Kwa muda gani mrefu umekaa bila kuoga na kwanini?

Miaka hyo uboyzn maji yalikua mengi sema ya baridi kinoma, kupiga mwezi ilikua kawaida tu
 
mtu unakaaje miezi miwili bila kuoga khaa wanaume kwa uchafu ptuu
 
Niliingia kwenye msala flan ambao hatma yake iliamuliwa baada ya siku 30, ulikuwa msala ambao ungeathiri hata maisha yangu kiujumla.

Nlijaa stress sana hicho kipindi nasubiri hatma, nilikaa wiki 2 bila kuoga nikaja kuoga mara 1 nikakaa tena wiki 2, baada ya kujua ule msala haupo tena ndio nikajirudi.

Nilikuwa na msongo wa mawazo (depression) Sikuwa na nguvu hata ya kujijali usafi nilikuws nanawa tu na kupiga mswaki (i lost the energy to give a damn about it)
Wiki hivi nakula vitini chuo bata
 
Kuoga kunategemeana na hali ya hewa ya mahali ulipo. Kuna sehumu kuogaoga si ishu sana kwa kuwa kuna baridi kali. Maeneo yenye joto kali kama dar ni lazima uoge utake usitake. Usipooga hata siku moja utanuka jasho balaa na watu watakushitukia kuwa hujaoga kwa kunuka uvundo
 
Niliingia kwenye msala flan ambao hatma yake iliamuliwa baada ya siku 30, ulikuwa msala ambao ungeathiri hata maisha yangu kiujumla.

Nlijaa stress sana hicho kipindi nasubiri hatma, nilikaa wiki 2 bila kuoga nikaja kuoga mara 1 nikakaa tena wiki 2, baada ya kujua ule msala haupo tena ndio nikajirudi.

Nilikuwa na msongo wa mawazo (depression) Sikuwa na nguvu hata ya kujijali usafi nilikuws nanawa tu na kupiga mswaki (i lost the energy to give a damn about it)
O level mimi 47 days Arusha huko.

Reason: Pressure ya NECTA
 
Back
Top Bottom