Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

Nilishasema mwaka juzi kwenye Harusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''

vp mama lwakatare nae?
 
Unataka kujua umri wa Lowassa ama ni vipi?

Kwa ufupi ni kwamba Lowassa atakuwa chini ya miaka 60 tukifika 2015.

Mbona anaonekana kazeeka kuliko Dr Slaa, maana kila asimamapo ama anapohojiwa hutetemeka, na kushindwa kuunganisha hoja!
 
image.jpgHamy D ....ustaadh Abdalah na timu yake haya ndio yanawatisha na kimage.jpguwakatisha tamaa.
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

nansesi,,,,,dr bilali,,ana miaka mngapi?
 
Jamani wana Jamvi hivi huyu mtu/kiumbe anajiita Hamy-D ni nani na ana akili za namna gani???? kila siku humu JF sijawahi kuona anajadili hoja hata siku moja yeye ni kujadili mtu 1 tu naye ni Dr Slaa!!!!! yani akilala akiamka ni dr Slaa!!! kuna siku atajikuta amelala na mumewe/mkewe usiku akikurupuka tu usingizini atajikuta anamtaja Dr Slaa!!!! huyu jamaa inaonekana upeo wake wa kuangalia mambo ni mdogo sana ama anatumika na watu/mtu Fulani kwa maslahi binafsi na kuishia kujidhalilisha mbele ya jamii bila sababu yeyote ya msingi!!!!!! angalia ndugu yangu njaa isijekukuendesha vibaya hadi ukajikuta unamuabudia bianadamu mwenzio kisa yeye ana pesa ya kukuhonga!!!! jaribu kushirikisha ubongo wako uliopewa bure na Mungu kufikiri japo kidogo kabla ya kupost thread zako za kipuuzi humu kwenye jukwaa great thinkers!!! unatujazia memory ya device zetu bana
 
Kwa sisi wacheza draft adui akikwambia cheza kete fulani basi icheze hiyo hiyo manake ndio inayompa homa, anajaribu kukudhoofisha ki fikra ili ukubaliane nae, ningekuwa CDM basi kula ningempa Dr full stop
 
Unataka kujua umri wa Lowassa ama ni vipi?

Kwa ufupi ni kwamba Lowassa atakuwa chini ya miaka 60 tukifika 2015.

Na anavyotetemeka kama kawekewa vibrator atatoboa kweli?
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Mandela alikuwa na takribani miaka 76 alipokuwa rais wa South Afrika, why not Dr Slaa at the age of 67? and why Lowassa at 62, JE kama lowassa anafaa kuwa raisi 2015 kwa age ya 62 what is a big difference na slaa at the age 67? Watanzania wa leo si wale wa 1990's.
 
Mambo mengine uamriwa na mazingira tu sio mpaka katiba iseme, sasa suala kama la kikomo cha umri sio mpaka katiba iliseme, ni busara tu itumike kuwa Dr Slaa umri umemtupa mkono na awapishe wengine.

Jambo la kusema eti tuna hofu ya kushtakiwa kuhusu hilo mtatoka patupu, kwa serikali hii ya kikwete hakuna kiongozi mwenye ajenda ya siri na hili taifa.

Nisaidie Kidogo, Mandela aliapishwa kuwa Rais akiwa na umri gani!? Kibaki wa Kenya Je! na je waweza kuniambia Mugabe kwa sasa ana umri gani! na je hawa akina Lowasa na Membe je!

Vyombo Vya Dola hutii mamlaka iliyowekwa na wananchi na ungejua hawa jamaa wamegawanyika kuhusu Dr Slaa ungekaa kimya na kutafakari mustakabali wa nchi yetu hii tajiri, ila nyie mmeaminishwa ni maskini.
Umeandika kitu ambacho sikutegemea kitoke kwa mtu mwenye fikra pana.
 
Utumbo mtupu, aliweza kuongoza Mandela tena akitoka gerezani alikoishi kwa miaka mingi na kufanyishwa kazi ngumu, hali kadhalika akamtaliki mkewe Winnie, hayo yote mnayozungumzia wala si sifa muhimu za kiongozi bora
 
Mm si mwanachama wa chama cha siasa.
Hoja hizi ni za kusadikika😛engine uwaeleze wana JF Dr Slaa ni fisadi kwa kumlinganisha na nani ccm,
Umri: hoja hii ni nyepesi,
vyombo vya dola ni mali ya serikali na mfanyakazi wa umma hana ushabiki wa chama hivyo hana chama,uhusiano, usimjadili mtu binafsi jadili hoja
;Slaa hajasema atagombea urais 2015 lakini chama chake kikimpa bendera yao ni haki yake kikatiba.inaonyesha Slaa anakupa homa hadi unajenga hoja za kusadikika.
 
Acha kuongopea umma wewe. Kila ulichoandika ni uzushi mtupu.
Uongo uko wapi hapo? Siku zote ukweli ni mchungu.kwa kifupi dr.slaa hamumuwezi hata siku moja.mtabakia kumchafua tuu mwisho mtachoka.wa Tanzania wanampenda dr.slaa pia wana mwamini.
 
Mikael P Aweda,

Ni kweli kwamba Dr Slaa alikuwa na mahusiano mazuri na baadhi wa maafisa wa serikali, ikiwemo na vitengo vya usalama, na kama utakumbuka hili ndilo lilimsaidia kujizolea umaarufu mkubwa miongoni mwa watanzania kwa kuibua mambo ya ufisadi. lakini kwanini haujiulizi kwamba umaarufu wa Dr Slaa bado ni ule ule?, kwanini sasa hapati taarifa yoyote ya ufisadi?, ni kwamba ufisadi umekwisha serikalini? jibu ni hapana, ila kwa sasa Dr SLAA hana tena mahusiano mazuri na maafisa wa serikali. Hili ni tatizo kubwa sana hasa kwa mtu ambae anatarajia kuwania nafasi ya urais.

Tumechoka na hayawani nyinyi, kwani hapo zamani huo uhusiano ulimuunganisha wewe??? Kwani kuwa na uhusiano mpaka utaje watu, kwa hiyo JK naye hana mahusiano na Usalama maana hajataja mtu??? YULE NI DOKTA WA KITABU ANAJUA LINI ATAJE NA KIMSINGI NI MWEHU TU ATAKAYEDHANI UHUSIANO HUO UMEKUFA, never. UKIONA KIMYA UNADHANI akili inakuktuma kalimajojo sisi tuko Mtaa wa UFIPA
 
Hapa Hakuna hoja kuna ambacho wafuasi wengi Wa CCM hasa mafisadi wanakiogopa Na kupatwa Na Slaaphobia wanaposikia ukweli kwamba dr Slaa anaweza kuwa rais.

Lakini Kijana tulia tu kwa sasa kwa sababu Chadema haijatangaza atakayekuwa mgombea urais 2015.

After all we pro CCM mambo ya Chadema yanakuhusu nini!
 
kwani slaa bado mnampigia hesabu ya kugombea urais mbona mwenyewe alishajikatia tamaa,mgombea kwa chadema ni mbowe.
 
Back
Top Bottom