Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Kwa nini nimoea mwanamke wa kizungu..

Wewe ndiye fake na primitive!. Mdada anayetaka mizinga mingi kwako wala hana uhusiano na uzungu. Unless uniambie ubahiri wako unaisha kwa kupewa penzi. Kwamba unalipa mizinga kwa ajili ya mapenzi tu!. Pyuuuuuuuuuuuuuuu! What a shame!.

Kujifanya wazungu ni kupi? Huna elimu inayokusaidia. Binadamu wana freedom ya kuchagua anachoona ni kizuri kwake including lugha!.

SANA SANA NAONA WEWE UNA MAJUTO NA WIVU. ULIDHANI MKEO ATAKUWA CLASSIC KULKO WASICHANA WA KIAFRICA. UNAPOONA SASA KAFUNIKWA UNAONA WIVU NA MAJUTO HIVYO UNAWA KASIRIKIA KWA VILE HUWEZI KUWAPATA TENA.

KWANZA HUONI AIBU WEWE MARRIED MAN KUANZA KUFUKUZANA NA FASHIONS ZA WASICHANA WA KIAFRICA? UNOKO GANI HUO? HUFAI HATA KWA DAWA. NENDA SHULE KWANZA UJIFUNZE HESHIMA NA USTAARABU NDIYO UJE HAPA. UNAJIDHARIRISHA TU HAPA KWAMBA NI MWANAMME MWENYE WIVU, MSHAMBA, BAHRI, LIMBUKENI, OMUBUMBUMBU LAKINI ANATAKA ETI WATU WAFUATE STANDARDS ZAKE. PLEASE! UNABOA SANA NA HUWEZI KUKAA NA MWANAMKE MWENYE AKILI TIMAMU. UTAKUWA UMEOA ZUNGU ZEZETA!.


...........Povu limekutoka kwa sababu nimekugusa mahali fulani, anayways ukweli utabaki kuwa ukweli..Siku zote ukweli huwa unapingwa tena kwa nguvu sana, ningeshangaa sana kama wanawake wa kibongo mngekubaliana na mimi katika hili, nguvu mnazo tumia kunipinga zinathibitisha namna hoja yangu ilivyo na mashiko
 
swrty mi nakuambia jamaa ana njaa balaa.
Hapo katoa kijijarida eti ana kiita kitabu kumfurahisha huyo mzungu koko wake na kujikomba ili aonekane anampenda sana.
Sasa kajishauri aje huku jamii forum kukipigia debe ili akitoa kiuzike matokeo yake kakutana na makavu live.
Pole sana jipange maana ukila hasara hilo lijanamke lako halitakuelewa kabisaaaaa
........................... Wewe mtoto unajifanya unajua wewe mpaka unakera..amu

@amu hakeri ila anasema ukweli, huwezi linganisha mwanamke wa Kiafrika na mijike ya kizungu LIKUD katika kitabu chako ongezea na haya kwani unadhani dada zetu wote wanapenda uzungu

  • Kwa adabu linganisha Mke wa Obama (Michelle) na waliopita wote Marehemu Kennedy mpaka Bush hao wake zao vituko walivyokuwa wakivifanya kuwa kimbelembele kuliko Marais
  • Kwa ukatili Mwenzio Mgosi wa Tanga (Mwivano) alioa Mzungu na wakaondoka kwenda USA kufika huko jamaa akagundua ni baridi hasa mpaka akaagiza nduguye aende na alipofika huko yule mkewe akaachika na kuwaachia nyumba yaliyofuata ni mauaji ya Dada yetu (Mwivano)
  • Ni wavivu kupindukia Mwanamme yoyote atakayeoa Mzungu asahau asilani kufuliwa nguo zake, kupikiwa Chakula chao, kuliwazwa hasa km akifiwa nanduguze hata Wazazi wake (yaani kulala Matanga) licha ya kutembelewa Mama hatataka
  • Mwanaume wa Kibantu utahenyeka kwa kumbeba mgongoni na kumpeleka popote humo nyumbani, utapewa zamuya kupika, kufua, kulea mtoto na hutatakiwa kuongeza mtoto mwingine zaidi ya mmoja, mwisho wake mtoto na Mama watakukimbia na kurudi kwao
Naomba nionyeshe ni % ngapi ya hao wake wa Kizungu waliozikwa Tanzania? usikute umeoa Chotara ya hawa Magireec, au Maburush ukaja kututambia ni baridi afadhali hao kuliko wazungu unaowaringia
Mtoto wa kiswahili acha kwa mapenzi na mauno
 
"Akupende nani, Mnuka Beberu wewe.
Unaukana U-Afrika unautaka nu-Zungu, Na utakufa Maskini.
Kwanza hutapata Mke wa Ki-Bongo kamwe.".
..Yani kama nakuona vile ulivyo fura kwa sababu umeambiwa ukweli, honestly ningekuwa dis apointed sana kama wanawake wa kibongo mngeunga mkono hoja yangu kwa sababu sio kawaida kwa ukweli kuungwa mkono na watu unaochoma..Anyways leo weekend wapi? natamani tuonane
 
" yaani wewe kilaza wa mavilazest..
Unajua maana ya kama???
Nimekuambia kama mange ili uwe free kumsifia huyo hawara yako na kuwasifia wanawake wa kizungu.
Mange mwenzio anamsifia mumewe mzungu na wanaume wa kizungu na kuwaponda wanaume wa kiafrika.
Na wewe ungeanzisha blog yako uwaponde wakina amu na uwasifie hao wazungu toleo la mwisho lako...
Huyo ni mfano tu kilazest wewe chukua idea hiyo maana ya kitabu imeshafail
" ....................................Huna adabu wewe mtoto wa kike! how can u talk to a man like that! au ndo kujitoa ufahamu kwenyewe huko? anyways unasema niwe kama mange halafu unakanusha tena ulicho kisema, how can u contradict urself in less than five minutes! anyways kama nilivyo kwambia wewe ni " kilaza " nimesema aina ya wanawake kama mange ndio niayo kinzana nayo, mimi ni mwafrika, ninaye amini katika uafrika, na ambaye nilitamani sana, kuwa na mwanamke wa kiafrika mwenye kuthamini na kutukuza mila na desturi za kiafrika, unfortunately most of them hawautaki uafrika, wanajinasibisha na uzungu, kitu ambacho kinanikera sana, natoa rai kwa wanawake wakiafrika wtoke " MISRI" warudi nyumbani, kosa langu ni lipi hapo? ni kitu gani ambacho unashindwa kuelewa hapo?

yaani wewe mvivu wa kufikiri balaa na una bichwa gumu kuelewa.
Na hiyo ni moja ya sababu kuopoa jikabati la kizungu lenye umbo bayaaaaa sura bayaaaaa kwa sababu huwezi kuface challege za life.
Hata kuchanganua sentensi zinakushinda.
Promo ya kijijarida chako peleka kwingine siyo humu....
 
kwakweli LIKUD umechoma watu!! unajua UKWELI unauma??? ukina wadada wengi wakibongo wanakua mbogo ujue ujumbe umefika!!

mpm huyo mariyooo mwenzio akuunganishie shemeji wake.
 
eti msmi wa chuo kikuu hajui hata kuquote comment za wa2 mbona unajipa kazi kutype ndugu yangu. umeanza kutumia computer{ sijui simu} lini. mimi kwa hili 2 siamini kama unahiyo elimu unayojisifia.
 
Mimi ni mwana "uma-jumuhi " wa kiafrika, ninaipenda Afrika, na ninautukuza sana uafrika wangu. Hata hivyo ninasikitika kuwataarifu wananzuoni wenzangu wa kiafrika, kwamba nimeoa mwanamke wa kizungu na sitakaa nioe mwanamke wa kiafrika ( hususani hawa wanao toka katika ukanda huu wa kusini mwa jangwa la sahara/ the saharans )...Kwa nini ? Fuatana nami:

1. Wanawake wa kiafrika hawapatikani tena C Ngoja niiweke kwa kiingereza ili upate kunielewa zaidi )

" African women are no longer existing ". Wanasichana wote wa kiafrika ( hsusuani wale ambao wamekwenda shule ) ni kama wazungu kama sio wazungu kabisa..Tazama nguo wanazo vaa, jinsi wanavyo ongea, namna wanavyo tembea, vyakula wanavyokula, mitindo yao ya nguo, nywele n.k. fikra zao, mawazo yao nakadhalika, vyote kwa pamoja ni akisi ya yale yanayo fanywa na wanawake wa nchi za kimagharibi..Hivyo basi mimi kuoa mwanamke wa kiafrika, haitakuwa na mantiki wala maana yoyote kama mwanamke mwenyewe atakuwa na hulka za kizungu ).

2. Kwa kiwango changu cha elimu, nisingeweza kuoa mwanamke ambaye kiwango chake cha elimu ni chini ya elimu ya chuo kikuu, na tulivyoona hapo juu kwamba wanawake wengi wa kiafrika waliosoma wanajifanya wazungu kabisa, so hoja hii inaunga mkono hoja yangu ya kwanza.


3. NINA PENDA VITU ORIGINAL NA SIO FAKE : Kama ningeoa mwanamke wa kiafrika, ningekuwa nimeoa mwanamke wa kizungu ambaye ni " feki " lakini kwa sababu ninapenda kuwa na vitu original nimeoa mwanamke wa kizungu kabisa ili ijulikane moja kwamba nimeoa mwanamke wa kizungu.


4. Nimepunguza gharama za kulipia MAWIGI. Mke wangu ni mzungu, kwa hiyo haitaji kuvaa mawigi ya kazi gani sasa...

Hizi ni sababu chache tu, but zipo faida nyingi sana kwa kijana wa kitanzania ama wa kiafrika kuoa mwanamke wa kizungu...Utazisoma katika kitabu changu ambacho nitakitoa mwezi Aprili 2013..Katika kitabu hiki nimeelezea experience yangu pamoja na more 20 friends wa kitanzania ambao wameoa wazungu.

Ngoja uzae watoto na huyo mzungu wako watoto wakunyanyapae. Mom! Daddy looks like a monkey, usirushe ngumi.
 
ha! ha! haaaaa!! Yaani amu wewe nadhani kama sio fake basi ni changu!! AMkatrina nasikia unalea kiserengeti poleee weee!
 
Ha! ha! haaaa!! LIKUD umechomaje?! wanawake bongo hakuna wengi fake na machangudoa!! ndo maana me napiga mtarimbo nasepa
 
"mgeni unadharau kwa mama zako waliokukunya mpaka ukafikia hapo?????"

We sema umezoea vya baridi unaogopa vya moto vitakuunguza.
" sijazungumza kuhusu akina mama. nimezungumza kuhusu wanawake wa kiafrika! cant u see a different there? amu , u must be kidding
 
"Ngoja uzae watoto na huyo mzungu wako watoto wakunyanyapae. Mom! Daddy looks like a monkey, usirushe ngumi." ..............Nimezaa naye watoto watatu tayari, wa kwanza ana miaka sita, they love their dady to the extent, nikichelewa kurudi nyumbani watoto hawali chakula mpaka wamuone baba.
 
Katika sababu nilizo zitoa sikuzungumzia suala la kulipa bill kama sababu iiliyo nifanya kuwa disqualify wanawake " wazungu fake " la, ilikuwa changamoto tu kwa akina dada wanao jifanya wazungu halafu anakufanya we ndo dingi, mapenzi kidogo mizinga mingi.. Ninafahamu majukumu ya mwanaume kwa mke wake, na kwa taarifa yako am so responsible man, not only to my wife and children, but even to my extended family..najua mtanichukia kwa sababu nimesema ukweli, mademu wa kibongo acheni kujifanya wazungu mnaboa ile mbaya.....mwafrika ni mwafrika tu na utaendelea kuwa mwafrika hadi kaburini.. Fikiria! una nywele feki, nyusi feki, kucha feki, tabasamu feki, unaongea feki, mapenzi feki, halafu unataka real man!

KULA LIKE 5 mkuu,unawashika kisawasawa.
 
eti msomi wa chuo kikuu hajui hata kuquote comment za wa2 mbona unajipa kazi kutype ndugu yangu. umeanza kutumia computer{ sijui simu} lini. mimi kwa hili 2 siamini kama unahiyo elimu unayojisifia.........Honestly ur so right bado sija master namna ya ku quote hapa JF, coz ni mgeni kwenye hii social network, nina kama wiki mbili tu, ukinielekeza utakuwa umenisaidia sana, and i think msomi wa kweli ni yule anaye ukubali ukweli, siwezi ku pretend

" A crtical Thinker always change his view when faced with better argument '
 
ha! ha! haaaaa!! Yaani amu wewe nadhani kama sio fake basi ni changu!! AMkatrina nasikia unalea kiserengeti poleee weee!
subiri nikalee ndoa kwanza tutaonana usiku nikupe makavu yako
 
Unawezaje kuja na hoja km hii wewe mwanazuon wakat huu ambapo dunia ni km kijiji!
Wewe sio mzungu na hauujui uzungu kwa hiyo huyo mkeo huwez sema ni original au fake!
Kwa taarifa yako mzungu original haolewi na mtu mweusi same goes kwa mwafrika original,ktk list wa waafrika original haupo na wala huyo mkeo co orijinal!
Hamna mabadiliko ya kimila, desturi na utamadun yakatokea ktk jamii yakaathiri jinsia moja yakaacha nyingne kwa hiyo km hamna wanawake wakiafrika original bas ht wanaume hawapo!
Kaka usijipe moyo kuwa ulichokifanya ni sahihi wakat dhamira inakusuta mpk unajaribu kutafuta sabab kujiridhisha kuwa haujakosea(hauna uwakika kwamba u will neva regret marrying that mzungu!
Next tym jaribu kuwa specific km unalinganisha lets say wanawake wa kitanzania na wazungu(sema frm where) sababu Afrika ni kubwa na hatufanani kwa kila kitu ht kusin mwa jangwa la Sahara tu!na wazungu wapo wa kila dizain na mataifa hawafanan kias kwamba wengne hawawez kuwa na intermarry na uhakika uzungu unaoutetea hapa ni wa kwenye muvi mana ndo weng mwaujua !
Labda nikuulize kwako wewe mzungu akipata makeup its natural bt kwa mtu mweus ni kufake!?Huu utumwa wa fikra utaisha lini!?
Kwa hiyo unavomlazimisha mkeo mzungu kuish kiafrika anakua na tofaut gan na mwanamke wa kiafrika anaeish kizungu!?au kwa sabab ni mzung kuish kiafrika sio kufake! Khaaaaa!!ufinyu gan wa fikra huu!
Km mnataka uafrika urud basi tuanzie mashulen tuache kujifunza ustaarab wa kizungu we km ni msomi wa bongo yetu jua kila unachofanya ukiapply ulivosoma huo ni uzungu km kuiga ni kufak bas taif zma 2mefek frm the start!! usilete mfumo dume kuwanyoshea vidole wanawake tu!!!
Mengine wadau washakwambia, Mkataa kwao mtumwa na akikua atakua mwanga!
 
yaani wewe mvivu wa kufikiri balaa na una bichwa gumu kuelewa.
Na hiyo ni moja ya sababu kuopoa jikabati la kizungu lenye umbo bayaaaaa sura bayaaaaa kwa sababu huwezi kuface challege za life.
Hata kuchanganua sentensi zinakushinda.
Promo ya kijijarida chako peleka kwingine siyo humu.......
Nimegundua tatizon lako halipo kwangu, ila lipo kwa huyo mwanamke wa kizungu, dada una wivu wewe? kwa nini unamtukana mwanamke mwenzako matusi mazito kiasi hicho? kosa lake? kapendwa na mimi? back to the point, namna wadada wa kibongo mnavyo react inaonyesha ni jinsi gani suala hili lina ukweli kwa kiasi gani, Katika hali ya kawaida ingekua vigumu sana kwa nyinyi kukubaliana na hoja yangu kwa sababu inakinzana na interest zenu.Ningekuwa disapointed sana kama mngeunga mkono hoja yangu.. Nyuma ya sentensi zenu, kuna sentensi nyingine ambayo moja kwa moja inakubaliana na hoja yangu
 
@amu hakeri ila anasema ukweli, huwezi linganisha mwanamke wa Kiafrika na mijike ya kizungu LIKUD katika kitabu chako ongezea na haya kwani unadhani dada zetu wote wanapenda uzungu

  • Kwa adabu linganisha Mke wa Obama (Michelle) na waliopita wote Marehemu Kennedy mpaka Bush

Naona umedandia treni kwa mbele, Michele Obama anaingiaje tena kwenye suala la wanawake wa kiafrika..kama ungekuwa makini ungerejea kwenye post yangu, nimesema wanawake wakiafrika waliopo kusini mwa jangwa la sahara na katika nchi zote za kiafrika zenye waafrika weusi, so hoja yako haina mashiko..TUPA KULE..

· hao wake zao vituko walivyokuwa wakivifanya kuwa kimbelembele kuliko Marais


  • Kwa ukatili Mwenzio Mgosi wa Tanga (Mwivano) alioa Mzungu na wakaondoka kwenda USA kufika huko jamaa akagundua ni baridi hasa mpaka akaagiza nduguye aende na alipofika huko yule mkewe akaachika na kuwaachia nyumba yaliyofuata ni mauaji ya Dada yetu (Mwivano)

Mwivano alio mzungu TANGA wakaenda wote U.S.A..Mimi nimeoa mzungu U.S.A nimekuja naye bongo ( cant u see a different ? ) Halafu kuhusu suala la ukatili hiyo ni hoja dhaifu sana, coz wakatili wapo katika jamii zote, hujasikia kuhusu ukatili unao fanywa na wanawake wa kibongo? au we umezaliwa mwaka 94 nini ndugu ?


  • Ni wavivu kupindukia Mwanamme yoyote atakayeoa Mzungu asahau asilani kufuliwa nguo zake, kupikiwa Chakula chao, kuliwazwa hasa km akifiwa nanduguze hata Wazazi wake (yaani kulala Matanga) licha ya kutembelewa Mama hatataka..
Ninazo pesa za kutosha kaka, mimi sio mtoto wa mkulima kama wewe, I got cash, sijaoa mwanamke ili aje anifulie na kupikia, halafu hivi unawafahamu wanawake wa kidigo wewe? Kama nilivyo sema hapo awali, my queen ninaishi naye kqa kufuata misingi ya kiafrika so hizo hoja zako hazina mashiko hapo.



  • Mwanaume wa Kibantu utahenyeka kwa kumbeba mgongoni na kumpeleka popote humo nyumbani, utapewa zamuya kupika, kufua, kulea mtoto na hutatakiwa kuongeza mtoto mwingine zaidi ya mmoja, mwisho wake mtoto na Mama watakukimbia na kurudi kwao
Hakuna kitu kama hicho.

Naomba nionyeshe ni % ngapi ya hao wake wa Kizungu waliozikwa Tanzania? usikute umeoa Chotara ya hawa Magireec, au Maburush ukaja kututambia ni baridi afadhali hao kuliko wazungu unaowaringia
Mtoto wa kiswahili acha kwa mapenzi na mauno kn kina @Dea Amisi na wengineo



Sioi mwanamke kwa ajili ya mauno, to me mwanamke ni zaidi ya mauno na vitu vya jinsi hiyo.
 
Back
Top Bottom