...kwa nini % kubwa WANAUME wanavaa suruali nyeusi?

...kwa nini % kubwa WANAUME wanavaa suruali nyeusi?

Mkuu pale nyingi hazijafuliwa zina miaka...
 
Oops! very interesting!! sikuwahi kuchunguza wala kujua hili, ngoja niwe makini sasa kuangalia kila mwanamke alievaa suruali
 
Oops! very interesting!! sikuwahi kuchunguza wala kujua hili, ngoja niwe makini sasa kuangalia kila mwanamke alievaa suruali

ni wanaume sio KE
 
wanaume wengi wana tabia ya uchafu na kutokujijali, sa akivaa nyeusi hata km ni chafu na inatoa harufu lkn inakua haioneshi so wanaendelea kudunda nazo tu
 
rangi nyeusi inakubali shati/T-shirt ya rangi yoyote na kiatu cha rangi yoyote..
 
Anzisha thread yako ya skirt za cream zinazopita magoti ntashusha mapoint ya ukweli. Hapa tupo ki black trauza kwa wanaume zaidi! Sawa bambaza jr?
ok nimekuelewa, plz ucje kuususia uzi wangu.
 
siku ili ulivyovyaa ile jeans mpauko ulipendezaaaa.......

Kumbe ndo maana yule shosti wako aliniandikia kimemo akanipa namba yake.. ngoja niitinge tena, lol
 
Nyeusi, blue na kadet......zinawafanya wakaka mvutie........
 
kwa mabachela zaidi, wenye ndoa zatu tunavaa rangi yeyote.
 
Back
Top Bottom