'Kwa nini hatukuonana zamani'???

'Kwa nini hatukuonana zamani'???

Daaaah...
Hapa labda lara 1, Heaven on Earth, charminglady, King'asti, Madame B, Blaki Womani na wadau wengine waje kutoa yao ya moyoni

Mie naomba kuipinga hii hoja... Ila kwa mtizamo wangu tu!

Hii dhana ya kwanini hatukuonana zamani huwa inatamkwa wakati wa mwanzo mwanzo mahusiano! Wadau hebu fikiria yule aliyewahi kumkwambia / uliyewahi kumwambia neno hilo leo hii amekuwa adui, mzigo na kisirani mkubwa katika mahusiano yenu????

Naamini kila binadamu ana mapungufu, cha muhimu ni kujifunza kuchukuliana mapungufu yale ambayo yanachukulika.....
 
Last edited by a moderator:
Mie naomba kuipinga hii hoja... Ila kwa mtizamo wangu tu!

Hii dhana ya kwanini hatukuonana zamani huwa inatamkwa wakati wa mwanzo mwanzo mahusiano! Wadau hebu fikiria yule aliyewahi kumkwambia / uliyewahi kumwambia neno hilo leo hii amekuwa adui, mzigo na kisirani mkubwa katika mahusiano yenu????

Naamini kila binadamu ana mapungufu, cha muhimu ni kujifunza kuchukuliana mapungufu yale ambayo yanachukulika.....

Kwa hiyo ni hadithi tu ya kipya kinyemi sio??...
 
Kila kitu na wakati wake....ndo wakati wenu sasa kukutana.....na inaweza kufika wakati mkapotezana tena....kila jambo na wakati wake...
 
Ukiniuliza mimi nitakwambia i made a right choice, no regret at all.

Tiba

What if kama wewe unasema no regrets ila mwenza wako anajuta mbaya, ungejisikiaje?
 
Mkuu SnowBall hii hali huwa inatokea sana ila inashuriwa kwa wenye ndoa kuepuka sana kujenga haya mazoea maana ni adui wa ndoa namba mbili baada ya simu
 
Nimesoma comments zote katika uzi huu lakini yako nimeipenda! Nadhani huo ndiyo ukweli wenyewe! Zingine huwa ni tamaa za watu tuu!!
Hapo huwa wanahangaika na 'kipya kinyemi' tu
Hata huyo wangeonana wangechokana vile vile, na angekutana na aliyenaye sasa angemwambia hivyo hivyo.
 
Na wewe unatamani tungeonana zamani...
Kiukweli kuna wakati unatamani mshale wa saa hurudi nyuma....

True say mkuu, but trust me no mistake's no regrets, hata mim huwa natamani nirudi tena Zambia, manaake dah!
 
ni tamaa tu au ndo ile a human is an insatiable creature??? kwa upande wangu kaka yangu SnowBall mi naona hicho ulichokimention hapo ndio hasa chanzi cha hilo swali kuwa kuta wengi,na pia hilo swali hujitokeza mra nyingi kwa sababu ya tabia kadhaa tulizona zo wanadamu:
1.Tabia ya kukinai vitu tulivyonavyo na kuanza kuvimezea mate vile vingine ambavyo hatuvilimiliki au hatunavyo.

2.Tabia ya kuathiriwa na huu msemo wa "pasture is always greneer on the other side"ukimaanisha kuwa wengi wetu huamini kabisa au kuona kuwa vitu vya upande wa pili wa maisha yako au jirani yako au vile usivyo navyo ndiyvo vizuri na vyenye manufaa kuliko vile ulivyonavyo,kwa hiyo kwa tabia hii wengi wetu huweza kujiuliza swali hilo kwa kuamini kuwa yule umwonaye upande wa pili ni bora sana kuliko uliyenaye na kujutia kwa nini hukukutana naye tokea mwanzo na ukakutana na huyo uliyenaye.

3.Tabia ya kulinganisha tabia ya mtu na hata sifa za mtu,hii hupelekea watu wengi kuuliza hilo swali kwa kuwa kwa kulinganisha mtu na mtu mtu huweza kuona tofauti kubwa iliyopo kati ya mtu huyu na yule mwingine huku akisahau kabisa kuwa hata yule anayemlinganisha na mume/mke/mpenzie ana mapungufu yake na anakosa mazuri aliyonayo huyo mkewe/mumewe/mpenziwe aliyenaye kwa wakati huo.

4.Tabia ya kutazamia ukamilifu kutoka kwa mume/mke/mpenzi tabia hii hupelekea watu kuuliza hilo swali kutokana na kukosa ukamilifu aliokuwa anautarajia kutoka kwa yule aliyenaye na ikitokea akaona japo kwa uchache na juu juu ukamilifu anaoudhania kutoka kwa mtu mwingine ndo hapo swali hilo linapoibuka huku akisahau kuwa "adhabu ya kaburi aijuae maiti".

hope nitakuwa nimeeleweka angalau my kaka SnowBall.
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma comments zote katika uzi huu lakini yako nimeipenda! Nadhani huo ndiyo ukweli wenyewe! Zingine huwa ni tamaa za watu tuu!!

Kuna watu hawachoshi wewe eeeh! yani kadiri upo nae ndio unatamani isifike mwisho si unajua hakuna raha ya milele
 
kwanini hatuoanana zamani!
HILI SWALI HILI raha yake uwe unaliwaza tu kimoyo moyo !
 
most of time hili swali ni la upande mmoja

sio lazima liwe two way street...

ni swali la kawaida mtu akikutana na mtu ambae anamuona
ni 'better' kuliko mkewe au mumewe...
 
Wanabodi natumaini hamjambo.

Jana nilikutana na mtu mmoja hivi na katika mazungumzo yetu mwenzangu akawa kavutiwa na mazungumzo yangu...Tulizungumza sana na actually the talk was nice. Ila mwishoni wakati tunaagana kama mtu aliyekata tamaa akasema 'kwa nini sikukuona tangu mwanzo'???

sasa baadaye niko home ndo najiuliza ....hivi kuna wakati tunaregret kuwa na wale tulionao na kuwish tungekuwa na huyu au yule??...Hivi haijawahi kukutokea ukakutana na huyu na ukajilaumu kwa nini uliwahi kufanya maamuzi??...Na ikitokea ukawaza hivyo inakuwa ni tamaa tu au ndo ile a human is an insatiable creature???

Naomba kuwasilisha
mmh...mazungumzo?,mazungumzo hayahaya niyajuayo au yale ya kwenye sixby six?.

Ama alikoseaga akaoa bubu nini?
 
Back
Top Bottom