...kwa nini % kubwa WANAUME wanavaa suruali nyeusi?

BAGAH ! kwa sasa sijaukubali utafiti wako, naufanyia resarch ndiyo niseme ndy au laa!
 
wewe amina acha uzungu amyner! Je nyie mnapendezaga mkivaa skirt za cream ambazo zinapita magot?

Anzisha thread yako ya skirt za cream zinazopita magoti ntashusha mapoint ya ukweli. Hapa tupo ki black trauza kwa wanaume zaidi! Sawa bambaza jr?
 
Kiukweli huwa mnapendeza jaman,
Km rejao wangu akitoka na suruali nyeusi shati light bluu,au cream,au ile yellow flan ambayo haijakolea sana chin moka nyeusi na tai nyeus au hata asipotupia hiyo tai ebwana huwa sikubali atoke peke yake japao namili pasiword lol!
 
hahahaaa...nilingojea useme shati jeupe...LOL
 
EBWAANA UMENIGUSA, hapa nina suruali nne, nyeusi na mbili za rangi tofauti, ikiwapo kaki na cardeti moja
KWANINI, ninapenda suruali ya rangi nyeusi?
1. ni professional suruali kwani viongozi wengi huvaa mfano OBAMA hupenda sana kuvaa suti nyeusi,
2. inaendana na masharti ya rangi nyingi sana, asilimia kubwa ya mashati.
3. Kwa upande wa blacktrousers models zinamkaa kila mwanaume.
4. Ulivaa black trouser unaoneakana mtu wa heshima kidogo (NOT YET PROVED)
5. JAMANI I LIKE IT, YAANI MPAKA SASA NIMEVAAA. NO ONE CAN CHANGE MA MIND ON PURCHASING BLACK TROUSERS
 
tunataka watu kama nyie majukwaani...
unajua kitu unajibu straight away...sio kumbwela kama kina fulani
 
Back
Top Bottom