Kweli akili ni nywele, nawewe kwenu wanao wanabonge la mtu around. Ok majibu, Umri wa Dr. 67 bado ni wa kuwa na afya njema sana, uraisi ni miaka mitano mitano sio vinginevyo, hivyo Mwinyi kipindi cha pili alikuwa na umri sawa na wa slaa wakati anaendelea, Mandela alikuwa na miaka 76 wakati anaingia ikulu, Mugabe, wapo wengi tu. Kwa hiyo umri wake sio hoja kabisa, uwezo wake na afya yake ndo kitu muhimu kwa maslahi ya nchi, huyo mwenye umri mdogo umeona alichofanynia nchi???? anaongea broken english kama kwamba kiswahili hakipo, tena akiwa tanzania, rubish.
Mahusiano na vyombo vya ulinzi kuwa mabaya ni vile wanatumika kuzuia haki, hata JK wakati anaingia madarakani muulize Lowasa, alikuwa na rekodi mbaya kuliko mgombea yeyote kutoka ripoti ya usalama, Lowasa nanukuu "Mwenyekiti kama wewe isingekuwa hekima za Mzee mkapa usingekuwa hapo, unakumbuka kule zanzibar ulichafuliwa tena sana" Kwa hali hiyo ilishaonekana hao unaowasema hi tabia yao kuchafua na kugombana na watu, Mkapa aliwapiga chini, hata kwa Mhe. rais ajaye dk kweli kweli, kipenzi cha watu, Slaa sio hoja kama akipingana nao kwa maovu fulani fulani.
Mahusiano ya kifamilia ndo hayatuhusu kabisa, maana CV ya familia yako hata wewe hatuijui, CV yha ukoo wako hatuijui, iweje ya Slaa unashadadia??? Kwani umeleta cv za familia ngapi tulinganishe ili tuone ya slaa haifai??? Kuna mtu ni rais anamademu kila kona, ana watoto kila kona, aliwahi kusema hivi familia yangu ya karibu na familia yangu za mbali, usisahau kama ubongo wa mende wewe. Mtaani inajulikana na kuna hofu kuwa wengine wanaozea jela kwa kugombania mwanamke. Wakati mwingine viongozi wazuri mambo ya ndoa kweli hawawezi maana sio wanafiki, ndoa nyingi watu wanavumilia tu kwuwa kwenye ndoa na ni za show off, ndani moto. Mandela mfano wa kuigwa, Sarkazy, Clinton, Chenge na ile story yake ya bajaji, uliza waume za wanasiasa mawaziri au RCs utaambiwa nini kipo huko ceremonial tu. SO slaa is still a super person regardless ya mahusiano yake hasa ya ki ndoa, tunahitaji rais sio mfaule ambaye familia yake na ukoo wake utarithi nchi, no yeye tu kama rais.
Mwenye tuhuma nyingi zaidi TZ sorry to say ni JK, EPA anawajua hajawatajacwezi wamerudisha fedha rais amewaficha kweli kabisa rais wangu rais wa jamhuri unakula dili na wezi not to mention them in public the wholly public of tanzanians, Unga hajawataja, Richmond alisema kumjua mtu sio kosa, mara hawajui aibu kwa nchi, Mikataba ya nchi ni siri shame on you too, MERAMETA, DEEPGREEN, LIST OF NAME AND SHAME YUMO KIMYA, aliambiwa tukutane mahakamani kimya, sasa kashfa zaidi ya hizi kwa taifa unataka tuamke ameuza mkoa mzima kwa mtu ndo tuseme ni kashfa, Lowassa kila mara analalamika alitolewa kafara, Mwenyekiti useme hapa ni nini nilifanya bila ridhaa yako??? Jibu la Mwenyekiti agenda hiyo bado ikifika utaongea, muulize nape kama agenda hiyo ilifika hadi kesho.
HITIMISHO, njaa ya tumbo na akili ni janga kama majanga mengine; UKWELI UTADUMU KUWA SLAA KWA SASA NDO JEMBE LA TANZANIA. yeye sio rais lakini anataja waharifu wa TZ bila wogo mkutano wa hadhara, rais anaogopa kutaja, anakimbia kimbia kama tetea, PM wake anasema nchi itayumba kukamata na kutaja mafisadi, you simply cant ignore dr slaa moral and brain strength kwa vile tu unatumikia mabwana zako. He is not a headless chicken like those waliokutuma.