Kwa namna hii kwanini wanafunzi wasifeli

Labda jamaa ni comedian,,aliamua tu kupiga picha pozi hilo ili afurahishe watu.
 
mimi nampongeza huyu ticha, hata kama miundo mbinu haiko sawa, lakini yuko siliasi kama mwalimu wa fwedha boys.
 
FaizaFoxyNaam said:
Mimi nilijua Faiza ni 'ke', lakini jinsi ulivyoitikia "Naam" , jinsi yako sivyo nilivyodhani. Nilikuita uone mazingira anayokumbana nayo mwalimu.
 
huyo mbona ka namfaham ni mwanafunzi yuko chemba anapiga msuli tembo!
 
ngoja kwanza! hivi hapo ufisini kwa ticha au kaenda stoo kumalizia kazi ya jana mwalimu mkuu asimuone?
 
Mimi nilijua Faiza ni 'ke', lakini jinsi ulivyoitikia "Naam" , jinsi yako sivyo nilivyodhani. Nilikuita uone mazingira anayokumbana nayo mwalimu.

Hujui Kiswahili.

Mlidanganywa kuambiwa eti mwanamke hajibu "Naam".

Punguani wahed.
 
Hivi Sita na wajumbe wake wa BMK huwa hawazionagi picha hizi

Hawaoni. Kuna mahali fulani ukikaa huwezi kuona matatizo ya wananchi, hasa kama unatembea kwa misafara ya ving'ora, unapewa nyumba ya kuishi BURE, gari BURE, maji BURE, umeme BURE na housegirl UNALIPIWA. Huwezi kamwe kujua kwamba kuna wanafunzi wanakalia mawe!
 
Hujui Kiswahili.

Mlidanganywa kuambiwa eti mwanamke hajibu "Naam".

Punguani wahed.
Matusi ya nini mrembo? Sikuona jambo lilokufanya kukunja sura. Ngoja nikusubiri kule kwa kupunguza presha, kitaeleweka.
 
Walimu tuna hali ngumu walimu
na sisi ni wa umuhimu walimu
tutazua kitimu timu walimu
hadi wizara ya elimu walimu


naimba tu nyimbo ya wagosi wa kaya
 
Back
Top Bottom