Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Hamy D,
Pamoja na kwamba una mahaba na CCM, uonevu wa vyombo vya dola kwa vyama vya upinzani umesema na almost vyama vyote visvyo dola, sio Chadema tu. Kama umefuatilia mjadala wa jana pale UDSM na ukasikiliza hoja za Mtatiro wa CUF, wala usingeandika hayo hapo juu. Nchimbi mwenye kakiri jana kwamba kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wa raia kuna mapungufu makubwa ambayo serikali inayafanyia kazi, ikiwemo hilo la kuonea wapinzani. Sasa wewe ni nani hadi uteteee uovu huo, iwapo Nchimbi kasema uonevu upo?
 
ile ajali ya pikipiki ingekumalizza tu, kiumbe kama wewe hupaswi kuishi dunia ya kistaarabu.

Uwezo mdongo kufikiri eti ana mahusiano mabovu na vyombo vya ulinzi?
it's too low. Mwandishi pascalia

Jifunze kuwa na roho ya utu wewe, mimi nimeeleza hisia zangu kuhusu Dr Slaa hasa kwenye uhalali wake wa kugombea urais, mambo ya ajali yanatoka wapi ndugu?

Kuhusu suala la mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi hilo halina ubishi, mahusiano ni mabovu, askari kwa wanajeshi wamekiri hili mara kadhaa.
 
Bange sio mchicha-kumbuka na sisi unaotushauri tunaona na tuna utashi sawa sawa. Njoo upya.
"Tutauawa sana, tutafungwa sana,tutakamatwa sana kwa sababu mfumo uliopo unaanguka-Tundu Lisu Jana ITV"
 
Rasimu ya Katiba Mpya: Ibara ya 14(1)(c) "Kiongozi wa Umma , akiwa ama katika kazi za ofisi au kazi binafsi au wakati amejumuika na watu wengine , atahakikisha kwamba mwenendo wake haushushi hadhi ya ofisi anayofanyia kazi"

Umagine sasa wako sehemu kwenye msiba, sherehe au wapi then wanakuwepo ROSE KAMILI, JOSEPHINE MSHUMBUZI na MUME WA NDOA WA MSHUMBUZI, si itakuwa ni aibu kubwa sana.
 
Hamy D,
Pamoja na kwamba una mahaba na CCM, uonevu wa vyombo vya dola kwa vyama vya upinzani umesema na almost vyama vyote visvyo dola, sio Chadema tu. Kama umefuatilia mjadala wa jana pale UDSM na ukasikiliza hoja za Mtatiro wa CUF, wala usingeandika hayo hapo juu. Nchimbi mwenye kakiri jana kwamba kwenye vyombo vya ulinzi na usalama wa raia kuna mapungufu makubwa ambayo serikali inayafanyia kazi, ikiwemo hilo la kuonea wapinzani. Sasa wewe ni nani hadi uteteee uovu huo, iwapo Nchimbi kasema uonevu upo?

Tatizo ni kwamba Dr Slaa ameshindwa ku-deal na situation. Ni kweli kwa namna moja ama nyingine kuna ukandamizi unafanywa, ila Dr Slaa amekuwa akisema waziwazi kuwa polisi wetu na wanajeshi hawana kitu kwa maana ya kwamba hatambui mchango wao katika kulinda raia na mali zao. Angejifunza kutumia lugha yenye staha kidogo kwa vyombo hivi kuliko utaratibu wanao utumia.
 
Nilishasema mwaka juzi kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''
Unajua Radhia Sweety, akili zako hata hazinafanani na mwanamke mwingine yeyote dunia, Wakati wanawake wanasemwa kuwa ni nguzo za familia na kwamba kumuelimisha mwanamke ni kuelimisha jamii, wewe kwako ni tofauti kabisa, kukuelimisha wewe ni kuangamiza famili yako na jamii yako kwa ujumla. Kichwa chako ni kama kubuyu ambacho kinahitaji kuhamishwa kutoka hapa kwenda sehemu nyingine....haujiwezi mwenyewe...kichwa cha panzi....!!!
​
 
BY: HAMMY-D "....kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu...." Laiti kama ungekuwa unajitambua unapoandika, wala usingejitesa kubofya keyboard. Dr. SLAA ndo Rais wetu JMT, ZITTO ni wa Jamhuri ya TANGANYIKA, upo mama

Wewe umefunga kweli?
 
Hivi Ikulu panamfaa nani sasa?Au panawafaa wale washirika wa wauza madawa ya kulevya?
 
Jifunze kuwa na roho ya utu wewe, mimi nimeeleza hisia zangu kuhusu Dr Slaa hasa kwenye uhalali wake wa kugombea urais, mambo ya ajali yanatoka wapi ndugu?

Kuhusu suala la mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi hilo halina ubishi, mahusiano ni mabovu, askari kwa wanajeshi wamekiri hili mara kadhaa.

Acha uwongo wa mchana kweupe, CHADEMA hawewezi kuwa na mahusiano mabaya na vyombo vyote vya ulinzi. Unadhani hao wanaotoa nyaraka za ufisadi za ccm kutoka ndani ya serikali ni Usalama wa Taifa wa KENYA au Tanzania? Tuna matatizo na hao wachache wanaoharibu sifa ya vyombo hivyo, na mara nyingi na wale wenye madaraka makubwa.
Je, unajua kwamba Chadema ilishinda kwa kura nyingi kituo cha Lugalo? JK aliachwa Mbali sana. Je, unajua kuwa Ukonga magereza na field force Chadema ili shinda kwa kishindo? Wwe unazungumzia vyombo gani mkuu?

Pili, vipi pendekezo lako la moyoni anaendeleaje kisiasa? Unadhani anasafishika? Vipi tukilinganisha uchafu wake na tuhuma zako hizo za uwongo dhidi ya Dr Slaa?
 
- Suala la Umri, Hebu tuwekee vifungu vyetu vya sheria vinaongelea Mgombea anatakiwa awe na umri gani?

- Suala la Kukwapua fedha - Je yule aliyekwapua zaidi ya Bilioni 130 zilizorudishwa kimya kimya bila kuambiwa ni nani mhusika unadhani alikuwa nani?. Enzi malipo hayo ya akaunti ya madeni ya nchi ya nchi yanafanyika yeye alikuwa na cheo gani kuhusu uwakilishi wa nchi yetu? Je unadhani yeye hakuona kosa hilo au lilikuwa dili lake?.

Inasikitisha kuona wezi wa kuku na simu wamejaa magerezani hali ya kuwa wezi wa Billions wapo, wanafahamika ila hawatakiwi kuwekwa wazi na wala sheria haziwahusu huku tukielezwa nchi inaendeshwa kwa sheria na democrasia.
 
Acha uwongo wa mchana kweupe, CHADEMA hawewezi kuwa na mahusiano mabaya na vyombo vyote vya ulinzi. Unadhani hao wanaotoa nyaraka za ufisadi za ccm kutoka ndani ya serikali ni Usalama wa Taifa wa KENYA au Tanzania? Tuna matatizo na hao wachache wanaoharibu sifa ya vyombo hivyo, na mara nyingi na wale wenye madaraka makubwa.
Je, unajua kwamba Chadema ilishinda kwa kura nyingi kituo cha Lugalo? JK aliachwa Mbali sana. Je, unajua kuwa Ukonga magereza na field force Chadema ili shinda kwa kishindo? Wwe unazungumzia vyombo gani mkuu?

Pili, vipi pendekezo lako la moyoni anaendeleaje kisiasa? Unadhani anasafishika? Vipi tukilinganisha uchafu wake na tuhuma zako hizo za uwongo dhidi ya Dr Slaa?
Mkuu, katika kipindi cha kuelekea 2010, dr slaa alionekana kukubalika na watu wengi hata wale walio ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama. Na ishu iliyompandisha chati dr slaa ni jhudi zake za kupambana na ufisadi. Kutokana na matusi anayoendelea kutoa kwa vyombo vya ulinzi na usalama, na kwa vile yeye mwenyewe amekuwa sehemu ya ufisadi, sasa hapati tena ushirikiano kwa watu wema. Ndo maana tangia 2010 hakuna tuhuma yoyote ya ufisadi aliyoiibua
 
JK aliyeingia ikulu na umri mdogo amepambana vipi na changamoto za uraisi ikulu? you still rely on age? ... au una agenda zilizojificha?
 
JK aliyeingia ikulu na umri mdogo amepambana vipi na changamoto za uraisi ikulu? you still rely on age? ... au una agenda zilizojificha?
Amepambana na ameweza na ndo maana 2010 wananchi walimpa tena ridhaa ya kuongoza nchi. Huyo wa kwenu hakubaliki na wananchi na ndo maana kura hazikutosha
 
Jifunze kuwa na roho ya utu wewe, mimi nimeeleza hisia zangu kuhusu Dr Slaa hasa kwenye uhalali wake wa kugombea urais, mambo ya ajali yanatoka wapi ndugu?

Kuhusu suala la mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi hilo halina ubishi, mahusiano ni mabovu, askari kwa wanajeshi wamekiri hili mara kadhaa.

Hamy - D sijui level yako ya elimu, na wala sitaki kulijua hilo, unajua jukwaa hili siku hizi limevamiwa na watu wengi ambao hawana sifa stahiki za kuitwa ma - great thinker. Kifupi tu ndugu yangu, katiba ya nchi hii haijalimit umri kikomo wa kugombea urais bali umri wa kuanzia....lakini pia unaonekana kupitwa na wakati na sheria za nchi zimekupita kando kidogo au kama unajua, basi unajitoa akili...sheria ipo wazi, inamtambua mwanamke kuwa mke halali baada ya kuishi naye kwa muda wa miezi sita, sasa tangu tuanze kusikia habari za Dr Silaa na Josephine, ni miaka sasa, unahitaji nini zaidi?

Kuhusu mahusiano na vyombo vya ulinzi na usalama; ukiona mpinzani ana mahusiano mazuri na vyombo vya ulinzi, ujue hana madhara kwa chama tawala, angalia Uganda na fuatilia mahusiano ya Dr Besegye na vyombo vya ulinzi, angalia Zimbabwe, mfuatilie yule bwana anaitwa Shangrai (sina uhakika na spelling) angalia mahusiano yake na vyombo vya ulinzi, rudi nyumbani hapa, waangalie cuf enzi za uhai wako zanzibar na Tanganyika, kumbuka Kidongo chekundu, mrudie Mrema enzi hizo akiwa mpinzani.... Nafikiri unakubali kuwa chama cha upinzani chenye nguvu na kinachohatarisha maslahi ya chama tawala hakiwezi kupendwa na vyombo vya usalama, siyo kwa matakwa yao, bali kwa matakwa ya chama tawala na maagizo ya serikali...

Hauhitaji muujiza kujua kuwa wewe Hamy - D na company nzima ya ccm, mnaeneza chuki za wazi kuhusu Dr. Silaa ili tu asiweze kugombea urais 2015, sababu mnazijua na ziko wazi, lakini naamini, kama ambavyo mmejitahidi kuibomoa CHADEMA mmeshindwa, na mbinu zenu za kuwachafua viongozi wakuu wa CHADEMA zitashindwa tu. Mwisho, ndoto zenu za kuona CHADEMA ikifa kabla ya 2015 zitapotea, na kwa taarifa yako, vijana tunajiandikisha kwa wingi kuingia RED BRIGADE ili kuhakikisha ulinzi kwa VIONGOZI WETU na CHAMA CHETU...ALUTA CONTINUA....
 
Weka kiwango chako cha elimu wewe wajiita swity radhia na wasiwasi kama upo timamu kichwani ??? Na wewe wafikiria kwa kutumia tumbo au???au una akili sawa na mwigulu au yule aliyesema wazee wanakufa pole sana aisee
acha kuongopea umma wewe. Kila ulichoandika ni uzushi mtupu.
 
Mkuu, mzinzi ni mzinzi tu hata akikaa miaka mingapi hataacha tabia yake chafu hiyo. Angalia kwa Rose Kamili alizini wee mpaka kazaa naye watoto wawili na bado hajafunga naye ndoa ya kidini. Kwa Josephine naye ni hivyo hivyo. Huyu kapigwa laana na Mungu. Hawezi kubadilika kamwe

Sasa wewe mbona unaenda kwenye mambo binafsi? Hayo tuyaweke pembeni.
Tukiingia huko itakuja swali la JK ana wake wangapi na watoto wangapi? Siku ya kuapishwa tuliambiwa ana mke mmoja na watoto kadhaa. Hata kama ni watoto 30 si tungeambiwa? Unajua kilichokuwa kinafichwa?
Je, JK kuwaomba wezi wa EPA warudishe pesa ni uvunjifu wa KATIBA?
Je, unajua JK amehusishwa kwenye Richmond na Lowasa na mpaka sasa hakuna majibu?
Hizo tuhuma za kutunga za DHIDI ya chadema haziwezi kufuta.
Mnakumbuka kauli ya Tundu Lissu mwaka 2010 kuhusu nani anayebadilisha damu kila baada ya miezi 6? Unajua kauli ya Dr Slaa alipomwuliza Mzee Makamba kwa nini ulifukuzwa kazi ya ualimu mkuu? Tangu hapo makamba hajawahi kusema hayo unayoyasema wewe hadharani tena!
Tuache mambo binafsi tujadili hoja zenye tija ufisadi.
 
Halafu huyu Al Saif Hamy-D utakuta ndiyo kiongozi ktk moja ya sekta hapa nchini, hivi unategemea nini ktk nchi hii???
 
Back
Top Bottom