Mkuu kuhusu slaa unajidanganya sana boraNitawezaje kuwa na jipya wakati haya ninayo pambana nayo bado sijayatimiza?
Dr Slaa ana mapungufu rukuki, ndio kwanza niko dibaji katika kuyaweka hadharani mapungufu yake ambayo yanamfanya asiwe rais.
ungetunga mashairi mengine labda yatakusaidia. Dr tumain letu wewe chama lenu linakufa umebaki dr,dr.,..., dawa yenu moja tu ni kuwapiga 4 bila tu.