Kwa mparaganyiko huu wa ndoa, sitaki tena kusikia wala kupokea kadi ya mchango wa harusi tena

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,494
3,739
Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao??

Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya.

Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda kwenye kumbi kufanya maigizo ya kujifaharisha.

Mnafanya maonesho ukumbini ya fahari kubwa na kujifanya mna furaha kubwa kumbe watu wenyewe hata hampendani.

Kuna ndoa nimechangia laki 2 zangu lkn imedumu siku 21 tu.
 
Kuna ndoa nilichangia kwa kujinyima laki moja na hamsini ikadumu wiki mbili nilituma mtu akaawambie wanirudishie japo elfu 50,000/= nikanunue dompo
 
Yaani ndoa inadumu muda mfupi kuliko hata ule uliotumika kwenye vikao??

Kuna haja ya watanzania kubadilika ktk suala hili la sherehe za harusi. Tafakari ya kina ifanyike ili tuchukue mwelekeo mpya.

Watu wafunge ndoa kwenye nyumba za Ibada na baada ya hapo waelekee majumbani mwao na siyo kwenda kwenye kumbi kufanya maigizo ya kujifaharisha.

Mnafanya maonesho ukumbini ya fahari kubwa na kujifanya mna furaha kubwa kumbe watu wenyewe hata hampendani.

Kuna ndoa nimechangia laki 2 zangu lkn imedumu siku 21 tu.
Ndoa hizi basi,

Kitu ambacho msichokijua msiooa/olewa;

Ni ngumu kumjua partner wako kabla hujamuoa,😂😂😂

Ukishaingia kwenye mfumo ndio utajua hujui

Miongoni mwa sababu ambazo zinafanya wanasayansi kufanya baadhi ya majaribio kwa wanyama ili kumsoma mwanadamu ni kwamba; wanafahamu kuwa mwanadamu ana akili akihisi anachunguzwa anabadilika.

Hapo ndio unakuta Isaac Pavlov aliamua kumtumia mbwa kwa kumgongea kengele, angekuwa binadamu asingepata jibu
 
Kupiga parange kutaka hela za watu wakuchangie harusi unakaribisha manuksi, mikosi na mabalaa. Wengine hela zao za mashetani alafu unachukua kuchangia tendo takatifu la ndoa?? Unamkaribisha shetani kwenye ndoa yako! Usihusishe watu wasio wa muhimu katika ndoa yako hasahasa kutaka hela zao! Lipa mahari, pata ridhaa ya wazazi, nenda kanisani au serikalini (tendo la kisheria la umiliki wa mwenza) chukua mkeo nenda nyumbani! Hao unaowahusisha na kula hela zao wengi wachawi!
 
Back
Top Bottom