Kwa Miaka yote ambayo SAMIA atakuwa Madarakani na Kikwete hai. Simba msahau Kuchukua Ubingwa wa Ligi

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
13,625
Reaction score
29,891
Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga ua galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji.

Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani?

Serikali ikiwa upande wetu ni nani atakayekaa juu yetu? Mtasubiri sana.
 
Mfano kombe la 2024/2025 limechukuliwa mikononi mwa Simba kwenye mechi ya mwisho Hapo utawaingizaje Samia na kikwete?

Matukio ya kuibeba simba ni mengi sana ukilinganisha ya kubebwa Yanga ila bado yanga ikachukua kombe.

Simba kwa wakati huu haijajipata hado(hawajapata wachezaji wenye muunganiko mzuri kama ilivyo Yanga) na hii ni kwasababu ya kutokuuza uza wachezaji wake. Simba kipindi iko Vizuri iliuza wachezaji wake wote wazuri kwa wakati mmoja na hili ndo kosa liligharimu sana simba.
 
Upumbavu mkubwa! Wakati Kikwete akiwa Raisi 2005 -2015 Simba ilichukua ubingwa mara ngapi? Iliifunga Yanga mara ngapi?

Kikwete ndiye aliyemleta Mzee Tenga na kuitengeneza TFF iliyokuwa kichaka cha wahalifu wakina Rage!

Usilete hasira zako za siasa kwenye mpira!
 
Kwani hiyo simba ilipochukua ubingwa mara 4 mfululizo Rais alikuwa ni nani?
 
Hili nawahakikishia mtabaki kuwa mikia tu piga uga galagaza. Kombe mtakalo chukua labda liwe na Uji.

Kikwete anaipenda sana Yanga yeye na kundi lake kubwa nyuma yake. Na Samia naye automatically amekuwa mpenzi mkubwa wa Team ya Yanga. Hapo sasa nani atatusumbua? Nani?

Serikali ikiwa upande wetu ni nani atakayekaa juu yetu? Mtasubiri sana.
hebu acha uongo kikwete aliwahi kuwa rais lakini yanga haikuchukua ubingwa,tuache kumsingizia kikwete vitu visivyo na msingi,kwanza mama ni simba tena ana kadi
 
Mashabiki wa Simba mna matatizo sana ya akili. Hivi kwanini hamuoni matatizo yaliyopo kwenu mnaangalia factors ambazo mnahisi (hazina uhakika) kwamba ndio kisababishi kufeli kwenu.

What a waste of emotion.
 
Ati...??
 
Hiyo paragraph ya kwanza ndio imefanya mleta mada aonekane kondoo wa kimbulu.
Mfano kombe la 2024/2025 limechukuliwa mikononi mwa Simba kwenye mechi ya mwisho Hapo utawaingizaje Samia na kikwete?

Matukio ya kuibeba simba ni mengi sana ukilinganisha ya kubebwa Yanga ila bado yanga ikachukua kombe.

Simba kwa wakati huu haijajipata hado(hawajapata wachezaji wenye muunganiko mzuri kama ilivyo Yanga) na hii ni kwasababu ya kutokuuza uza wachezaji wake. Simba kipindi iko Vizuri iliuza wachezaji wake wote wazuri kwa wakati mmoja na hili ndo kosa liligharimu sana simba.
 
hebu acha uongo kikwete aliwahi kuwa rais lakini yanga haikuchukua ubingwa,tuache kumsingizia kikwete vitu visivyo na msingi,kwanza mama ni simba tena ana kadi

Sasa mama yako kuwa simba sisi inAtuhusu nini? Unaandika kama bwabwa. Mwanaume hawezi kuja andika. Kwanza mama ni simba..... Bla blah blah... Papai lililooza wewe...
 
Mashabiki wa Simba mna matatizo sana ya akili. Hivi kwanini hamuoni matatizo yaliyopo kwenu mnaangalia factors ambazo mnahisi (hazina uhakika) kwamba ndio kisababishi kufeli kwenu.

What a waste of emotion.

What a waste of sperms are you mkia?
 
Sasa mama yako kuwa simba sisi inAtuhusu nini? Unaandika kama bwabwa. Mwanaume hawezi kuja andika. Kwanza mama ni simba..... Bla blah blah... Papai lililooza wewe...
Yawezekana wewe ndio bwabwa,mimi nilikuwa namjibu mtoa hoja,usidandie hoja bila kuelewa somo,nahisi una mwezi mwezi hujanya
 
Back
Top Bottom