Maulaga59
JF-Expert Member
- Feb 1, 2021
- 2,989
- 2,954
Adhabu ya kutokwenda JKT ni ipi kisheria?
Utadakwa kama mhalifu mwingine!
Adhabu ya kutokwenda JKT ni ipi kisheria?
Usitushe..hakuna chochote kitakachotikea..sio lazima kwenda.Wanakufuata mpaka kwenu, wanakupa kipigo kizito kisha unanyolewa upara mbele ya wananchi wenye hasira kali kisha umawekwa kwemye roli na safari ya kupelekwa kambini kinguvu inaanza rasmi
Ulishawahi kwenda jkt kwa mujibu wa sheria? Ni mbinu gani za kivita mnafundishwa?Me sioni mantiki ya vijana kwenda huko, wakikosa cha kufanya mtaani baadae wanatumia technic walizojifunza huko katika uhalifu....
Adhabu ya kutokwenda JKT ni ipi kisheria?
JKT ni zaidi ya kukimbia mchaka mchaka ni pamoja na kufundishwa Utaifa na uzalendo!!Uzalendo hauletwi kwa kuwakimbiza watu mchakamchaka
Mbona nnaowajua waliotoka huko hawana uzalendo tena wengine wanachukia serikali kulikoJKT ni zaidi ya kukimbia mchaka mchaka ni pamoja na kufundishwa Utaifa na uzalendo!!
Uzalendo???Tunataka vijana wajifunze uzalendo!Mimi sifurahishwi na utovu wa nidham na tabia ya wasomi wetu kukosa uzalendo wa nchi yao!!Ndio maana tukaleta utaratibu huu na lazima ufuatwe bila kukwepa kabisa!!!
Kwani Sheria yenyewe inasemaje?Adhabu ya kutokwenda JKT ni ipi kisheria?
HahahahKumbe tuna chat na vitoto humu
Ngoja niitafute anywayKwani Sheria yenyewe inasemaje?
Asante sana. Majibu yenye mantiki sana unless unategemea kujiajiri bil kuhitaji serikali whatsoever. Bsi kijana atakwenda. Nilimaliza JKT 1978Ni kutengwa na serikali...hakuna kukusomesha wala kukudhamini, kupata kazi nako wakishajua mwaka uliomaliza shule wataangalia kwenye data zao na watagundua kuwa ulikwepa Kwata na hapo utaambiwa rudi nyumbani tutakutumia majibu yako, vivyo hivyo ukitaka kuwa balozi wa nyumba kumi utanyimwa kwani utaitwa sio mzalendo
Vingi mno.Kumbe tuna chat na vitoto humu
Nan kakwambia anaogopa!?..mkiulizwa maswl km huna jibu nyamaza tuWacha uoga dogo.Mchakamchaka tuu wa saa 0600 kila siku ndio ukuogopeshe!