Kwa Mara ya kwanza swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima geography 1 kidato Cha sita

Ali Hemed

Member
Jul 9, 2021
21
13
Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati wanapofanya mtihani kwani watahiniwa wengi huwa mada ya surveying inawasumbua Sana
 
Duh!! Wewe ni private candidate!?
 
Nnawapongeza sana NECTA kwa kufanya hivyo.
 
Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati wanapofanya mtihani kwani watahiniwa wengi huwa mada ya surveying inawasumbua Sana
Kweli mkuu yani mm pia ni mmoja wao yani wanafunzi tulishazoea compulsory question kwenye geography 1 linatoka kwenye topic ya map yani, kwel saiv ni competence basis tunashukuru ilo la lazima halikuwa complicated sana
 
Kabisa mkuu hongera kwa kumaliza mitihani yako salama kila la heri na matokeo mazuri
 
Kwa Mara ya kwanza katika miaka yote ya utungaji wa mtihani wa geographia 1 kidato Cha sita 2022 swali la topographical map interpretation halikuwa la lazima badala yake swali la surveying and map making ndio lilikuwa lazma na kubeba ujumla wa alama 25 hii imeshutusha Sana watahaniwa wakati wanapofanya mtihani kwani watahiniwa wengi huwa mada ya surveying inawasumbua Sana
🤣🤣
 
Back
Top Bottom