Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
, mimi nipo kwenye my early twenties so obviosly wanawake ninao waungumzia ni wa kizazi hiki cha sasa ( dada zetu ).
Nenda kwanza kaondoe tui la balehe linalokuwasha.
, mimi nipo kwenye my early twenties so obviosly wanawake ninao waungumzia ni wa kizazi hiki cha sasa ( dada zetu ).
Nyunzo swrty mi nakuambia jamaa ana njaa balaa.
Hapo katoa kijijarida eti ana kiita kitabu kumfurahisha huyo mzungu koko wake na kujikomba ili aonekane anampenda sana.
Sasa kajishauri aje huku jamii forum kukipigia debe ili akitoa kiuzike matokeo yake kakutana na makavu live.
Pole sana jipange maana ukila hasara hilo lijanamke lako halitakuelewa kabisaaaaa
You have my rep points mkuu
Well spoken, sioni haja ya kuandika kitabu kueleza sababu ya kuoa mzungu, ni kitu gani unataka kujustify? kama unaoa, oa kimya kimya, sio lazima uanze kus-spread the word hapa. Sasa atakayekuambia mzungu ni fake kwa sababu ya breast, na buttocks implants? utasemaje? all the makeups used to cover uo sura mbaya mbaya, unalo la kusema?
Katika sababu nilizo zitoa sikuzungumzia suala la kulipa bill kama sababu iiliyo nifanya kuwa disqualify wanawake " wazungu fake " la, ilikuwa changamoto tu kwa akina dada wanao jifanya wazungu halafu anakufanya we ndo dingi, mapenzi kidogo mizinga mingi.. Ninafahamu majukumu ya mwanaume kwa mke wake, na kwa taarifa yako am so responsible man, not only to my wife and children, but even to my extended family..najua mtanichukia kwa sababu nimesema ukweli, mademu wa kibongo acheni kujifanya wazungu mnaboa ile mbaya.....mwafrika ni mwafrika tu na utaendelea kuwa mwafrika hadi kaburini.. Fikiria! una nywele feki, nyusi feki, kucha feki, tabasamu feki, unaongea feki, mapenzi feki, halafu unataka real man!
hichi kitoto kimeingia juzi hapa lakini kina mdomo, sijapata kuona, nilikua sijaona umri, eti early twenties... hebu nenda FB kule kwa wanuka shombo wenzio, huku ni kwa watu wazima wenye akili zao, umeona watu wanaandika unayoandika hapa. usituharibie jamvi letu. nani aliyekupa taarifa za hili jamvi maana hata adabu huna. Umeona kuna mtoto mwenzio hapa. Hebu toka, na usirudi tena... nonesense.....:A S angry:
Ningejua ni kinuka shombo hata nisinge comment hapo juu.
Me Namshangaa sana, eti kbs unakuja mbele ya Kadamnasi na kuanza kujisifia eti.ohoooo..... nimeoa Mzungu,
Mzungu nani Bhana hapa, Kitu zipo kwenye ngozi nyeusi,
1. Tuna Joto miilini mwetu tofauti na huyo kitimoto wako.
2. Mauno na ma-Style yooote tunayajua, tofauti na huyo mzungu wako,sanasana atakupa mbinjuko tu.
3. Ngozi zetu zina Afya na Rutuba tofauti na hao wa jamii ya Mkeo, ngozi haieleweki kama ya Kitimoto.
4. Weusi sisi tuna shepu, tofauti na hao, Katika wazungu 10, 2 tu ndo wenye shepu, waliobaki wote Shapeless.
5. ..........................
![]()
VS
![]()
CHAGUO NI LAKO
Mbona unalinganisha kijana na mzee? LINGANISHA WENYE RIKA SAWA
wazungu bila make up nikama paka shume bila kujazia nywele nikama paka kinyafu kanyeshewa na mvua bila high heels wakitembea utafikiri wanashusha milima ya mlalo kwa upande wetu sasa tukivua highheels huko nyuma utafikiri tunacheza baikoko utashikilia dushelele hadi uite mama bila makeup utahisi model yupo mbele yako oooooh ww ni msomi nani kasema ww msomi ww ni feki msomi wa somi tupo africa bhana tume beba mbolea na mafagio lkn tuna akili na tume pasua kila idara njoo njoo njiro uhasibu mount meru university na mikoa mingine uone ma model wanavyo nyiritika ukome kutu fananisha na huyo mnuka mikojo wako anae chambia makaratasi. Papuchi zetu full udi weee komaaaaa nakwambia tena tumesoma sana mfano mdogo rose migiro ni feki weeeeee!!!!!!!!! Koooooomaaaaaaaa!!!!!!!!!!!