Munkari
JF-Expert Member
- Feb 9, 2013
- 8,084
- 4,365
Leo asbh nimesikia huko shinyanga walimu wameamua kuwa bodaboda chezea hali kama hii.
Hahaha hapana chezeya!!!
Leo asbh nimesikia huko shinyanga walimu wameamua kuwa bodaboda chezea hali kama hii.
Hafu hapo ajambe fyuuzii,,,sauti itakayosikika ahahaha!
mi napta tu
ukiwa magamba lazima uwe kipofu