Sphygmomanometer
JF-Expert Member
- Sep 28, 2018
- 274
- 233
- Thread starter
- #41
Ila zama zimebadilika mkuu..Ndio walewale matapeli, hakuna mwanamke descend anaweza kufanya hivi
Ila zama zimebadilika mkuu..Ndio walewale matapeli, hakuna mwanamke descend anaweza kufanya hivi
Sawa, naona unajishawishiIla zama zimebadilika mkuu..
Upole wa ukarimu au upole wa kibri ?Wabena sifa yao kubwa ni upole. Ila huyo mbona nanusa harufu ya utapeli
Hahaha wala sio hivyoo mkuuSawa, naona unajishawishi
Upole wa ukarimu au upole wa kibri ?
Kama kweli unachokisema ni kweli!Haa kwanini mkuu. Hebu toa uzoefu wako
Upole wa kuficha makucha yaoWewe unahisi ni upole wa namna gani mkuu
Hapo ndio sijui mkuuUpole wa ukarimu au upole wa kibri ?
Wabena ni wanafiki hakuna mfanoweKwahiyo huenda anachozungumza ni ukweli au sioo
Anaenda kwa nauli yake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yaani huyu jamaa kavutika hapo tu.... Kitonga kitawafanya wakutane na majangaWabena sifa yao kubwa ni upole. Ila huyo mbona nanusa harufu ya utapeli
Umewahi kuishi nao mkuu ?Wachapa kazi na wana heshima Sana.