'Kwa nini hatukuonana zamani'???

'Kwa nini hatukuonana zamani'???

Saa zingine nadhani kuridhika ni kujinyima...
Manake you meet a person kuwa naye huwezi kuachana naye unaona unajinyima..
Unabaki tu kujilaumu kwa kutoonana mapema
duh!
pacha umeongea na mahisia mwe!
 
Ndoa huvunjika sio kwa kukosa mapenzi bali kukosekana kwa urafiki ndani ya ndoa.
Baadae kidogo taa na sco wamezima wi-fi

Sent from my BlackBerry 0 using JamiiForums
 
kwenye JF nzima itakua ni mimi na wewe tu but the rest ni majanga....hili si la kupinga!!! Swali la uchokozi, who made a right choice? You or the Guy?? Ijumaa njema, usijibu wakasikia
sio kweli, tumekaa kimya tu!
 
hata mimi imeshanitokea na hata jana nimeulizwa swali hilo na mamii kwenye mahakama ya kitanda ila nilijibu ndio ila nilikwepa kukubali kuwa nilijuta kwa kumtamani mwingine. kwahiyo nikamwambia nilijutia kwa kujilaumu mwenyewe....politics u know?

Itanitokea endapo niliyenae atanitenda
 
Jamani nimeagizwa kwa niaba ya nyamatare anataka picha umuwekee
 
kama signature yangu below inavyosomeka, kwamba kila mtu kwa wakati wake hasa awapo katika tafakuri ya nafsi yake, hujiliwa na dhamira mbaya. Sio matakwa yako wala sio shetani but is nature! Ni matamanio tu ya kidunia, huwezi kuzuia ila tunaweza kuyapunguza tu. Mkeo ni mkeo na mumeo ni mumeo. Full stop jifunze kuweza kumvumlia ulienae na kumrekebisha ikiwezekana na sio kwa nguvu wal akwa kukomoana. Usikubali kila kitu bali pia usipinge kila kitu. Kuwa muwazi wa kuomba msamaha na kumaanisha kuwa yamiesha, sio useme yameisha huku yapo bado moyoni, sio kila kosa au tofauti ndogo tu basi uiwekee kikao na kuanza kusutana, mengine yapotezeee, hajaweka maji bafuni basi isiwe shida, nenda chukua ndoo kachote weka bafuni oga na endelea na ratiba nyinge.

Mumeo kachelewa kurudi basi mpe pole akirudi, muulize kwa ustaarabu achana na jazba na kuhusianisha na mambo mengine yalipopita,
pia kama ni kosa au ni tofauti ikijitokeza hakikisha huingizi na mambo yaliyopita, deal with the current issue alone. Sio useme hio ndio tabia yako hata juzi uliofanya hivi na vile nikakkaaa kimya tu!!! Kwa kufanya hivi utakua wewe ni wa kutamani kila mtu

mfano ni mimi mwenyewe elli wa jf; mke wangu kwa taratibu zake za maisha na mihangaiko hulazimika wakati mwengine kufika nyumbani saa tatu hadi tatu na nusu, huwa siulizi alikotoka na hata kama nikiuliza nauliza tu kumkumbusha asichelewe sana kwa ajili ya watoto. Imani yangu ni kwamba hata kama ana michezo yake anaifanya kwa kumzuia awahi kurudi nyumbani haimaniishi nimemzuia asifanye.

Ni ngumu hata kuizoea but kikubwa ni kumuomba mungu tu
tawire..
 
Kama signature yangu below inavyosomeka, kwamba kila mtu kwa wakati wake hasa awapo katika tafakuri ya nafsi yake, hujiliwa na dhamira mbaya. Sio matakwa yako wala sio shetani but is nature! Ni matamanio tu ya kidunia, huwezi kuzuia ila tunaweza kuyapunguza tu. Mkeo ni mkeo na mumeo ni mumeo. Full stop Jifunze kuweza kumvumlia ulienae na kumrekebisha ikiwezekana na sio kwa nguvu wal akwa kukomoana. Usikubali kila kitu bali pia usipinge kila kitu. Kuwa muwazi wa kuomba msamaha na kumaanisha kuwa yamiesha, sio useme yameisha huku yapo bado moyoni, sio kila kosa au tofauti ndogo tu basi uiwekee kikao na kuanza kusutana, mengine yapotezeee, hajaweka maji bafuni basi isiwe shida, nenda chukua ndoo kachote weka bafuni oga na endelea na ratiba nyinge.

Mumeo kachelewa kurudi basi mpe pole akirudi, muulize kwa ustaarabu achana na jazba na kuhusianisha na mambo mengine yalipopita,
Pia kama ni kosa au ni tofauti ikijitokeza hakikisha huingizi na mambo yaliyopita, deal with the current issue alone. sio useme hio ndio tabia yako hata juzi uliofanya hivi na vile nikakkaaa kimya tu!!! Kwa kufanya hivi utakua wewe ni wa kutamani kila mtu

Mfano ni mimi mwenyewe Elli wa JF; mke wangu kwa taratibu zake za maisha na mihangaiko hulazimika wakati mwengine kufika nyumbani saa tatu hadi tatu na nusu, huwa siulizi alikotoka na hata kama nikiuliza nauliza tu kumkumbusha asichelewe sana kwa ajili ya watoto. Imani yangu ni kwamba hata kama ana michezo yake anaifanya kwa kumzuia awahi kurudi nyumbani haimaniishi nimemzuia asifanye.

Ni ngumu hata kuizoea but kikubwa ni kumuomba MUNGU tu
KICHENI PATI ya bure kwa wadada wote wa JF..
 
Baada ya mda kupita atakuja tena na kauli hii "Najuuuta kumfahamu"
 
Back
Top Bottom