Kwa muktadha huu: Dr Slaa ikulu hapamfai!

Wewe utaendelea kuota tuu kuhusu dr.slaa... maccm hamuwezi kumuangusha dr slaa hata siku mpja.kwasababu yeye alishawaangusha na kuwamaliza kitamboo...chanzo cha ccm kukosa mvuto, kusomba watu na malori ili mikutano yao iwe na watu ni damage wakioipata kutokana na dr.slaa...hata ukiwauliza viongozi wenu wa ccm watakuambia ukweli kuwa chanzo cha shida zooote mnazozipata ni dr.slaa..maana dr slaa ndiye aliyefumbua macho wananchi..wakajua kila kitu kinachoendelea kuhusu ccm na serekali yake..ile list of shame mpaka leo ni pigo kuu kwa ccm.mpaka ile dhana yenu ya kuvuana magamba ilitokana na damages alizowapa dr slaa.kwa hiyo basi wewe hamy d unajisumbua bure kumchafua dr slaa kwasababu wananchi wanatambua umuhimu wake na mchango wake mkuubwa kwa taifa.wewe endelea tu kujaza maji kwenye gunia.dr slaa ni tishio kubwa sana kwa ccm.kwa kifupi dr slaa hamumuwezi na hamtakaa mumuweze.

Wamwangushe mara ngapi? Kwani wewe hujui kama Slaa alishaangushwa zamani na sasa anatapatapa tu. Hana nyimbo huyo ameshajiishia zake. Akapumzike tu huko Karatu.
 
Dr Wilbroad Peter Slaa Rais wa mioyoni mwa watanzania. Mashetani wote wa CCM yanamuogopa!! ngojea 2015!!! Unatueleza nini? Emilio Stanslaus Mwai Kibaki alikuwa na Umri gani alipoingia Ikulu ya Kenya? Umeona maendeleo yaliyotokea Kenye kipindi chake? Au bado uko kwenye chungu cha Mwigulu na Nepi! tu?
 
Nilishasema mwaka juzi kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''
Duhhhhh yaani Dr.Slaa mpaka kwenye harusi
Ya Dadako..

Inaonyesha ni jinsi gani anawanyima usingizi .
Poleni .
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

Get a life.Haiwezekani kila siku wewe ni "Dkt Slaa hili, Dkt Slaa lile." What's next? Dkt Slaa akukana sio mzazi wako? Man, you're so obsessed na Dkt Slaa kiasi kwamba hata ukiwa na hoja ya msingi (which I doubt) watu watachukulia ni mwendelezo tu wa chuki yako kwa Slaa. Tafuteni ajira, hangaikieni maisha yenu, hizo shilingi chache zinazowafanya mdamkie kwenye internet cafe ni mwendelezo tu wa vicious circle of poverty

Unaipenda Tanzania? Twambie basi kuhusu wanaharamu wanaoharibu maisha ya mamilioni ya Watanzania wenzao thru biashara ya SEMBE ambayo imeshika kasi mno katika utawala huu wa Jakaya Kikwete

Unaipenda Tanzania, twambie kwanini serikali iwaumize wananchi kwa SIM card Tax ilhali tuna mabilioni yetu yaliyoibiwa na kufichwa Uswisi,na wezi wanafahamika?

Unaipenda Tanzania? Basi tambua kuwa Watanzania wana akili mara milioni zaidi yako: wanajua wanachotaka, hawahitaji kuskia MUKTADHA kutoka kwa watu mlioweka rehani maisha yenu kwa ujira wa kumchafua Dkt Slaa/Chadema. Kama hamthamini maisha yenu binafsi mpaka mmeyaweka mikononi wa Mwigulu/Lumumba, how come mnajaribu kutuhadaa kuwa mnathamini maisha ya wengineo?

Tafuta kibarua ndugu yangu, kuganga njaa kwa kumchafua Dkt Slaa simply doesn't work. And at the end of the day, you get used and abused just like a condom (muhimu kabla na wakati wa tendo la ndoa; uchafu baada ya tendo)

GET A LIFE
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.
Mie
Swali
Langu
Ni
MOja (1)
Tu..
KWANINI ma-kereketwa ya Chama la Damu, Chama mavi, CHAMA LA MAFISADI, hawana hoja zaidi ya kulalamikia ugombea Urais Kwa Kwa Tiketi ya Chama ambacho si CHAO.. Ya Ngoswe mwachie ngoswe bwanae.. Hangaikieni akina Lowassa wenu, mzee we kuoteshwa urais aka MZEE WA LOLIONDO-- Membe, na wengineo.. Hangaikieni Na hao ya CDM yanawahusu Nini mbona mnawashwa kila iitwapo siku.. !???! Mnakera sana
 
ni vyema kwa chadema wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.

Kwa hali ilivyo sasa, anguko la dr slaa ni anguko la chadema.

nguzo imesha oza,mda wowote itaanguka
 
Nilishasema mwaka juzi kwenye arusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''

Dadako na Dr Slaa kuna uhusiano gani..!au ilikua aolewe na Dr akatoswa!
Umefirisika kimawazo
 
Tatizo la akili ndogo kujadili mambo makubwa ndiyo hili, lakini pia kujadili mambo makubwa ya nchi kishabiki, ishu ya nani anweza au hawezi inakosa mashiko bila kuweka mbele masuala muhimu ya taifa tunayotaka yasimamiwe vyema na kiongozi yeyote yule awaye, lakini lakini mtu anayejidai anafanya uchambuzi kwa msingi aw kuwa Rais halafu hujui msingi wa mahusiano ya Rais na vyombo vya dola inatia mashaka Kama mijadale yetu ina msaada kwa ujenzi wa taifa.Ca we dwell on issues and big issues that matters for the bright future of this nation and deliver ourselves from these cheap politics for the good of another Tanzania
 
Wasiwasi wangu Dr Slaa hatoweza kutii katiba ya nchi kwa maana haliweza kulisaliti kanisa je atashindwa nchi? Kana kwamba hiyo haitoshi akamkosea mungu kwa kuzini tena na mke wa mtu aliyefunga ndoa kanisani.

Alivyokosa adabu na aibu akawa anampandisha mke wa mtu jukwaani na kumnadi kuwa ni mkewe nani anaweza fanya hivi? Lazima atakuwa na mapepo huyu BaBu.

Tulishuhudia Nyerere alivyosimama kidete kuakikisha wagoni hawaingii Ikulu nasi tusimama kidete kumzuia mgoni Babu Dr Slaa hasiingie Ikulu maana hahaminiki hata kidogo.
 
Nilishasema mwaka juzi kwenye Harusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''
Kwahii post yako inaonyesha kuwa na wewe ni Tah...ra !
 
Ni vyema kwa CHADEMA wakajitathmini na kuibua mtu mwingine badala ya kutegemea mtu mmoja kuwa nguzo ya chama ilhali nguzo yenyewe imeanza kuchoka.

Kwa hali ilivyo sasa, anguko la Dr Slaa ni anguko la CHADEMA.

Mimi nashangaa sana wewe mwana CCM, umegundua udhaifu wa Dr Slaa, sasa nilitegemea uwaache CDM wamweke ili iwe rahisi kwa CCM kushinda? Ukweli upo wazi tu, ma-ccm wakisikia tu Dr Slaa, roho zinawapasuka, mnajua akisimamishwa kama mgombea urais mziki wake utakavyokuwa. CDM iko na kazi moja tu sasa, kujenga chama, suala la urais muda wake bado, hil wameachiwa CCM wanaogongana makanisani wakijifanya wanatoa misaada. WATANGANYIKA SASA HATUDANGANYIKI
 
WanaJF!

Pamoja na mapenzi makubwa ambayo wengi wenu mmekuwa nayo kwa Dr Slaa na mngependa kuona siku moja Dr Slaa akiapishwa na kuwa rais wa Tanzania, ila nasikitika kusema hilo haliwezekani kwa kuwa Dr Slaa Ikulu hapamfai.

Ni muhimu kwa mashabiki na wanachama wote wa CHADEMA wenye hamu ya kuona Dr Slaa anakuwa rais kufahamu jambo hilo ni gumu na hatuna budi kulikubali, ugumu wenyewe kwa Dr Slaa kuwa rais upo kwenye maeneo yafuatayo;

Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Dr Slaa ambae imeandikwa kuwa amezaliwa October 29, 1948, kwa sasa kama angekuwa mtumishi kwenye ofisi za umma basi angekuwa ni mstaafu miaka 5 iliyopita.

Ieleweke mpaka ifikapo mwaka 2015 Dr Slaa atakuwa na miaka 67, umri ambao hawezi kumudu changamoto za nchi kwani ni mkubwa mno na madaktari uwa wanashauri mtu mwenye umri huo inapaswa apumzike.

Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

CHADEMA na viongozi wake wakubwa (Mbowe na Dr Slaa) wamekuwa wakitangaza hadharani kuwa hawana maelewano mazuri na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama.

Viongozi hawa wa CHADEMA wamekuwa wakilalamika kuwa chama chao kimekuwa kinakandamizwa na vyombo vya ulinzi na usalama kwa kupokea maagizo toka serikalini.

Jambo ambalo limekuwa likipingwa na vyombo hivyo na imeshuhudiwa kwa askari kadhaa kusema wanasiasa wa upinzani hawapendi kuona hali ya nchi hii ikiwa kwenye amani na utulivu. katika hali hii, unatarajia askari watakuwa tayari kufanya kazi na CHADEMA endapo wakitwaa dola?

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kama itakumbukwa kauli ya hayati mwl Nyerere iliyosema, "ikulu ni mahali patakatifu" ingawa aliitumia kueleza rushwa, ila neno takatifu lina maana pana na kwa upande wa mahusiano ya familia ni sawa kusema rais anae tarajiwa kuingia Ikulu ni lazima awe na mke/mume wa ndoa pia na familia inayo kubalika kisheria.

Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Dr Slaa alipata tuhuma kuwa amekwapua pesa kwa namna ya kujikopesha na kilikuwa kiasi cha milioni 140 pesa za kitanzania, tuhuma hizi hapo awali alipinga kuwa si za kweli, ila baada ya kuhojiwa mara kadhaa Dr Slaa alikiri kuwa ni kweli alichukua pesa hizo na tayari amezirejesha.

kwa mtu ambae tayari ameonyesha udhaifu mkubwa katika kupigana na nafsi yake kwa matamanio mbalimbali ya kidunia, hasa masuala yanayo husu fedha, hii ni hatari kwa HAZINA (mfuko mkuu wa serikali) yetu ya taifa kama Dr Slaa akipata urais.

HITIMISHO,

Kwa mujibu wa hoja mbalimbali kama nilivyo eleza, ni ukweli usio pingika kuwa Dr Slaa Ikulu si mahali pake na ni kheli afuate ushauri wa madaktari wa kupumzika na kuachana na mambo ya utumishi wa umma kama anavyo panga.

kuhusu mashabiki ni vyema sasa tukaacha ushabiki wa kisiasa ambao umekuwa hauna faida yoyote zaidi ya kurudisha nyuma maendeleo ya vijana na taifa kwa ujumla badala yake tujikite kwenye uzalendo na kuchagua viongozi wanaofaa kwa mustakabali mwema wa taifa letu.

NAOMBA NIKUJIBU KAMA IFUATAVYO
Umri wa Dr Slaa sio sahihi kutumikia umma.

Kuhusu suala la umri inatakiwa utambue kinachoongoza sio umri ni uwezo wa mtu na kipawa alichopewa na mwenyezi mungu, kama umri ni kigezo ebu tuambie maamuzi tuliyoyafanya 2005/2010 yalikuwa ni sahihi je kwa umri aliokuwa nao tuliyemchagua wakati ule alifanikiwa/amefanikiwa kuongoza inavyotakikana? Kumbuka kauli ya Mrema wakati anagombea Ubunge alisema kazi ya Ubunge sio kubeba Zege hivyo unatakiwa utambue Ikulu huwa hakuna kazi ya kubeba Zege au magunia kule ni uwezo, Hekima na Busara
Mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi na usalama.

Kuhusu mahusiano na vyombo vya Dora inatakiwa utambue vyombo vya dora ndiyo havina mahusiano na CHADEMA kwani kila penye tukio la uvunjifu wa amani ni pale tu polisi wanapoingilia shughuli za CHADEMA. Kama jana ulimsikia Nchimbi alitoa mfano mmoja juu ya kupigwa kwa aliyetarajiwa kuwa mfalme na sabau kubwa ya waliokuwa wakimpiga ni kwamba hata siku akiwa mfalme nao watakuwa wanajisifia kuwa siku moja walimpiga mfalme, kwa hiyo unatakiwa utambue hizo ndiyo akili maji za Polisi.

Utaratibu wa mahusiano ya ndoa na familia.

Kwa hili naomba tuanzie kwa Mwinyi unafahamu alipokuwa Rais alikuwaje? Je Mkapa wakati anateuliwa kugombea Urais alikuwa na Mke? na je huyu Rais tuliyenae watoto wote alionao ni wa mke mmoja? kama sio vipi mahusiano yake?
Swali la msingi je ukiwa Rais unakubaliwa kujihusisha na mapenzi nje ya Ndoa? kama sio neno lako la Ikulu ni mahari Patakatifu linaleta maana yeyote?
Tuhuma za ubadhilifu ndani ya chama chake.

Hili la kujikopesha, sijui ubazilifu ni kauli za masalia zisizo na ushahidi, ebu turudi nyuma kuanzia 2004 tumeshuhudia wizi mkubwa wa fedha za nchi hii kama vile EPA, MEREMETA, KAGODA, RICHMOND Nk. kama kweli wewe ungekuwa na akili na mapenzi mema na nchi hii ungejikita kujadili haya, unazungumzia million 140 ambayo pia haina ushahidi ebu tuambie katika kashfa ya RADA chenge alivuna shilling ngapi na leo yuko wapi? vipi kuhusu fedha za wanajeshi waliojitolea kulinda amani ambazo leo hii zimechukuliwa na mtu mmoja tu kwa sababu ya cheo chake na kwa shukhrani za wizi huo kwa sasa ni balozi huko China.

HITIMISHO,

Na mimi nahitimisha, wewe inawezekana kabisa ukawa ni kijana lakini jilinganishe mawazo yako na ufahamu wa mambo unalingana na Dr. Slaa. kwani ni muda sasa hakuna hata siku moja umeweka hapa JF mada ya kujenga kwa ajili ya kulinasua taifa hili kutokana na tatizo la UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI wewe kila kukicha ni CHADEMA na Dr. Slaa, Badirika ndugu hata kama unatumika jikomboe ili uwe na uhuru wa kufanya kitu kwa maamuzi yako mwenyewe.
 
Haya mkataeni Slaa wapendeni hao wauza madawa ya kulevya!

Nilishasema mwaka juzi kwenye Harusi ya dadangu na narudia kusema leo ili kila mtu asikie: ''Slaa ni mtu anayeugua ugonjwa wa akili unaotokana na laana ya kuacha kazi ya Mungu na kugeukia mambo ya kidunia''
 
Jifunze kuwa na roho ya utu wewe, mimi nimeeleza hisia zangu kuhusu Dr Slaa hasa kwenye uhalali wake wa kugombea urais, mambo ya ajali yanatoka wapi ndugu?

Kuhusu suala la mahusiano ya Dr Slaa na vyombo vya ulinzi hilo halina ubishi, mahusiano ni mabovu, askari kwa wanajeshi wamekiri hili mara kadhaa.
Kumbe wewe ndio ulipata ile ajali ya pikipiki, hivyo una mahusiano na Pasco wa Jf aliyepata ajali? Kama unaamini unachoandika mbona unabadili ID na kujipa like mwenyewe bila kujikoment bwana Pascali Ole Lowassa?
 
Tulisema humu jf tupime michango kwa kuchagua mchele peke yake na pumba sehemu yake. Wachangiaji kama MAMY-D ni watu wenye capacity ndogo na wana deal na characters badala ya vitu tangible. Kila siku oh Mbowe, Dr Slaa wamefanya hivi, wako hivi.... Hivi hana jambo lingine la mchango wa jinsi ya kuondoka hapa tulipo katika lindi la umaskini wakati ytuna raslimali lukuki. Ingawa sijui umri wake lakini hata kama kijana, mtu wa makamo nk, niseme ni mtu aliyechoka kiakili. Nikiri kuwa kwa namna anavyoleta mada za ajabu ajabu ana njaa vile vile. Mchangiaji aliyehitimu darasa la saba anaweza kuwa na upeo mkubwa kuliko huyu bwana na timu yake. wakati wanashughulika na watu sisi tujikite zaidi katika mustakabali wa nchi yetu ambayo imeporwa na watz kuonekana wakimbizi. Sasa hawajui washike lipi kwani wimbi linakuja kwa kasi sana. Sasa hata rasimu ya katiba imekuwa shubiri kwa magamba. Oh sisi serkali 2 sio 3. MNani kawanyima kuwa na msimamo huo. Kama alivyosema Jaji Warioba tume inashughulikia maoni ya wananchi siyo ya magamba na serkali yao. Kila kitu kawo sasa ni cah moto saa hizi, wakae chonjo. gari linanyanyua na kila abiria sharti ashike mzigo wake. HAMY-D kachukue buku zako 5 pale pa kawaida ukale kwani uchangiaji huku unahitaji weledi na convincing power.
 
Radhia Sweety wewe JK ANA NDOA YA WAKE WANGAPI?MBONA AMSEMI KUWA NAHUYU NAIBU WAZIRI WA FEDHA CHAKULA YAKE?SO DINI YAKE INA MPA RUHUSA KUZINI KILA MAHALI?CCM HOJA HAMNA SIKU ZOTE
 
Last edited by a moderator:
Radhia Sweety wewe JK ANA NDOA YA WAKE WANGAPI?MBONA AMSEMI KUWA NAHUYU NAIBU WAZIRI WA FEDHA CHAKULA YAKE?SO
DINI YAKE INA MPA RUHUSA KUZINI KILA MAHALI?CCM HOJA HAMNA SIKU ZOTE
anaedai kuwa dini ya kikwete inamruhusu kuzini,ni ishara tosha mtu huyo hamjui kikwete na wala haijui dini yake.
Suala la dini siyo kukurupuka na kujisemea tu,kuwa makini na unachozungumza
 
Last edited by a moderator:
Hamy D ni project Lowassa ,hivyo msipate naye taabu sana kuelekea mbele, japo kaja na tabia za mbuni za kuficha kichwa kwenye mchanga...
 
unafanya kazi ya Nape, je naww n katibu mwenezi CCM????? ACHA KULETA HOJA ZA KIJINGA.
 
Back
Top Bottom