Kwa Mujibu wa sheria, nisipo kwenda JKT what will happen?

kibaWaKitaa

Member
Apr 26, 2021
26
75
wakuu hivi msange jkt ya tabora ipoje
Iko ivi
images%20(19).jpg
 

CHIEF WINGIA

JF-Expert Member
Jul 12, 2013
1,262
2,000
Mkuu inakubidi uandike barua ya kughairi kwenda ukiwa na sababu husika.
Kwa mfano mwaka 2013 batch ya 3 ya kwenda JKT kwa mujibu tarehe ziligongana na tarehe za kuripoti vyuoni, hivyo basi wanafunzi wengi waliandika barua kwenda makao makuu ya JKT kuwa hawatoweza kuhudhuria mafunzo hayo kwa sababu tarehe ya kuripoti ziligongana na tarehe ya kuripoti mafunzo ya JKT.
Na wala haikuleta shida ila kukawa na uvumi kuwa wanafunzi hao watatakiwa kuhudhuria mafunzo ya JKT mara baada ya kumaliza chuo.
 

Zenjiboe

Member
Aug 26, 2020
68
125
Uzalendo gani?viongozi karibia wote waliopo walipita jkt tuambie wameleta uzalendo gani nchini zaidi ya upigaji tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikiwa mdogo niliambiwa wananchi wote wa Israel ni wanajeshi,lakin ktk kufuatilia mambo nikaja kujua badae kumbe Sio wanajeshi ila wamepitia JKT ya huko.Kumbe pia pale USA wale walio deal kutoa ulinzi baada ya bunge kuvamiwa na waandamanaji,waliolinda uwanja alikoapishwa Biden,walio deal na maandamano ya Black lives matters , wanaotoa misaada US ikikumbwa na janga kama kimbunga,usambazaji wa chanjo ya corona na mengine mengi wamevaa magwanda ila cio wanajesh, ni National Guard ambao ni JKT ya USA.Hapa kwetu bongo vita ya Kagera JKT walimuadabisha Nduli Amin Dada ,ukuta wa Mireran,Maujenzi kibao ikiwemo ikulu yetu ya Dom ni JKT. Kijana mujibu wa sheria akimaliza mafunzo, jamii inampa hadhi, heshima na kumkubali ,inaamin atakuwa mtetezi wa Taifa lake.Vita cio kushika mtutu wa bunduki pekee,wanajeshi ambao wanashika mtutu wanategema sana kupata habari za adui kama vile yupo wapi,Ana silaha gani,wapo wangapi,wamelenga kuja kushambulia askari wetu saangapi.Yote hayo yatafanywa na kijana wa mujibu wa sheria ambae baada ya kumaliza chuo ataajiriwa na adui kulingana na professional yake kama Dr,engr, mwalimu nk.Akiwa nchini jamii inategemea awe mlinzi wa Rasilimali za nchi.Kijana huyo akienda kinyume kwa K uingiza implied task zake hajatumwa na jamii kufanya huo uovu. Mfano misikitini na makanisan wanatuhubiria tusizini ,lakin wewe mbona unatembea na binti wa mtu na umemtia mimba? Ndio tuseme tubomoe makanisa na misikiti kwa kuwa muumin mmoja kamtia mimba mwanafunzi? Acha misikiti na makanisa viendelee kuwepo kwani ndani ya waumin tunaweza pata "Walokole" Na form six wacha waende JKT kwani Kati ya Vijana lets say 20000000 tunahitaji kijana mmoja tuu ambae atabutua na kuiokoa Tanzania.Huamin? Angalia kichwa kimoja tuu cha JPM (RIP 😭) watu mil 60 tuliomba poo.Kama huamin hilo a ngalia alivyorud kwa baba muumba watu walivyo bwabwaja,tunawaangaliaaaa huku tukijiuliza walikuwa wapi (wachumia tumbo wakubwa).
 

Superfly

JF-Expert Member
Jul 14, 2013
283
500
Ulishawahi kwenda jkt kwa mujibu wa sheria? Ni mbinu gani za kivita mnafundishwa?
Wengi wameenda lakini wapo vile vile nyoronyoro
Nyorororo...😹😹😹 kwahyo ni kama wameenda kukua tu jeshin ili muda upite!?
 

nsalu

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
833
1,000
Kuna ambao hawakupangwa kabisa kujiunga na JKT yaani majina yao hayapo kwenye kambi zozote , hao inakuwaje?
 

RAISI AJAE

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
2,248
2,000
Kuna faida gani kwenda huko?
Uwezo wa uvumilivu na kuwa tayari kwa lolote wakati wowote uwezo wa kuthubutu kufanya lolote jema bila uoga!kujitoa kwa wengine uzalendo,utii na ukakamavu na utimamu wa kiakili na kuondoa uzembe na ulegevu katika jamii!!!
 

GOD my watcher

JF-Expert Member
Oct 9, 2019
239
250
Uzalendo gani?viongozi karibia wote waliopo walipita jkt tuambie wameleta uzalendo gani nchini zaidi ya upigaji tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Selikari huwa inapotezaga hela sana kuwalisha hawa wa kwa mjibu... Maana sionagi matokeo ya mafunzo yao
Wakitoka huko wakakaa kama mwaka hivi wanasahau yote asa nn maana ya kuwapeleka huko?
 

Demi

JF-Expert Member
Nov 22, 2016
25,464
2,000
Nyorororo...😹😹😹 kwahyo ni kama wameenda kukua tu jeshin ili muda upite!?
Wapo kawaida, hakuna mafunzo yoyote ya kumfanya mtu awe mbabe. Yapo waliyojifunza lkn sio hayo mnayoyafikiria.

Wamejifunza kufuga kuku, kulima mboga mboga 😀
 

kanchibay

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
672
1,000
Nahitaji kusaidiwa ni pate address ya jkt makao makuu pmja na e-mail address (barua pepe) ili niweze kuwasiliana nao
 

mc gregor

JF-Expert Member
Mar 17, 2017
1,105
2,000
hakuna hasara yoyote ukienda au usipoenda. kuhusu kupata mkopo utapewa mkopo wako vizuri tu pia kuhusubkuajiriwa serikalini pia utapata ajira vizuri tu hakunaga uhusiano wa ajira serikalini na kwenda jeshi wengi wanaosema sijui hutopata mkopo au ajira serikalini itakuwa hata chuo kikuu hawajafika wanaongea tu stori za mtaani
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
29,385
2,000
Mfanohuu uko out of context maana huyu alikuwa Muuaji na hivyo kuwa kama alivyokuwa, tukawa "poo" kwa vile ni dictator
Angalia kichwa kimoja tuu cha JPM (RIP 😭) watu mil 60 tuliomba poo.Kama huamin hilo a ngalia alivyorud kwa baba muumba wa
 

Mike_

Member
Jan 9, 2021
33
125
Kama unaishu ya maana ya pesa ya kufanya kitaa nakushauri USIENDE. Wala sio lazima kwenda wapo wengi wasoenda lkn vyuo walipata pamoja na mkopo, kitu pekee utachopewa ukienda n cheti ambacho sion kama kina umuhimu wwte kwenye ajira au udahili wa vyuo.

Ila So far kama kama hauna cha kufanya mtaani nenda, KUNAFAIDA na RAHA ya kwenda kule pia. Kunakujengea confidence, patience na ukakamavu.

Kingine kuna baadhi ya kambi japo sijajua kwa mwaka huu ni za kanda ipi huwa zinakua na usahili wa vijana kujiunga na jeshi uwez jua labda kanda yako inaweza kuwa ya usahili ukapata nafasi ya kubaki chomboni.
 

kirikou1

JF-Expert Member
Nov 8, 2016
4,339
2,000
Asante sana. Majibu yenye mantiki sana unless unategemea kujiajiri bil kuhitaji serikali whatsoever. Bsi kijana atakwenda. Nilimaliza JKT 1978
Kuna kila sababu ya kuheshimu umjuaye na usiyemjua. Baba yangu umri huo ndio wanapigana na wenzake manati shule ya msingi 😀😀
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom