Kwa Mujibu wa sheria, nisipo kwenda JKT what will happen?

Me sioni mantiki ya vijana kwenda huko, wakikosa cha kufanya mtaani baadae wanatumia technic walizojifunza huko katika uhalifu....
Ulishawahi kwenda jkt kwa mujibu wa sheria? Ni mbinu gani za kivita mnafundishwa?
Wengi wameenda lakini wapo vile vile nyoronyoro
 
Nina rafiki yangu yupo china anamalizia coz aliitwa kabla hajaenda chuo ila alisoma science.

Halafu saivi kujiunga na jeshi lolote hata mgambo wanapewa kipaumbele mlionda jkt kwa sasa.
 
Adhabu ya kutokwenda JKT ni ipi kisheria?

Ni kutengwa na serikali...hakuna kukusomesha wala kukudhamini, kupata kazi nako wakishajua mwaka uliomaliza shule wataangalia kwenye data zao na watagundua kuwa ulikwepa Kwata na hapo utaambiwa rudi nyumbani tutakutumia majibu yako, vivyo hivyo ukitaka kuwa balozi wa nyumba kumi utanyimwa kwani utaitwa sio mzalendo
 
Hivi ni nini kinachowafanya muogope kwenda jkt?ni uvivu,ulegevu,nyoro nyoro au nini hasa?Acheni kuitia aibu nchi yetu kwa kuonyesha uvivu wa kufikiri!!!
 
Ni kutengwa na serikali...hakuna kukusomesha wala kukudhamini, kupata kazi nako wakishajua mwaka uliomaliza shule wataangalia kwenye data zao na watagundua kuwa ulikwepa Kwata na hapo utaambiwa rudi nyumbani tutakutumia majibu yako, vivyo hivyo ukitaka kuwa balozi wa nyumba kumi utanyimwa kwani utaitwa sio mzalendo
Asante sana. Majibu yenye mantiki sana unless unategemea kujiajiri bil kuhitaji serikali whatsoever. Bsi kijana atakwenda. Nilimaliza JKT 1978
 
Back
Top Bottom