Kwa namna hii kwanini wanafunzi wasifeli

Wapoti

JF-Expert Member
Aug 28, 2013
2,820
2,000
ona mwenyewe
 

Attachments

  • 1409741111795.jpg
    File size
    56.5 KB
    Views
    1,310

mtena

JF-Expert Member
Jan 24, 2014
2,143
2,000
Yani hapo ndoo imuumize kalio lake aumize kichwa kufundisha mitoto loh nasepa fasta

Ukisepa ujue na wew una kaz nyingne yenye maslah na security nzur
mim tang nimeajirwa huu ni mwez wa4 cjapta mshahra bt bado npo kwa job naamin oneday i wl make it fyn
 

Munkari

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
8,090
2,000
Ukisepa ujue na wew una kaz nyingne yenye maslah na security nzur
mim tang nimeajirwa huu ni mwez wa4 cjapta mshahra bt bado npo kwa job naamin oneday i wl make it fyn

Haaaghh wewe unasema? Mwezi wa ? Hujafanya nini? Afu unaendelea kula vumbi?? Weee wacha uzembe nenda kadai chako
 

Mwogahafi

Member
Jun 2, 2014
82
0
Hyo nchi hii yenye misitu mingi bado walimu wanakalia ndoo ni aibu sana.
Tz yetu, taifa la wachache
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom