Kwa mwenye ufahamu na hili kabila

Kwa mwenye ufahamu na hili kabila

mQutubi, Ni wapole mno kama haipendi kuoa sister du na unatafta mwanamke wa kuwa na familia makini anakufaa ila wana hasira kama Wahehe ukimuudhi kitanzi
 
Dah mambo ya kujinyonga yamepitwa na wakatii nafikiri sikuhizi watakua wamebadilika
Ni wapole mno kama haipendi kuoa sister du na unatafta mwanamke wa kuwa na familia makini anakufaa ila wana hasira kama Wahehe ukimuudhi kitanzi
 
Mkuu kweli wapo wanawake wenye tabia hii, wanakosea namba afu baadae wanakuoigia au kukutext hata mimi mwenyewe yamewahi kunikuta haya.

Kuna mdada flan hiv alinitext nikashangaa sms kama hiyo, nimamjibu kwa sms kuwa waitwa nan maana namba ni geni kwangu?

Akanijibu jina lake wala sikulitambua haswa, nikamwambia umekosea namba akajibu poa basi samahani kwa usumbufu.

Nikamwambia sawa!
Cha kushangaza siku hiyo hiyo baada ya dakika kadhaa ananitext tena basi tuchat tu, nikamuuliza aliko akadai Arusha nikamwambia sawa me nipo dar.

Nikapotezea ila yeye alikua hakubal kukaa kimya yaan kila muda anatuma sms eti ananipenda khah sasa nikashangaa sana atanipendaje wakat hanijui au maisha yamekua magumu kwake?

Nisipojibu sms yake ananiuliza vip kimya baby[emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku sms zilikua kero nikamwambia sitak usumbufu. Akanambia ataniblock kama sitak kuchat nae, nami nikamjibu niblock tu nipumzike hapo hapo akajibu haniblock ng'o labda nimblock mimi na nilimblock ndio siku ya mwisho hiyo na alipoona hivyo akanisaka fb na kunitumia picha zake inbox messenger.

Sikumjibu na friend request sijaprove mpaka leo hii sina stress mimi Khantwe,
 
Mtundu wa Tech, Daahh afadhari umemkimbia mkuu mimi naona kumtoka imekuwa ngumu na hapa ninavyosema ni anatua huku maeneo tarehe 25 mwezi huu. Na yupo serious kila siku ananisisitza nisije nikamtosa ila kuna ndugu yake amesema atafikizia huko ndo maana nikamruhusu aje tu. Yan mi hata kumuona sijawah
 
Back
Top Bottom