chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 12,009
- 20,683
Kwa sheria za nchi, ndoa ya Manara na bi mdogo wake waliyevurugana bado ni halali, talaka, kwa sheria za Tanzania, inatolewa mahakamani baada ya mahakama kujiridhisha na sababu za kuomba talaka.
Yale mambo ya kumtamkia mke hayatambuliki kisheria.
Kama gari za Manara lina breki za upepo mpaka dereva apampu, bi mdogo atatuanikia pale kisutu
Manara bado unalo!
Yale mambo ya kumtamkia mke hayatambuliki kisheria.
Kama gari za Manara lina breki za upepo mpaka dereva apampu, bi mdogo atatuanikia pale kisutu
Manara bado unalo!