Kwa mwenye ufahamu na hili kabila

Kwa mwenye ufahamu na hili kabila

Hayo yako ni mawazo ya mtu Muoga asiejiamini kama anaweza kuanzisha maisha popote na yoyote yule mradi mtaelewana kimtazamo na malengo iyo kuoa mtu ukadhani unamsaidia ni mawazo ya kimaskini sana na kwenye dunia ya utandawazi hayana nafasi hivi hizi half cast zingekuwepo kweli kwa akili hizi

Labda neno “kumsaidia” limekuudhi sana?

Wanyama wote,kuhakikisha kuna survival of their kind ni duty number 1!

Hii ni scientific fact!

Jamii uliyotoka iliyokupa so much halafu unashindwa ku -commit to a person who looks like you inaonesha una very poor sense of judgement!

Hukatazwi kuoa yeyote!

Ila since sisi wanadamu ni bias,ni lazima kwanza katika kuendeleza uzao,uangalie your own kind kwanza!

Kuita mawazo yangu ni ya hovyo inaonesha wewe ni mnafiki na jitu ongo sana!

Duniani uchanganyo ni 5% na kila jamii inajali jamii yak kwa 95%,why is this?

There is reason for that!

Wewe ni weak minded,na jamii yako inayokwepa kuoa jamii yake ni weak society na mwisho hiyo jamii yenu ita varnish!

Wote kama society ni stupid na weak,hamjali your own survival!

Stronger societies hua zinameza weak societies kama yako kwa maamuzi ya kipumbavu kama yako!

Ili society i-survive,ni lazima intra marriages ziwe nyingi zaidi ya marriages done outside that society!

Hiyo ni FACT!

Oa unakotaka,ni maamuzi yako,mimi ntakuradharau tu kama unaenda kuoa wanawake wengine na jamii yako kuna wanadamu wazuri the same way umewaacha!

It shows you hate yourself and where you from and people you came from,self hater!

Oa wengine ila funga domo sio unajipa cheo cha kuelekeza wanadamu wengine waliobaki ambao waliacha hao wazuri wa huko duniani
 
Punguza povu basii.
una maneno mengi utafikiri mashoga wa Sinza.

Keep your gay tendencies to yourself!

Una project your inner sexual conflicts kwa wengine tusiohusika!

Kama ni gay,ni gay,be proud unatoa tako,acha kusingizia wengine tusiohusika!

Dont project your insecurities to others!

Changanya tako mavi yasigande!

Damn!
 
Mgg3,
Hiyo ipo sana, hata mimi nilishawahi kufanya..tukiwa advance tumefanya sana huo mchezo, tulikuwa tunaandika namba yoyote tunapiga then tunajifanya tumekosea, akiendeleza tuna endelea pamoja akipotezea tunampotezea pia....we had that pride at least
 
Aahh mkuu sura pia ina umuhimu wake. Naweza nikawaharibu watoto nisipozingatia sura mkuu
Hizo sura mnazo taka nendeni Zanzibar ndio zipo huku nyanda za juu kusin tunarandisha watoto wetu wa kike na kiume

Mke bora ni yule atakae kusaidia kutengeneza kizazi chenye IQ nzuri sio atakae kuletea watoto wazuri kichwani sifuri
 
Habari ya muda huu wana MMU

Kama kichwa kinavyojieleza. Nilikua naomba kufahamishwa juu ya hili kabila la WABENA. Hususani kwa upande wa wanawake.

To cut the story

Ni kwamba mwezi wa pili mwaka huu kuna siku nilikua nimepumzika ndani nimelala ghafla ikaingia simu kwa namba mpya kuwa nimtumie ile pesa maana anaisubiri..

Nikajiuliza nimjibu nini kwa kuwa mwanzoni nilihisi huenda ni matapeli ila baada ya kumjibu kistaarabu nikagundua amekosea namba. Basi baada ya pale ikabidi nimuandikie ujumbe mfupi kwamba amekosea namba mimi sikuwa mjomba wake kama alivyohisi.

Basi akasema sawa tukapotezeana. Ila siku ya pili akanipigia tena akihitaji tufahamiane nikamwambia sawa tukaelekezana akajitambulisha kwa jina la Latifa anaishi mbeya ila ni mzaliwa wa dodoma baba yake ni MBENA mama ni mgogo.

Basi maisha yakaendelea hatimae tukawa na mahusiano lakini kinachonishangaza ni kwamba mpaka leo hatujawahi kuonana na kila nikimsisitiza anitumie picha hataki anasema simu hana na ni kweli hana.

Mpaka leo hatujuani kwa sura na mwezi huu tarehe 25 anatarajia kuja. Na anadai yupo tayari kwa lolote juu yangu sasa mi simuelewii kwa kweli.

Ninachotaka kufahamu ni kuhusu MUONEKANO WA HAWA WANAWAKE WA HILI KABILA pia tabia zao upande wa mahusiano na kimaisha pia.

Kilichonivutia hajawahi kuniomba pesa na hata kuja huku nilipo nipo BAGAMOYO anakuja kwa nauli yake. Hebu wanaowajua hawa wasichana walivyo wanielekeze jaman.

Kuna ujinga kichwani unao
 
Huyo mwanamke kama hajakutumia picha. Usije thubutu ukamtumia nauli. Kama unapenda kila mwanamke. Tuma nauli
Hapana mkuu tumefahamiana tangu mwezi wa pili kwa kweli hajawahi kuniomba vocha wala chochote zaidi ya attention yangu tu. Na hata kuja anakuja kwa pesa yake nisiwe muongo
 
yellow eyes,
Unanikumbusha mwanamke mmoja nilikuwa tunapigiana simu na hatujawahi kuonana. Siku ya kuonanae.

Duh nilichoka, mfupi halafu mnene. Na ugonjwa wangu ni mwanamke mrefu na mwembamba. Ukisikia kupatwa kwa jua ndiyo ilikuwa siku hiyo.
Yan hobby yako ni the same to me. Nimejaribu kumdadisi na kumpa vitisho vya kumkataa kama hatakua ninavyotaka yani amesimamia msimamo kuwa siwezi kumkataa labda yeye ndo anikatae mimi.

Nimejaribu kumdadisi muonekano wake anasema ni mweupe mrefu kiasi mwembamba ila amedai ana shape kulingana na mwili wake. Shida inakuja nikiomba picha ananiambia haraka ya nini tarehe 25 sio mbalii
 
Ni kweli wabena n wavumilivu mno ila wengi wao huwa n wafupi na weusi, so jiandae kisaikolojia mwanamke anaekuja tar25 n mfupi na n mweusi, halafu siyo watu wa kujipodoa saaana!! mQutubi,
Haha asante mkuu ila huyu nilijaribu kumbana na kumdadisi angalau kutaka kujua anaonekanaje. Amedai ni mrefu wa wastan mweupe mwembamba .. Sasa nashindwa kupata picha yake halisi kwa kweli Maana simu hana yani hana wasap wala fb ..
 
Khantwe, ]Mkuu hata mimi nimejiuliza sana hilo jambo la kwanza ila sitaki nilichukulie maanani sana nafikiri njia ya muongo ni fuupi nitamuelewa tuu.

Kuhusu simu tangu tufahamiane tunawasiliana tu kwa calls na meseji za kawaida hatujawahi kuwasiliana kupitia mitandao ya kijamii. Nimejaribu kufanya uchunguzi labda if anatumia mtandao wowote nimeona hakuna so nimejikuta nakubaliana nae

Shida inakuja nikimwambia aazime hata sim yani anadai hawezi kupata so nisiwe na wasiwasi nitamuona tu nisijari kwani nina haraka gani..

Sasa kubwa zaidi ni tarehe 25 mwezi huu anakuja na hajawahi kuniomba pesa ya nauli wala matumizi wala vocha yani sielewi ana moyo gani
😂
 
Back
Top Bottom