NenoMwanamke anatakiwa aolewe na mwanaume mwenye umri mdogo kuliko yeye,asipofanya hivyo uwezekano wa yeye(huyo mwanamke) kubaki mjane ni mkubwa sana kwani wanaume wanawahi kufa na sababu kubwa ni kuongezeka kwa umri.Inasemekana kadri mwanaume anavyozidi kuwa na umri mkubwa ndiyo magonjwa kama tezi dume,homa ya ini,ugonjwa wa kifua kikuu n.k yanajitokeza.Epuka kuolewa na mwanaume anayekuzidi ewe mwanamke,utakuja kukumbuka haya niliyoyaandika,hata hivyo wanawake wakifika umri flani huwa na ashki kubwa yakufanya mapenzi wakati mwanaume anakadriwa kuanza kupungukiwa hamu yakufanya mapenzi akifika umri wa miaka kuanzia 30,hivyo mwanamke atahangaika kutoshelezwa kimapenzi hivyo kuanza kutafuta vijana,hii itamshushia heshima mitaani.
Basi nipm tuyajenge naona umenizidi [emoji13][emoji16][emoji23]Wakuoa ni yule aliyekuzidiii tuuu amna namnaa ndo atakuwa amekomaa akili[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]weee una miaka mingapiiBasi nipm tuyajenge naona umenizidi [emoji13][emoji16][emoji23]
mwingine anaweza kukuzidi umri ila umbile wewe unaonekana mkubwa... inategemea mkuu mbona wapo vizuri tu... sema sasa asikuzidi urefu hapo ataona kama anatembea na nyau..!!
Kijana kabisa damu bado inachemka[emoji13][emoji13][emoji13][emoji7][emoji7][emoji23][emoji23][emoji23]weee una miaka mingapii
[emoji23][emoji23][emoji23]akuu sitakii na mimi nataka aliyenipita mimi kuanzia miaka 10 na kuendelea [emoji13] [emoji13]Kijana kabisa damu bado inachemka[emoji13][emoji13][emoji13][emoji7][emoji7]
..Nimepata ujumbe mkuu,..juzi nimeachana nae aisee maana huwa ni ma hitler kila kitu anataka akuongoze achana nao mkuu..tena ukikuta anakuzidi mawe utahenya
..Hebu funguka kwenyenyau mkuu,..mwingine anaweza kukuzidi umri ila umbile wewe unaonekana mkubwa... inategemea mkuu mbona wapo vizuri tu... sema sasa asikuzidi urefu hapo ataona kama anatembea na nyau..!!
Haaa utamuua mzee wa watu damu imepungua mwilini tuunganishe moto kwa moto buana [emoji13][emoji13][emoji13][emoji16][emoji16][emoji4][emoji23][emoji23][emoji23]akuu sitakii na mimi nataka aliyenipita mimi kuanzia miaka 10 na kuendelea [emoji13] [emoji13]
hahahahaha dawa ni kufaa kofia asione utosi mkuuyaan anatembea huku anaona utosi wako.. utamwambia nini akuelewe... !
..Diamond njoo huku,..tungemuuliza diamond angalau anauzoefu kidogo
..viroba vimezuiwa basi tuseme Bangi,..hahahahaha dawa ni kufaa kofia asione utosi mkuu
..anakula tu ubuyu,..Dereva nakuona nakuona
target yetu ni utosi mkuu, kwa hyo kofia ni solution mkuu..viroba vimezuiwa basi tuseme Bangi,..
Hasa mwenye k kubwaWe vuta chombo ndan..umri si tatizo lkn ukioa mwanamke yyte aliekuzid maumbile lazma uchapiwe
Sitaki hata kusikia ndoa yani kuna wanawake mpk utatamani urudi tena kazini.Eti narudi home jioni nimechoka ananivua nguo ananinusa kama sijachepuka sasa anaishije na mtu ambae hamwamini