new generation
JF-Expert Member
- Mar 14, 2012
- 814
- 1,634
Hybrid zipo nyingi mkuu, kuna rav4, kuna harrier, crown, aqua,prius v, kuna alphad, kuna generation nyingi tu za Prius, kuna Fielder, kiufupi kuna hybrid nyingi za Toyota na car makers wengine..so kama issue ni muonekano upo na options nyingi mkuu za kuchagua.. but duniani Toyota nadhan ndo walianza kutengeneza gari za hybrid na Prius ndo hybrid ya kwanza.. hizi tulizonazo ni kuanzia generation 2 generation 1 haijulikani sana kama gen 2..
Kuhuyu perfection ya hybrid system, basi Toyota wame perfect nadhan kuliko car maker wate.