafuta sabab kujiridhisha kuwa haujakosea(hauna uwakika kwamba u will neva regret marrying that mzungu!
Next tym jaribu kuwa specific km unalinganisha lets say wanawake wa kitanzania na wazungu(sema frm where) sababu Afrika ni kubwa na hatufanani kwa kila kitu ht kusin mwa jangwa la Sahara tu!na wazungu wapo wa kila dizain na mataifa hawafanan kias kwamba wengne hawawez kuwa na intermarry na uhakika uzungu unaoutetea hapa ni wa kwenye muvi mana ndo weng mwaujua !
Labda nikuulize kwako wewe mzungu akipata makeup its natural bt kwa mtu mweus ni kufake!?Huu utumwa wa fikra utaisha lini!?
Kwa hiyo unavomlazimisha mkeo mzungu kuish kiafrika anakua na tofaut gan na mwanamke wa kiafrika anaeish kizungu!?au kwa sabab ni mzung kuish kiafrika sio kufake! Khaaaaa!!ufinyu gan wa fikra huu!
Km mnataka uafrika urud basi tuanzie mashulen tuache kujifunza ustaarab wa kizungu we km ni msomi wa bongo yetu jua kila unachofanya ukiapply ulivosoma huo ni uzungu km kuiga ni kufak bas taif zma 2mefek frm the start!! usilete mfumo dume kuwanyoshea vidole wanawake tu!!!
Mengine wadau washakwambia, Mkataa kwao mtumwa na akikua atakua mwanga!

Kaka unaweza kuwa sahihi sana, but swali langu kwako, unakubaliana na mimi kwamba asilimia kubwa ya dada zetu wa kibongo hasa walipita pita shule kidogo wanautuukuza sana wa kizungu kiasi cha kupoteza uafrika waom jambo ambalo ni tatizo linalo hitaji kutatuliwa?

Kumbe mkeo ni mmarekani!!!! Hamna taifa lililochakachuliwa na kumixiwa km Marekan,hamna mzungu wala mwafrika ,muhind wala mchina orijino anayepatkana Marekan!
Kubaliana na mim kuwa mkeo sio mzungu original ndo mana umemdrag kirahic kuja nae huku jambo ambalo si rahic kutokea kwa mjeruman au mdanish!
Kuhusu wadada kupoteza uafrika hata wakaka wamepoteza kwan wanaish ktk jamii tofaut c wote wapo bongo!
Ndo mana hata wewe hukuona shida kuoa huyo mmarekan kwa sabab we ni mwafrika uloupoteza uafrika!
Asilia 70 ya Tanzania ni maeneo ya vijiji ya na huko nakuhakikishia wanawake wakiafrika wamejaa kibao sema imekua kasumba kuchukua sample frm Dsm kuwakilisha Tz!
Tunasahau kuwa Dar ni km marekan hakuna mwenyewe hvo hakuna utamadun,mila wala destur na wapo ambao wanaish kimila na taratibu za kiafrika ndan ya Dar!
Km kwel umeish USA utakubaliana na mim Dar o Tz km usemavo, has fewer fake woman compared to USA!na hatujafikia huko ht 2kisema 2count m1 m1!
Hukuoa mzungu kukumbia unachokidai ufake wa wadada wa kiafrika kuwa km wazungu kwan hata huyo mzungu ulompata co orijinal prblm nt solved here!
Wewe ulipata nafas ya kwenda USA ukampata huyo mzungu shukuru Mungu km mmeoana sabab mnapendana na c vngnevyo!
Je wasiopata nafasi ya kufanya ivo je wasioe hapa Afrika kwa hzo sababu!!?hapa ndipo panapofanya weng wasikuelewe!
Huwez sema sifa mbaya za koz ambayo hukuweza kusoma halafu ukadai ndo sababu haukuisoma wkt ukweli ni kwamba haikua chaguo lako au u wish u could ve study bt u didnt ve a chance to, and that does not make that course the worst option for u or for others!
Nilitegemea kukuta sifa za wanawake wa kizungu kutokana na heading ya thread yako na sivo km ulivofanya km lengo lako ni kutaka wadada wakiafrika waurudie uafrika ungewaeleza tu namna ya kufanya ivo kwa kuwaonesha ubaya wa kuupoteza uafrika au ubaya wa uzungu wanaoupenda(si umeoa mzungu lzma wajua ucya na uzur)
Au ungewapa uzur mwa mwanamke wa kiafrika kumantain status yake badala ya kucriticise na kuwacompare kwa hoja ambazo ukizichunguza mtu anakuona tu km sungura mjanja "sizitaki mbichi hz" ndo mana wachangiaj weng wameluz patients na wewe!unaweza kudhan ujumbe umefka lkn kwa hasira weng hawatazingatia usemacho ivo ujumbe umefka ila haujaeleweka!
 
@ Jalem .Ndugu yangu likud, kumbuka hata Shetani hushangaa watu wanapofanya mabaya
kumzidi.....
Unamjua shetani au unamsikia weye?

nakuhakikishia hata wazungu wanakushangaa, kuwatusi dada zetu, mama zetu, nyanya zetu, baba zetu, ukijumlisha mama aliyekuzaa kuwa nae feki, baba aliyekuzaa ni feki, kwani mtoto wa nyoka ni nyoka hawezi kuwa asmaki, ati anakaa baharini, ..........Unaelewa ninacho zungumza kweli kaka, ama una comment ili akina amu, Madame B. Lara 1 et al wa kupe like? sija mtaja " mama" hapo, nimezungumzia mke wa kuoa kaka. Wewe unaweza kumuoa mama yako?, acheni kuwa na hoja dhaifu namna hii, mimi nipo kwenye my early twenties so obviosly wanawake ninao waungumzia ni wa kizazi hiki cha sasa ( dada zetu ) najua JF ni the home of GT so sikuwa na haja ya kuanza tena kufafanua hapo kana kwamba ninazungumza na watoto wa chekechea, so get ur fact right na uwe honest kwenye hoja zako.

Pole sn na ulimbukeni ndugu yangu kwa kuona mwezi basi, nakuhakikishia watu wazima na heshima zao wanasoma uzi huu, nakukuona ulivyojifekisha mbele ya mzungu, hauna tofauti na kisiwa cha mayoti walikataa kuwa huru wanataka watawaliwe na ufaransa, unathubu kulaani kwanini ulizaliwa ufekini karibu na uswekeni, nakupa pole sn dogo janja, ukidhani kuwa hutabadilika sura na kuwa nyani mweusi, pale wanao watakapo kutusi na kukufananisha na nyani mweusi
,

Kama haujaelewa hoja ni bora upige kimya, " mpumbavu aliye piga kimya huonekana mwenye hekima " mimi nimeweka wazi kabisa kwamba ninautukuza uafrika, na ninakerwa na dada zangu wa kibongo kujifanya wazungu kitu ambacho kimenifanya niamue kuoa mzungu kabisa kuliko kuoa hawa dada zangu wazungu feki, unashindwa kuelewa mantinki ya sentensi hii? unawezaje kusema kwamba mimi nina utukuza uzungu kwa hoja niliyo itoa hapo juu? hebu jaribu kuwa makini unapokuwa unachangia hoja.

naamini siku moja utakumbuka maneno yangu, kuwa umeingilia mlango wakutokea, huoni exit ukaanza kulaani kwanini mlango haufunguki..................So unalaani?

Nakumbia tena omba radhiiiii, wacha kushikilia misimamo ya Kumbi na Kumbinga, wasomi tupo wengi lkn tunajiheshimu, tumeoa wasio soma kuliko sisi na tunapeta sn tunaheshiwa kama wafalme wadogo ktk familia zetu? unaporudi unasema naamu niko hom.
Unadanganywa na karangi, subiri mkunyanzi utakimbilia akina Lara 1 baby face za daima, pole sana,
nakuomba utubu kwa kusema ujinga mbele ya wasomi kama au zaidi yako
...Nina mashaka sana kama unajua unacho kizungumza.
 
@ Discpline, she is an Irish Jew
 
pole kwakulishwa kitimoto kila siku ilhali kwako ni kharam umebug meeeeeeeeeeeeeeeeeeen no point of view here kwanza huna hata hadhi yakuoa mzungu wewe

Wanawake wa kiafrika mna maneno! Haya tumwagie vigezo vya kuoa mzungu tujipange
 
hongera dude kwa kuoa blonde good for you
wewe mi siku ya kwanza tu nlijua kuquote na ugeni wangu we kilaza na ndo maana ukaja na hoja dhaifu.
Kila kitu mpaka ufundishwe
................Kweli? how did u do that? can u coach me?
 
ha! ha! haaaaa!! Yaani amu wewe nadhani kama sio fake basi ni changu!! AMkatrina nasikia unalea kiserengeti poleee weee!

Haya Stamina na LIKUD Mmejiona????
Gay-kiss.jpg

NDO HAYA MNAYOKIMBILIAGA ULAYA.
 
Mwanazuoni gani hujui kuandika kitu kikaeleweka au kutumia kanuni za uandishi? Pia, mwanazuoni wa kweli hawezi kupita akijinadi kuwa yeye ni mwanazuoni kwa sababu kufanya hivyo ni kupingana na dhana nzima ya uanazuoni

Aliyekwambia Wazungu hawavai wigs au kuweka extensions kakudanganya. Wanabandika nywele kwa sababu Wazungu wengi wananywele kidogo kichwani hawapendi.
i

You have my rep points mkuu

Unataka tukupigie makofi na vigeregere kwa kuoa MZUNGU ORIGINAL?

Acha ulimbukeni. Si kosa wewe kuoa mzungu kwa sababu zako unazoona ni za msingi. KOSA LAKO ni kujiona wewe uko SAHIHI bila kukumbuka kama binadamu lazima una mapungufu ambayo hata huyo mzungu wako anaweza kukushindwa na ukarudi kutafuta mwafrika au akakufanya uishi maisha ya kitumwa ambayo yatakufanya isiifurahie hiyo ndoa. Nakushangaa kwa kujaribu kuashawishi na wengine waoe wazungu. ELEWA kila KIUMBE anastahili kuwa na ndoa tamu na ampendaye bila kujali rangi, sura, elimu, au aina fulani ya maisha.... FAHAMU hakuna aliyekamilika.

Well spoken, sioni haja ya kuandika kitabu kueleza sababu ya kuoa mzungu, ni kitu gani unataka kujustify? kama unaoa, oa kimya kimya, sio lazima uanze kus-spread the word hapa. Sasa atakayekuambia mzungu ni fake kwa sababu ya breast, na buttocks implants? utasemaje? all the makeups used to cover uo sura mbaya mbaya, unalo la kusema?
 
Ujinga mkubwa ni kujisifu kwamba umesoma! You are a learned person, not educated one! Pouleee!
 
mazee unakula vitu kama hizi au yale ma tipwaX2?haya bana kula bata...wg.jpg
 
'UMEOA mwanamke wa kizungu na HUTOKAA UOE mwanamke wa kiafrika;una watoto watatu,mkubwa ana miaka sita;upo kwenye EARLY TWENTIES;unatumia sana mstari wa mh.Sugu kwenye wimbo wa Mambo ya Fedha..'mapenzi kidogo mizinga mingi';umeolea Marekani ukaja na mkeo bongo;"
ukijumlisha na upuuzi mwingi ulioongea,rada za kiintelijensia zimekubaini we ni 'kilazest'.neno kwa hisani ya amu.
 
Last edited by a moderator:
Mwanazuoni gani hujui kuandika kitu kikaeleweka au kutumia kanuni za uandishi? Pia, mwanazuoni wa kweli hawezi kupita akijinadi kuwa yeye ni mwanazuoni kwa sababu kufanya hivyo ni kupingana na dhana nzima ya uanazuoni

Huwezi ukawa na neno "wote" ikisha ukawa na neno "hususan", kama ni wote basi ni wote kwa jumla hakuna atokae humo, na kama ni hususan wanawake fulani basi sio wote

Fikra na mawazo ya mwanamke wa Kiafrika ni yepi? Mwanamke wa Kiafrika anaongea vipi na wa Kimagharibi anaongea vipi? Na mwondoko jee?
Unataka kutuambia wewe unatembea na kaniki au rubega barabarani au wewe kuvaa mavazi ya kimagharibi ni ruhsa ila akifanya mwanamke ni mwao?

Sio usingeweza, sema usingetaka. Kwa sabababu hakuna chochote kinachoongoa uwezo wako huo, zaidi ya utashi na matakwa yako.

Umewafanyia utafiti wanawake wangapi ukajua kuwa hawalipi bills? Kuna wanaume wanatunzwa na wanawake kabisa itakuwa kulipa bill?

Aliyekwambia Wazungu hawavai wigs au kuweka extensions kakudanganya. Wanabandika nywele kwa sababu Wazungu wengi wananywele kidogo kichwani hawapendi.

Mtu asiyeweza hata kuunga sentensi mbili bila ya vidoto na asiyeweza hata kuelewa kanuni za uandishi, si mwandishi

Dah! Mzee gaijin povu limekutoka...
 
Back
Top Bottom