Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

Slaa.jpg
Mke+wa+Dr.+Slaa.JPG
293125_399618333421009_801864624_n.jpg
hili libabu slaa linamchezea Mungu kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! lilaaniwe milele!!!!! Hamy_D uzi wako umekwenda shule! ubarikiwe sana!
 
Hii nakupa five kwa kuwa ningesema mimi wangesema sisi wa buku 7. Lakini hata fact inahitaji buku 7? Hii ni fact.
 
Watu wanazidi kumfagilia Dr Slaa tu. Wala hata hajatangangaza nia ya kugombea urais. Akitangaza je, mbona kitakuwa kimbunga!!!
 
Nilishasema mwaka juzi kwenye Harusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''

Wewe ------- wazo lako lako ulimweleza nani?
Mawazo yako ya utumwa mpelekee anayekukanyaga wee!
M.i.pum.b.av..u mingine bana!
Hasara tu! Copy kwa HAMY-D
 
Last edited by a moderator:
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

hapo kwenye familia tu ndo umeniacha hoi?manake kuna wake kibao na watoto karibu mia nane kidogo.......sembuse dr slaa na huyo mchumba wake.....kweli nyani haoni kundule
 
Hamy D tumechoka post zako hazina maana wala tija, Kikwete ana utakatifu gani wakati watoto nje wapo kibao kama utitiri?
 
Mkuu, Nswima, unajaribu sana kumtetea dr slaa wakati amelaaniwa na Mungu. Kumbuka zinaa aliayokataza Mungu haiweI kuhalalishwa na sheria yoyote ya kdunia. Kumbka, hakuna aliye mkuu zaidi ya Mungu na mamlaka zote ulimwenguni zinatoka kwake. Zinaa ni zinaa na haiwezi iutakaswa na post zetu humu mitandaoni. Pia hiyo zinaa imepelekea kuzaliwa kwa watoto 3 wa nje ya ndoa. Hilo doa halitakasiki.

kuhusu hiyo mifano ya akina Kiza Besigye na Morgan Tsvangirai uliyotoa, nadhani jibu unalo mwenyewe. Hao watu kutokana na ujinga wao, walidhani kuwa kutukana vyombo vya dola ni ufahari. Ndo maana mpaka sasa ndoto zao za kwenda ikulu zimeyeyuka. Besigye tayari amestaafu siasa bila ya kuingia ikulu. Tsvangirai naye muda si mrefu atapata aibu katika huu uchaguzi wa zimbabwe.

Sasa ndugu yangu Lizabori, kwani uzinzi wa rais wako ndio halali mbele ya Mungu? Tuwe wakweli, japo inasemekana marais wote huwa ni wazinzi, lakini huyu rais wenu wa CCM na serikali hii amezidisha, umeambia hapa kuwa, wakati anaapishwa walisema kuwa ana mke mmoja na watoto kadhaa....kadhaaaa...kadhaaaa what does it mean? Kama unaamini katika maandiko matakatifu ya Mungu....basi "YA MUNGU MPE MUNGU NA YA KAISARI MPE KAISARI...."
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Wewe ni mgonjwa wa kideli (CCM EMO CC) huna lolote la maana, kama sio mwizi, fisadi, mhujumu uchumi wa nchi hii basi unakula makombo ya bwana zako wa EPA, RICHMOND, MEREMETA, MADAWA YA KULEVYA!! Sijui tukuweke kundi gani , labda una una mchemche Dr Slaa akiingia ikulu wajomba zako woote wataishia jela????
Kwa hiyo tafuta pa kwenda maana Dr Anakubalika koote Tanzania sijui mtakimbilia wapi na mafisadi wenzio, maana Watanzania tumechoka na ulaghai wenu na kuendeleza wizi wa mali zetu na mikataba ya kufilisi nchi!!!!
 
Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe! Thread zako zote ni kuhusu Dr Slaa. Hebu tuletee habari nyingine. This is too much!!

teh teh teh watatoa wapi threat nyingine wakati hii ndo sera ya ccm, hawa hata usiku wanaota cdm na viongozi wake.
 
Mti wenye matunda ndio hurushiwa mawe! Thread zako zote ni kuhusu Dr Slaa. Hebu tuletee habari nyingine. This is too much!!

teh teh teh watatoa wapi threat nyingine wakati hii ndo sera ya ccm, hawa hata usiku wanaota slaa.
 
Nilishasema mwaka juzi kwenye Harusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''
ukisha kuwa kiokote hakika ni kiokote tu any ways tunashukuru kwa taarifa ya kuolewa kwa dadaako sababu ndo lengo hasa ulotaka kutujuza,si unaujua msemo wa masikin akipata??? inaonesha kwenu hamna historia ya kuolewa ivo ndoa ya dada ako imekuwa miracle kwenu ndo mana matangazo hayaishi,hal hala ndoa yenyewe ya uke wenza.
 
Slaa.jpg
Mke+wa+Dr.+Slaa.JPG
293125_399618333421009_801864624_n.jpg
hili libabu slaa linamchezea Mungu kweli!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! lilaaniwe milele!!!!! Hamy_D uzi wako umekwenda shule! ubarikiwe sana!
kama alivyolaaniwa mama yako baba yako na fastjet
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
yaaani unaonekana hulali usungizi ukakufika kutwa kucha unamuwaza RAISI WAKO MTARAJIWA na kibaya zaidi alishaoa haitaji mke mwingine coz speed ya kujipendekeza kwake naona inapanda kadri siku zinavo songa,ndugu ashaoa huyo BI JOSEPHINE anamiliki kihahali ivo hata ujipendekeze vip huwezi onekana sababu ni sawa na mkaa gizani,EWE HAMY D DR SLAA ANA MKE NA HAITAJI MKE MWINGINE NA NDO MANA UNAHASIRA NAE KUTWA KUCHA KUMUANDAMA, HAKUTAKI HATA KAMA UNAHASIRA ZA KUKATALIWA KUWA BI MDOGO HAKUTAKI NA WALA HATAKI VIHIO KAMA WEYE ATI FANYA YAKO NDOA ZA WATU ZITAKUSHINDA BABU UTASHIKWA UGON BURE!!!!!
 
slaa ni janga. Mungu atuepushe na mdudu huyu!
NAFIKIRI UDUDU ULIANZIA KWA MAMA AKO, BABAAKO NA FAMILIA YAKO YOOOTE MKEO NA WATOTO WAKO NA UKOO WAKO WOOOTE ,,NI LAANA NA HASARA SANA KUWA NA (sijui hata nkuiteje sababu huna hata hadhi ya kufananishwa mtoto wa mwaka mmoja tena mweye mtindio wa ubongo)KAMA WEWE KATIKA NCHI HII NA NI LAANA KWA NCHI HII NAFIKIRI YAFAA TAIFA LIBADILISHANE WEWE NA CHANDARUA ANGALAU WANETU WAJISITIRI NA MALARIA KULIKO KUWA NA DAMPO KAMA WEYE
HALAFU SIKU INGINE KOMA KUITA MTOTO WA MWENZIO MDUDU!!! :disapointed::disapointed::disapointed::disapointed:am sorry!!!!
 
.... kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia..
Kwa hiyo leo unaamini Dr Slaa alikuwa anafanya kazi ya Mungu, yaani MUNGU wa kweli katika nafsi zake tatu, yaani MUNGU aliyemtoa mwanaye Yesu Kristu ili aukomboe ulimwengu, huku akiwa ndiye njia na kweli na uzima. Je wasadiki?
 
Dr slaa ataingia ikulu 2015 huyu ndiye tumaini la watanzania propaganda za hamy d hazitazuia mabadiliko
 
Back
Top Bottom