1.navaa jeans miezi mitatu bila kufua
2.kwenye daladala jeans linanisitiri aibu pale ninapobanana na mwanamke(anaponigusisha makalio yake kwenye dickson).
hizo ndo sababu zangu za kupenda jinzi
1.navaa jeans miezi mitatu bila kufua
2.kwenye daladala jeans linanisitiri aibu pale ninapobanana na mwanamke(anaponigusisha makalio yake kwenye dickson).
hizo ndo sababu zangu za kupenda jinzi
kwa iyo nimekulenga sana ricky...au sio?
Ukitaka kupata jibu sahihi basi nunua Suruali nyeupe halafu itinge..
Utakacho ki notice ndiyo sababu ya Suruali nyeusi kuwa most preferable..
unapenda jeans eeeh......mmmhh.....
kwa sana tu,..nilisahau sababu nyingine moja,.inanipa swaga,..hivi preta bajaj yako inapiga trip za wapi?
...kwenye nyumba za ibada ukitaka kuchambua wanaume waliovaa suruali nyeusi, idadi itakua juu...
ofisini...vivyo hivyo...
mtaani kitu kilekile...
kuna kitu chochote nyuma ya hili jambo?