Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Umeonaeeh...
Yaani niliposikia anasema vile nikajiuza maswali mengi..
Lakini kumbe yanawakuta wengi
changamoto za binandamu ukamilifu/kuridhika hadi mwisho wa maisha
Umeonaeeh...
Yaani niliposikia anasema vile nikajiuza maswali mengi..
Lakini kumbe yanawakuta wengi
unadhan kwa nn wanasayansi wako bize kuchunguza uwezekano wa kutravel back in times ni kwa issue kama izi.... unakutana na mdada wa ukweli c kawaida alafu anakukubalia vizuri tu ila ndo ivo tena home kuna mtu unaanza kujiuliza tu du kwa nn hatukujuana mapema!!!
hahahahaha hekimatele ulikuwa wapi kwa nini hatukuonana zamani
Daaaah...
Hapa labda lara 1, Heaven on Earth, charminglady, King'asti, Madame B, Blaki Womani na wadau wengine waje kutoa yao ya moyoni
Hapo huwa wanahangaika na 'kipya kinyemi' tu
Hata huyo wangeonana wangechokana vile vile, na angekutana na aliyenaye sasa angemwambia hivyo hivyo.
hahhahaaaaa leo hii tukipiga kura utaona kila mtu ambaye ana ndoa (both sex) watajibu kuwa walikosea au wangetamani wawe na akina fulani na sio type ya mke/mume alienane!! Mambo ya vituko haya usisikie
leo nimekutana na binti kweny daladala,,,seem nice and kind kupitia maongezi yake,(na mrembo ofcoz),tatizo kumwomba namba,majitu yote yanakodoa macho....daah,sasa najuta ni bora ningeenda mpaka anaposhuka....
Hapo huwa wanahangaika na 'kipya kinyemi' tu
Hata huyo wangeonana wangechokana vile vile, na angekutana na aliyenaye sasa angemwambia hivyo hivyo.
Ukiniuliza mimi nitakwambia i made a right choice, no regret at all.
Tiba