Kwa mara ya kwanza nimetua Dodoma leo

Kwa mara ya kwanza nimetua Dodoma leo

kesho kutwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2016
Posts
1,722
Reaction score
1,993
Hatimae Leo kwa mara ya kwanza nimeingia Dodoma makao makuu. Nipo hapa mtaa wa samaki sijui katika hotel za simba sijui Faru kwa anaejua atakua ananielewa tafadhali kesho nawaza nitaanzia wapi mizunguko.

Naomba nipewe mitaa konki. NB nimetoka iringa

Mpaka saiv nimefanikiwa kuona machinga complex, milembe hospital, raund about kama 3 hivi ila pamechangamka sana aisee
 
Hatimae Leo kwa mara ya kwanza nimeingia dodoma makao makuu. Nipo hapa mtaa wa samaki sijui katika hotel za simba sijui faru kwa anaejua atakua ananielewa tafadhali kesho nawaza nitaanzia wapi mizunguko. Naomba nipewe mitaa konki. NB nimetoka iringa.
Sawa karibu Dodoma, umekuja kikazi, biashara au kutalii!?
 
Hatimae Leo kwa mara ya kwanza nimeingia Dodoma makao makuu. Nipo hapa mtaa wa samaki sijui katika hotel za simba sijui Faru kwa anaejua atakua ananielewa tafadhali kesho nawaza nitaanzia wapi mizunguko.

Naomba nipewe mitaa konki. NB nimetoka iringa

Mpaka saiv nimefanikiwa kuona machinga complex, milembe hospital, raund about kama 3 hivi ila pamechangamka sana aisee
Usisahau na kupitia mjengoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom