nadhani mapingamizi juu yake utayakubali pindi yakitokea, achana na magu msubiri lipumba ajibu tutaimba wimbo sawaDuh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi ... sio kwa guts hizi...
nadhani mapingamizi juu yake utayakubali pindi yakitokea, achana na magu msubiri lipumba ajibu tutaimba wimbo sawaDuh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi ... sio kwa guts hizi...
Kumbe yeye hakupeleka kwa wasaidizi akiwa anajua sio sahihiDuh.... This Lissu sasa ananitisha hata mimi ... sio kwa guts hizi...
Kwani naye si mgombea?Rais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Yaani muda wanaopoteza wataujutia! Badala ya kuhangaika na kampeni wanashadadia ujinga! Hawajui hata maana ya tume!Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Kwahiyo ikulu wanakaa wagombea?Nchi ya wapi, kwa sasa hakuna rais bali kuna wagombea wa urais, lijue hilo sister.
😀😀Ila tuache utani hapa cha Arusha kinahusika
Hilo nalikubali.Mambo mengine ya kijinga.unamuengua mtu eti hakuleta passport??this is stupid .mambo mengine tunajtaji kutumia busara na siyo kukomoana!! Kama NEC hawawezi wajiuzulu mara moja.
Haya subir kidogo nipate ushauri kwa bibi yako mzaa babu yako. Kidogo tu subiriHizo pingamizi za kitoto sana leta Nyengine
wakurugenzi wanatumika hovyo hovyo bila kujali familia zao zinaishi mtaani hio laana ya kuwanyima wengine haki ya kuwachagua wawakilishi wawatao itawatafuna sana kwa kukubali kutumikaMlivyomuengua Devotta Minja kule Morogoro kuwa hakuleta passport size ndio vile vile atakavyoenguliwa
Kikatiba Mh.Magufuli kwa sasa ni mgombea urais wa JMT mwenye rank sawa kabisa na HASHIM RUNGWE SPUNDA au LIPUMBARais wa nchi akamjibu huyu kibara. Hivi mmeifanya taasisi ya urais kuwa dekio.
Acha uwongo. Kanuni za uchaguzi 2020 kanuni ya 39 haija sema kuwa mujibu pingamizi atafanya hivyo mbele ya mleta pingamizi.Kwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Hizo sababu ni nzito zinatosha kumwengua maguKwa mujibu wa Sheria ya Uchaguzi namba 13 ya mwaka 2004 kipengele cha 48 mgombea aliewekewa pingamizi anatakiwa kwenda kujibu hoja mbele ya mgombea aliyemwekea pingamizi na kujibu hoja .
Sasa leo Mhe. Lissu amemuwekea mgombea mwenzake John Pombe Magufuli wa CCM pingamizi baada ya kushindwa kuambatanisha passport size kwenye form yake pia wadhamini wake kuhakikiwa na wasimamizi wasaidizi badala ya TUME yenyewe zaidi alihakikiwa tarehe ambayo haipo kwenye ratiba.
Battle to battle.
Broo hilo jina balaaKama wamemuondoa Minja Devotha kwa kutoweka passport basi na "JIKONO DANJAMA" naye aenguliwa kwa kuto ambatanisha passport.
Inakuwaje Kaijage na Mkurugenzi kumpitisha huku Makosa ya wazi kabisa kutokuwa na passport?
Kweli kabisa MkuuKikatiba Mh.Magufuli kwa sasa ni mgombea urais wa JMT mwenye rank sawa kabisa na HASHIM RUNGWE SPUNDA au LIPUMBA
Aliisoma vizuri sheria ya uchaguzi na past experience piaKumbe yeye hakupeleka kwa wasaidizi akiwa anajua sio sahihi