'Kwa nini hatukuonana zamani'???

'Kwa nini hatukuonana zamani'???

most of time hili swali ni la upande mmoja

sio lazima liwe two way street...

ni swali la kawaida mtu akikutana na mtu ambae anamuona
ni 'better' kuliko mkewe au mumewe...
Mkuu The Boss, all in all hii kauli uelekeza hisia kwenye USALITI na USALITI ni mbaya sana sana kwenye sekta ya mapenzi
 
SnowBall
binadamu huwa haridhiki .. NUKTA

hata mshale ukirudi ukampata huyo unaemtamani sasa.. baada ya muda maneno hayo yanaweza kujirudia.
hakuna aliyemkamilifu, hayo majuto ni kutokana na mbwembwe tu za walio nje wakiingia ndani balaaa.

Mytake: Tuache kulalamika na tuboreshe mahusiano tuliyonayo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu The Boss, all in all hii kauli uelekeza hisia kwenye USALITI na USALITI ni mbaya sana sana kwenye sekta ya mapenzi

well said. Coz ukisema hivyo ina maana unaemwambia akiafikiana nawe mambo fulani unaweza kuwa tayari kumsaliti mwenzi wako. Na kauli hii ikitoka kwa mwanamke ni balaa zaidi coz njemba nyingi huwa hazikatai papuchi kwi kwiiiiiiiii
 
mi mbona huwa nakataa neggirl hebu nijaribu uone.
 
Last edited by a moderator:
mbona ww hujaongea nafsi yako, umeongea alivyosema yeye tu< ni kweli nawe ulivutiwa naye?
 
leo nimekutana na binti kweny daladala,,,seem nice and kind kupitia maongezi yake,(na mrembo ofcoz),tatizo kumwomba namba,majitu yote yanakodoa macho....daah,sasa najuta ni bora ningeenda mpaka anaposhuka....

Wewe ulitumia mbinu gani kuomba namba? watu wanakutana kwenye gari na wanaongea kama wametoka sehemu moja na hata wakati m2 anatoa namba huwezi jua. Sasa wewe ulionekana kabisa unataka kuleta mambo yako ya kiuzamani na ndio sababu wa2 walikukodolea mimamcho. Tulizana na umwombe mungu.
 
kwenye JF nzima itakua ni mimi na wewe tu but the rest ni majanga....hili si la kupinga!!! Swali la uchokozi, who made a right choice? You or the Guy?? Ijumaa njema, usijibu wakasikia

yaani Elli
hii ni noma nina rfk angu Alioa
na baada ya ndoa mwanamke akabadirika mazima
hamtaki tena mshikaji

ss huyu unafikiri atasemaje hapa kwnt ryt choice?!!!aibuuuu
 
mmmmmmmmh! sijui ulimpa maneno gani dada wa watu mpaka anajuta. lol
 
kwanini hatuoanana zamani!
HILI SWALI HILI raha yake uwe unaliwaza tu kimoyo moyo !

umeona eeeh! halafu inahitaji muda kweli kujua kama kweli huyo uliyemuona sasa ni better kuliko wa zamani.
 
Turidhike na tulivyonavyo kwasababu there is always something better out there lakini ikumbukwe upo na huyo uliyenae kwasababu fulani na fulani...dont tell me you had no choice!!labda huyo mtu hana furaha maishani mwake ndio maana kasema hivo kwasababu kapata mtu anaemuelewa..wengi wameoa na kuolewa lakini ni wapweke mno..ndio maana ni muhimu kuwa na mtu mnaependana kwa dhati na mnaeelewana kwasababu YOUR LOVE MIGHT CONQURE IT ALL!AS LONG AS YOU STAY STRONG TOGETHER!
 
Ni very unreasonable kumringanisha mtu uliyeonana nae na kuongea nae masaa machache na mwenza wako wa miaka kadhaa.
Trust me ni kwamba umesahau tu lakini kuna wakati naye huyo mumeo au mkeo uliyenaye sasa ulijiskia hivyo hivyo kipindi umeanza nae.
Swala ni tujifunze kuridhika na kuwa innovative na ku keep interest kwenye mahusiano.
 
"kwa-nini-hatukuonana-zamani"

I think I am done with that part, na nikimuambia binti hivyo now itakuwa tongozo tu..nothing else! You know we always want to be told what our ears love to hear!!!!
 
pengine alisema tu hivo ili ujiskie wa thamani mbele yake ila hamaanishi.
 
Back
Top Bottom