Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

There are currently 118 users browsing this thread. (41 members and 77 guests)

Yeah ninakubali ushamba, kwa sababu nipo real na sioni tatizo kusema sijui kitu fulani, " kuwa mjanja huwa kunaanzia kwenye kutokua mjanja"

Ulizaliwa kwa bahati mbaya kilabuni nn?
 
Una shanga nikuazime ukamvalie mzungu wako????
We umeolewa tu kubali kataa.
Elimu huna umejiajiri kukata mauno.
Hivi nani alikuuliza??
Hao wazungu wenyewe wanafagilia wabongo.
Nani anataka wanaonuka kama beberu?wabaridi kama chura...
 
Jina lako tu linaonyesha wewe ni mtu aina gani, wanawake mashabiki wa muziki wa taarabu wana tabia zao hivi ambazo ni hatari sana kwa maisha ya mwanadamu.
 
Huyo mweshimiwa amepata kitu tunachoita kichaa cha elimu mbaya.
 
Ni uamuzi mzuri kwa upande wa sababu ulizoeleza,lakini ngoja utakapo-face upande wa pili wa shilingi mara huyo mzungu atakapokuchoka.na itakua vizuri akikuchoka kabla hujamaliza kuandika hicho kitabu chako.nimeoa huko pia kwa fikra kama zako lakini kwasasa sina hamu.ni hivyo kanikuta na mimi mtu wa vita akapoa mwenyewe.
Speaking from experience
 
Una shanga nikuazime ukamvalie mzungu wako????
We umeolewa tu kubali kataa
..........................Amu tatizo lako you are so loud and u think u smart for that, ur totally wrong mgolle
 
Una shanga nikuazime ukamvalie mzungu wako????
We umeolewa tu kubali kataa

funny+skinny+man+fat+woman+photos+7.jpg
 
" Una shanga nikuazime ukamvalie mzungu wako????
We umeolewa tu kubali kataa.
Elimu huna umejiajiri kukata mauno.
Hivi nani alikuuliza??
Hao wazungu wenyewe wanafagilia wabongo.
Nani anataka wanaonuka kama beberu?wabaridi kama chura
..." .........................................
Siwezi kujibishana na mtu anayetumia lugha za namna hii, ur mind has been corrupted, and unadhani unaweza kuni offend kwa kutumia lugha chafu kama hizi, anyways najua unakubaliana na mimi nafsini mwako but unajilazimisha kutokukubaliana kwa sababu unajua ndio ukweli na ukweli siku zote unauma..Personally siwezi kujivunia kuwa na mwanamke anaye tumia lugha chafu kama hizi kwa sababu kwangu mwanamke ni chombo chenye thamani kubwa sana sio bla bla kama mlivyo zoea
 
Una shanga nikuazime ukamvalie mzungu wako????
We umeolewa tu kubali kataa
..........................Amu tatizo lako you are so loud and u think u smart for that, ur totally wrong mgolle

Ufukara umekufanya uolewe na mzungu
 
YESU NA MARIA!!!!!!!yaani una waita wenzio "SIDEKICKS"
 
Madame B inaonekana umeguswa sana
 
No thank you!

Wewe ni mtu radical, premitive sana, fake, commanding, demanding, rigid, oppressive, abusive na ni vigumu kuishi na mke. Hata huyo mzungu mtaachana si muda mrefu.

Try to be real!. Kuna wanawake wanaowazidi wanawake wa kizungu kuvaa mawigi? Naona umeoa mzungu kwa macho hata hujawahi kuwa nao hata karibu.

Eti wanawake waki afrika wanavaa na kula kama wazungu. It seems huna choice. Umekwenda kwa mzungu kwa interest zingine na si mapenzi. Kama unaweza kula, na ku cope na maisha ya mzungu kwa mzungu usiyempenda, kitu gani kinakufanya usi cope na maisha ya kizungu kwa Mwafrica unayempenda?

Na huyo mzungu atakapoanza kusuka nywele na kuvaa vitenge na khanga utamwacha? Wewe pwagu kweli.

Naona haujui hata kitu unapenda ila unatawaliwa na arrogance na self pride isiyo na msingi wowote. Nahisi wewe iko natoka musoma majita.

What do you know about African women? These few creatures are gifted!. Special gifts that comes purely from heaven and in no ways can be imitated. Value ya mwanamke Mwafrica haipo katika mavazi, kutembea wala mitindo ya nywele.

African mamas are more than their black true colors and beautiful eyes! Umebug men!

Sana sana kama ulitaka wanawake wa kiafrica ili wakuabudu, umepotea. Sasa hivi hakuna kitu hiyo tena.

Ukiweza kudefine elimu, utafahamu kwamba kigezo chako cha University degree kinadhihirisha namna gani ulivyombumbumbu unayehitaji msaada wa elimu sahihi kutoka kwa Wazee vijijini ambao hata kengele za shule hawakuziona.

Ninachokiona umejaa maringo na majivuno lakini hujui what education is na wala hujui what love is and moreover huna hata idea what marriage is!.

Pole sana.
 
Ulizaliwa kwa bahati mbaya kilabuni nn?

Nyunzo, wewe ni Great Thinker kweli? i realy doubt that
 
Umeamua unachokiamini lakini kumbuka sio wote unaowafikiria wanaishi kwa kuwaiga wazungu
 
" Una shanga nikuazime ukamvalie mzungu wako????
We umeolewa tu kubali kataa.
Elimu huna umejiajiri kukata mauno.
Hivi nani alikuuliza??
Hao wazungu wenyewe wanafagilia wabongo.
Nani anataka wanaonuka kama beberu?wabaridi kama chura
..." .........................................
Siwezi kujibishana na mtu anayetumia lugha za namna hii, ur mind has been corrupted, and unadhani unaweza kuni offend kwa kutumia lugha chafu kama hizi, anyways najua unakubaliana na mimi nafsini mwako but unajilazimisha kutokukubaliana kwa sababu unajua ndio ukweli na ukweli siku zote unauma..Personally siwezi kujivunia kuwa na mwanamke anaye tumia lugha chafu kama hizi kwa sababu kwangu mwanamke ni chombo chenye thamani kubwa sana sio bla bla kama mlivyo zoea

wewe kweli una mda wa kuandika quote zote hizo na kuziunganisha kweli kazi yako usiku kitandani tu kwa janamke lako lijumba.
Nipo pale pale we mchumba tu
 
Embu fikiria wanaume wote wanakuponda wanaume ndo kwana wanakurushia nondo...
Jiangalie wewe.
Angalizo anzisha blog yako uandike hayo uwe kama mwenzio mange anavyofanya.
 
Back
Top Bottom