Kama kifo kingekuwa na rufaa kuna watu tungewakatia ili wasife mpaka wajibu madhambi yao

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Kuna watu kwenye hii dunia na hili taifa tungewakatia ili wasife mpaka wajibu madhambi yao, wakiri, watubu, wahukumiwe, kisha ndio wafe.

Kuna wengi tungewafanyia hivyo, maana mtu anaivuruga jamii kwa maslahi ya wachache halafu anaondoka na kutuachia shida za kila aina!

Watu wa namna hii walipaswa zile dakika zao za mwisho zishikiliwe mpaka hukumu ya haki juu yao ifanyike ndio wakate roho, dunia ingekuwa mahali salama sana.

Kwamba watu wangekuwa na tafakuri kubwa kabla ya kuchukua maamuzi fulani kwakuwa wangetambua wazi kabla ya kukata roho hukumu ingewahusu.

Najiandaa kwenda visiwani na chombo cha mchana nikawahi maziko!

839e639715a63edea466850e6c6fbb32.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi yetu tulipotea wapi kwenye issue ya leadership?,awamu ya kwanza ilikua na viongozi hasa mawaziri ambao waliripoti kwa president wa nchi kama wametamanishwa rushwa hasa kwenye mikataba ya nje, wapi models aliotuachia marehemu J.Makweta, L.Sijaona etc etc?,mtu anaamua kuwapa ushindi chama A wakati unajua hawakushinda uchaguzi na matokeo yake damu ya raia wengi inamwagika kutokana na uamuzi wako, na baadaye eti unaingia kwenye nyumba za ibada na kumwomba ALLAH, ni kweli binafsi ningechangia hii rufaa ili warudi waje wajibu tuhuma zao,hukumu itoke then wafe tena
 
Kuna watu kwenye hii dunia na hili taifa tungewakatia ili wasife mpaka wajibu madhambi yao, wakiri, watubu, wahukumiwe, kisha ndio wafe.

Kuna wengi tungewafanyia hivyo, maana mtu anaivuruga jamii kwa maslahi ya wachache halafu anaondoka na kutuachia shida za kila aina!

Watu wa namna hii walipaswa zile dakika zao za mwisho zishikiliwe mpaka hukumu ya haki juu yao ifanyike ndio wakate roho, dunia ingekuwa mahali salama sana.

Kwamba watu wangekuwa na tafakuri kubwa kabla ya kuchukua maamuzi fulani kwakuwa wangetambua wazi kabla ya kukata roho hukumu ingewahusu.

Najiandaa kwenda visiwani na chombo cha mchana nikawahi maziko!

View attachment 2691730

Sent using Jamii Forums mobile app
Dadeki Kafa Salum Jecha Mbwa yule acha aende akaungue moto. Bora amekufa nguruwe yule
 
We Mzee Mimi Nina mama yangu mkubwa akisepa walah nakata rufaa arudishwe Ila hasirudishwe mpk aingizwe kaburini
 
Back
Top Bottom