- Thread starter
- #21
amemtaja Dr.Slaa mara 14 kwenye thread yake,,,hawa watu wameishiwa sera
Shetani hutajwa mara ngapi na padre au shehe?
amemtaja Dr.Slaa mara 14 kwenye thread yake,,,hawa watu wameishiwa sera
Shetani hutajwa mara ngapi na padre au shehe?
Chadema ni mpinzani wa chama chetu CCM tuwaache chademo amemweka dr slaa halafu tumshughulikie kwa udhaifu wake wakati wa uchaguzi iwe rahisi kushinda
Shetani hutajwa mara ngapi na padre au shehe?
Hivi kumbe ibilisi anapokuwa anatajwa na padre au shehe uwa unasema, "mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe"?, ibilisi hutajwa mara ngapi na shehe au padre wakati wa ibada?
siku moja moja unaleta sera na mafanikio ya Chama Chako,..ama siku hizi sera ni Dr.Slaa na Chadema
Ni vyema kwa CHADEMA wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.
Kwa hali ilivyo sasa, anguko la Dr Slaa ni anguko la CHADEMA.
Naona majuha yanafagiliana... Laana ya kuzi100 na kuanguka jukwaani imetokana na nini? ...Nilishasema mwaka juzi kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''
Nilishasema mwaka juzi kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''
Then you are joining the Ranks@ Nnape Nauye; wazeee .... wafe''
Ethically CCM is dead!! I wonder hivi 2015 Lowasa, Sitta, Watakuwa na umri gani??
Ha ha ha yule babu wa Mtera alikuwa na miaka...73 na yule Salim A Salimu;
You are deada bodies!!
Our motto is Change, Perish or Change!! Whoever comes, but CCM have to be thrown into a ditch!!
Mkuu, mzinzi ni mzinzi tu hata akikaa miaka mingapi hataacha tabia yake chafu hiyo. Angalia kwa Rose Kamili alizini wee mpaka kazaa naye watoto wawili na bado hajafunga naye ndoa ya kidini. Kwa Josephine naye ni hivyo hivyo. Huyu kapigwa laana na Mungu. Hawezi kubadilika kamweHAMY-D,
1. JK anaumwa na amewahi kuanguka ndani na nje ya nchi. mbona yeye hamumwambii apumzike?
2. ndugu yangu, kama Mandela aliweza kurithi jeshi la makaburu, basi hata Slaa anaweza kurithi jeshi la polisi la CCM na kulirekebisha likawa la wa-Tanzania wote.
3.kuendelea kumsimanga Dr.Slaa kuhusu masuala yake ya ndoa ni cheap politics. this same trick mlishaijaribu dhidi ya Prof.Lipumba, na Pius Msekwa. kama wameshakaa kinyumba muda wote huu, mpaka kuwa na mtoto, basi wana haki zote za kutambuliwa kama mke na mume.
4.kitakachowazuia maraisi wetu kuiba ni kuwepo kwa vyombo vya dola vya kiuchunguzi ambavyo viko huru na vina meno. tukiwa na utaratibu huo, wote wenye tamaa za kifisadi watang'airi kwenda ikulu kwa nia ya kufisadi.
HITIMISHO:
Dr.Slaa anatosha kuongoza nchi.
cc: Pasco
Mkuu, mzinzi ni mzinzi tu hata akikaa miaka mingapi hataacha tabia yake chafu hiyo. Angalia kwa Rose Kamili alizini wee mpaka kazaa naye watoto wawili na bado hajafunga naye ndoa ya kidini. Kwa Josephine naye ni hivyo hivyo. Huyu kapigwa laana na Mungu. Hawezi kubadilika kamwe
Hatutaki Tanzania tuwe wajane kwa kufiwa na rais wetu mzee. Hinyahinya za urais dr slaa haziwezi. Kama rais wetu mpendww J. kikwete aliingia madarakani akwa kijana na sasa ameanza kuzeeka, huyu anayeingia akiwa mzee si atatembelea na mkongojo? Msilete masihara jamani. Kazi ya urais si kama kumhudumia Josephine.Endelea kuota ndoto za alinacha. Chadema inachanja Mbuga na Slaa ni rais wetu ajaye
Dr slaa anafanya uzinzi hadharani. Hayo mengine ni majungu tukwa hiyo na Fast Jet naye mzinzi,maana ana mke mmoja lakini watoto wa nje kama timu ya mpira!
WanaJF!
Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania