...kwa nini % kubwa WANAUME wanavaa suruali nyeusi?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
...kwenye nyumba za ibada ukitaka kuchambua wanaume waliovaa suruali nyeusi, idadi itakua juu...
ofisini...vivyo hivyo...
mtaani kitu kilekile...
kuna kitu chochote nyuma ya hili jambo?
 
1.navaa jeans miezi mitatu bila kufua
2.kwenye daladala jeans linanisitiri aibu pale ninapobanana na mwanamke(anaponigusisha makalio yake kwenye dickson).
hizo ndo sababu zangu za kupenda jinzi
 
1.navaa jeans miezi mitatu bila kufua
2.kwenye daladala jeans linanisitiri aibu pale ninapobanana na mwanamke(anaponigusisha makalio yake kwenye dickson).
hizo ndo sababu zangu za kupenda jinzi

teheeee...na ww bana...umeamua uje na mada yako sasa...aya tuendelee
 
Duh hata hapa nimeivaa na binazo tatu...
Hope it is gents color
 
Ukitaka kupata jibu sahihi basi nunua Suruali nyeupe halafu itinge..
Utakacho ki notice ndiyo sababu ya Suruali nyeusi kuwa most preferable..
 
1.navaa jeans miezi mitatu bila kufua
2.kwenye daladala jeans linanisitiri aibu pale ninapobanana na mwanamke(anaponigusisha makalio yake kwenye dickson).
hizo ndo sababu zangu za kupenda jinzi

unapenda jeans eeeh......mmmhh.....

1. Best colour,
2. haioneshi uchafu kama nguo za rangi nyingine,
3. zinamatch na kiatu rangi yeyote

uko sawa mkuu...
japo sababu yapili inaweza ikawa ya kwanza...if it is to rank!tehe
 
Ukitaka kupata jibu sahihi basi nunua Suruali nyeupe halafu itinge..
Utakacho ki notice ndiyo sababu ya Suruali nyeusi kuwa most preferable..

TAN bhana...
mm ndio zangu izo...
nilitaka mauzoefu ya wenzangu humu...na wake zao pia.
 
Ukitaka kupata jibu sahihi basi nunua Suruali nyeupe halafu itinge..
Utakacho ki notice ndiyo sababu ya Suruali nyeusi kuwa most preferable..

siku ili ulivyovyaa ile jeans mpauko ulipendezaaaa.......

Pa1 na kuhifadhi uchafu, pia inafit unapoenda popote hata msibani thn kitambaa cheusi kinakubal mtindo wowote wa suruali toka enzi zileee..!
 
...kwenye nyumba za ibada ukitaka kuchambua wanaume waliovaa suruali nyeusi, idadi itakua juu...
ofisini...vivyo hivyo...
mtaani kitu kilekile...
kuna kitu chochote nyuma ya hili jambo?

wakati wengine wanasali, wengine wapo busy kuhesabu suruali nyeusi...
 
Back
Top Bottom