Asante mkuu na gharama zngne je??? Nahtaj mchanganio mzma cost kwa haka mi sh ngap??? Ad kuvuna??Manyara-Hanang, ekali inategemea bei ya kukodi ni elfu 50 mpaka laki, gharama za kulima ni elfu 40 kwa eka
''Aut Vincere Aut Mori''
Una maana gani kusema hivyo mkuu?Faida ya ngano naijua moja...ukilima ukapanda ndo umemaliza, tuonane mavuno
Sent using Jamii Forums mobile app
soko lake vipi mkuu maana kuna jamaa angu ananishawishi tufanye hicho kilimo. soko lake vipi??
Mmh soko lake kwa kweli sina uhakikasoko lake vipi mkuu maana kuna jamaa angu ananishawishi tufanye hicho kilimo. soko lake vipi??
Mkuu the horticulturist, nilipanda ngogwe (nyanya chungu) kiasi kidogo nyumbani. Nimetumia mbolea ya kuku tu. Mimea imekuwa vizuri tu.
Kama wiki 3 zilizopita, mimea imeanza kutoa maua. Tatizo ni kuwa, maua yakichanua, yananyauka baada ya siku chache, yanadondoka. Je, tatizo ni nini, na linaweza kudhibitiwa vipi?
Mkuu naomba kujua mimea kama pilipili hoho, ngogwe na pilipili mbuzi zinahitaji maji kiasi gani kwa wiki kwani nataka nipunguze kubeba ndoo nataka niweke makopo so nikipata kiasi cha maji kwa wiki kwa mimea tajwa utakuwa umenitua ndoo,.
Ndugu ndio maana ya hii sehemu kuelekezana ndugu